Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Kazi ya kumenya vitunguu maji na swaumu nimeifanya sana asehPilau hata wewe ungeacha mkuu?
Pilau ni habari nyingine bana.
Kazi ya kumenya vitunguu maji na swaumu nimeifanya sana asehPilau hata wewe ungeacha mkuu?
Pilau ni habari nyingine bana.
Pale kwa Mzee shoo au wapi.Kazi ya kumenya vitunguu maji na swaumu nimeifanya sana aseh
Unataka kutuambia nini hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba upande ule kuna vilaza
Hao jamaa kwa fujo hawajambo aiseWewe sasa unataka kuanzisha Vita ya jihad na wale watu! Tafadhali sana usinilishe maneno wala usipende kunigombanisha na hao Watu!
Ndiyo siku ya pilau ndo mm nikuwa kodineta kwenye nyuma ya lile jiko la uji na maharage, na kule store ya kuweka dishesPale kwa Mzee shoo au wapi.
Hahaha 😂, we utakuwa Mzee wa top layer aise.Ndiyo siku ya pilau ndo mm nikuwa kodineta kwenye nyuma ya lile jiko la uji na maharage, na kule store ya kuweka dishes
Muhimu aseeh 😂 usiish kizembeHahaha 😂, we utakuwa Mzee wa top layer aise.
Una matatizo wewe sio bure.Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania.
Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa.
Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
View attachment 3320154
Top layer kwa pale ni kama mshahara kwa viongozi (viranja)Muhimu aseeh 😂 usiish kizembe
Ndiyo maana hamna mshahara mwingine pasi na kula ugali au wali 😂 😂Top layer kwa pale ni kama mshahara kwa viongozi (viranja)
Sahihi kabisa. Viranja na skawti vitambi mpaka kule!😀Ndiyo maana hamna mshahara mwingine pasi na kula ugali au wali 😂 😂
Ila wewe umezidi matatizo na manyuzi yako ya kusifia CCM na Data za uongoUna matatizo wewe sio bure.
Mkuu wengine shamba lao ni kiuno Cha mwanamke.....ndio maana padre ameweka wazi...shambani mwa Bwana zaidi anachunga kondooShamba la bwana sijui anavuna nini kwenye hilo shamba
Umeandika pumbaIla wewe umezidi matatizo na manyuzi yako ya kusifia CCM na Data za uongo
We bisha hunaga maana humu1.ndanipumba
😂😂🤣🤣🤣 kwaio kondoo wanaliwa na wachungaji wao huko huko maporini?Mkuu wengine shamba lao ni kiuno Cha mwanamke.....ndio maana padre ameweka wazi...shambani mwa Bwana zaidi anachunga kondoo
Unataka wakule nyasi??😋😂😂🤣🤣🤣 kwaio kondoo wanaliwa na wachungaji wao huko huko maporini?
Ikishakuwa hivyo vitu vyote wanataka vifanyike kwa wakati mmoja, kuosha maiti, kuswalia maiti, kuchimba kaburi nk, kuandika memo iliyotulia utaweza kweli??Upande wa pili unakuta jamaa kaishia la pili A eti nae anataka kujifananisha na padrii . Haitowezekana kilaza na msomi wakafanana.
Au nasema uongo ndugu zangu.