Tusichojua wengi hii mitandao ni kama sokoni. Kuna kila kitu ni wewe tu kichagua unataka niniNzuri sana, marafiki zangu wameanza kutumia zamaniiii wakawa wananishawishi nijiunge, nikawagomea.
Sasa kuna ile kutumiana post/link kama hauna app ina usumbufu kuaccess, eventually nikafungua account, weee mambo ni motooo 😅
Upo wapi bossTusichojua wengi hii mitandao ni kama sokoni. Kuna kila kitu ni wewe tu kichagua unataka nini
Ngoja wataalamu watakupa muongozo.Kinachoniudhi kwenye hii mitandao ni hicho, hivi kuna ulazima wa kunihusianisha na watu walioko kwenye contacts? Nikitaka akaunti ambayo haitagusiana na watu wangu nafanyaje?
Ni kweli Kuna mtu ambaye Hana purpose yoyote Duniani kweli?. Inauma sana hii, inawezekana mtu akachelewa kujua au akawa anatekeleza purpose bila kujua ila kutokuwa na purpose yoyote Daaah..Kuna watu wasiotaka mabadiliko kabisa. Wakati watsapp inaanza hapa TZ kuna watu walikuwa wanaona ni uhuni. Hata matumizi ya computer na printers baadhi ya ofisi hasa za serikali ilichukua muda sana. Wale masecretary waliendelea kukomaa na typewriters. Mtu anayesema hatumii facebook, insta wala tiktok huenda sio mfanyabiashara au hana purpose yoyote maishani.
Unamaanishaje bossUpo wapi boss
Unywe hata soda ya Kijamii forum, umetoa hoja nimeelewa sana hapo juuUnamaanishaje boss
Atulie aendelee kuangalia nyapu mana ndo anataka hizo 😂Umeniwahi 😂
Nilitaka nimwambie tunafahamu jinsi alogarithm inavyofanya kazi… asitubebe 😅
Ile baada ya muda fulani unaanza kuletewa contents unazotaka, hizo zilizogoma labla zilikupenda zenyewe 😂Mimi nilikua naletewa habari za wasagaji na mashoga nikawa naignore hizo pages mpaka nikachoka.
Nina miezi sijagusa Tiktok
Sawa AsanteNgoja wataalamu watakupa muongozo.
Lakini nadhani kule kwenye setting kuna ile sehemu ya kudisable access na contacts zako, lakini sioni ikisaidia, utaletewa tu watu wako kama suggestion. Hii ndio moja ya weakness za alogarithm.
Kuna mtu aliniambia anataka kutengeneza program ya kuzuia ufanyaji kazi wa alogarithm namna hii, siwezi muuliza zaidi maana now hatuongei. (nimekueleza ki-layman) I hope wataalamu watafafanua tectonically.
Asante boss. Soda ya kijamii forum si ndio 'thanks' au ni nini 😁Unywe hata soda ya Kijamii forum, umetoa hoja nimeelewa sana hapo juu
Kutafuta wanawake na vidampa.Ila tuwe wakweli Mwanaume SNAPCHAT AU TIKTOK unatafuta nini ?
Jishikilie wewe.ID nyingi humu ni Wala ugimbi ,hoe hae na makapuku wa kiwango cha lami mkuu..hua nasoma maandiko Yao nacheka sana..yaan JF iwe na watu wenye akili kuliko Facebook??kwa lipi hasa?
Unahakikishaje mtu anajua kitu wakati wewe si huyo mtu?Wanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote.
Ukimpa stori ya Facebook mtu wa JF anakwambia nilifunga miaka 10 iliyopita, situmii kabisa. Halafu unajiuliza, huyu mtu anajuaje kila kitu kinachotrend kwa sababu ukiangalia mijadala ya humu ndani asilimia kubwa ni mambo yaliyotoka TikTok, Instagram au Facebook.
Hakuna ubaya kutokutumia mitandao fulani. Lakini tusijifanye tunaishi sayari nyingine wakati habari zetu nyingi zinatoka huko huko, me hayo maisha ya kinafiki ndo siyapendi.
Watu kibao wanaamini hivi kwamba ni mtandao wa kibiashara lakini hawajawahi uza chochote na wala hawana hiyo biashara, huko kumejaa Malaya, mashoga na mahohe have hata kusoma hayajui.Hata mimi nilidhani hivyo lakini Tiktok ni nzuri kwa biashara.