The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Unaweza kuipa jina linalofaaAisee, kwahy hy n memo?
Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie.Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania.
Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa.
Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
View attachment 3320154
Nimeona kuna mahali Sheikh anapinga andiko la TEC nikacheka sanaHuwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania.
Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa.
Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
View attachment 3320154
😁😁😁mambo kwa ushahidiEwe mtoa mada kwani ungetuletea taarifa za kifo cha huyo padre Kuna mtu angekudai gharama ya matangazo?
Please 🙏 observe changes.
Monetary doctor Nomadix Mshangazi dot com Binti Sayuni03
Nipo mkatumeniEwe mtoa mada kwani ungetuletea taarifa za kifo cha huyo padre Kuna mtu angekudai gharama ya matangazo?
Please 🙏 observe changes.
Monetary doctor Nomadix Mshangazi dot com Binti Sayuni03
Ni kimemo cha tanziaAisee, kwahy hy n memo?
Hahaha 😂😁😁😁mambo kwa ushahidi
Mzee wa chetezo 😁Nipo mkatumeni
Shahada.Ili uwe padri lazima uwe na elimu ya stashahqda
Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania.
Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa.
Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
View attachment 3320154
Ili uwe padri lazima uwe na elimu ya stashahqda
Shahada.
Ulivyomaliza kucheka ulijikagua kama umedurusi (kutoa uharo) au la?!!!Nimeona kuna mahali Sheikh anapinga andiko la TEC nikacheka sana
Zinaandaliwa na wasomi wabobevuHuwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania.