brain is the beautiful part of the body.
Tunapendeza na samsung logo lakini tunatumia wereva[emoji3][emoji3]Nice Umependeza Sana!
Tunapendeza na samsung logo lakini tunatumia wereva[emoji3][emoji3]
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwi kwi kwiiii hapo tumedanganyana.... mh lakini inawezekana maana hata bibi yangu kule chato anapendeza kuzidi wewe na Smartphone hana
Your comments always wonderful my dear!Kwi kwi kwiiii hapo tumedanganyana.... mh lakini inawezekana maana hata bibi yangu kule chato anapendeza kuzidi wewe na Smartphone hana
Muonekano mzuri nisababu pia kwamfano kama mimi j8 naona ikopoa tu ninyembamba na inakaanachaji vizuritu, kingine naona inakilakitu ambacho nakihitaji kwenye cm.Afadhali wewe unauelewa kidogo na Tecno ambao unazungumzika.
Ulishawahi kujiuliza why Tecno ni Africa pekee??
Simu ni zaidi ya umbo la nje ndugu, niambie unatumia kwasababu zina umbo kubwa na bei rahisi nitakuelewa
Huu ni ukweli mchungu ambao watumiaji wa tecno werevaaa hawapendi kuusiki.Kwa Tanzania Soko linaenda hiviii,
Watu wengi wanapenda kutumia simu kubwa YES!! sababu imani yao ni mtu akimiliki simu kubwa ni ya gharama na ina mvuto, ataonekana nayeye ni mtu
Lakini, katika Ubora wa simu ndio utata maana simu zenye quality nzuri na zinazoaminika kimataifa ni gharama
Tecno waligundua watanzania wanapenda mambo makubwa kwa gharama ndogo kitu ambacho ni ndoto, hakuna kampuni inayoweza kutumia vifaa vyenye uhakika kutengeneza bidhaa na kupata hasara
Tecno wakaja na simu kubwa ili mradi zenye ubora hafifu kwa bei rahisi sana
Hakuna simu zenye quality mbovu kama Tecno,
Dunia inajua,Wachina wanajua, hata watumiaji wanajua
Tusidanganyane ati kuna mtu anatumia tecno kwa kupenda ni umasikini tu hivyo hakuna namna
Hii dhana ya kwamba iPhone na Samsung hazikai na charge imetoka wapi? Au huwa mnanunua mkononi matoleo ya zamani ambazo zimeshachoka?
Nunua simu mpya dukani kwenye box kila kitu kinakuwa poa. Hizo Tekno zenu mnaona zinakaa na charge kwavile mna-Afford kuzinunua mpya dukani.
Watumiaji wa tecno werevaaa mnajua kujifariji mpaka raha[emoji1][emoji1]
[emoji108]Simu ni simu kikubwa kupata mahitaji husika kwa wakati wa techno wa samsung wa iphone wote tunaingia jf,twitter mpaka whatsapp shida iko wapi?
Power him who power exerts
Your comments always wonderful my dear!
brain is the beautiful part of the body.
Waseme tu ndo uwezo ulipoishia.Waambie hao!! na hata wakinunua mpya wanaenda kuokota zile note 3 za laki2 mbili kariakoo
Ha ha ha yaani mpaka rahaa mtu ana y3 music halafu anakwambia ndio simu anayoipenda