shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
Unataka kutuambia nini hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba upande ule kuna vilazaNi kweli kabisa, hakuna Padre wa Kanisa Katoliki mwenye Elimu ya Darasa la Saba. Hakuna kabisa Padre wa namna hiyo.
Unataka kutuambia nini hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba upande ule kuna vilazaNi kweli kabisa, hakuna Padre wa Kanisa Katoliki mwenye Elimu ya Darasa la Saba. Hakuna kabisa Padre wa namna hiyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏Ila nyie watu wachokozi sana kwamba upande wa pili hata kama kaishia la tatu B basi nae mi kiongozi wa m.s.k.tWanaelimu Sio kama wale wa upande wa pili
Nilikuwa napenda kushika ile vikombe vya dhahabu mimi chetezo hpnMzee wa chetezo 😁
Kile kikombe wakati Niko form six ndo nilikuwa naitumia kunywea pora😂Nilikuwa napenda kushika ile vikombe vya dhahabu mimi chetezo hpn
Nimerekebisha mkuu[emoji106]Shahada.
we kweli lyamungo umesoma poraa, 😂 sema ulikuwa mtamu afu mzito afu wa moto, maninaa 😂Kile kikombe wakati Niko form six ndo nilikuwa naitumia kunywea pora😂
hivi memo ni nini nimejaribu kuitafuta hapa sijaionaHuwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania.
Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa.
Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
View attachment 3320154
Ndo maana nilikuwa chawa wa mzee Shoo.we kweli lyamungo umesoma poraa, 😂 sema ulikuwa mtamu afu mzito afu wa moto, maninaa 😂
SawaaNimerekebisha mkuu[emoji106]
Jumatano saa hz tushakula ugali nyama tupo tutorial classes au kusikiliza matangazo ya kazi hasa fom vNdo maana nilikuwa chawa wa mzee Shoo.
Hahaha siku kama ya Leo Mimi hufunga maana nilikuwa sili nyama na sikuwa na hela.Jumatano saa hz tushakula ugali nyama tupo tutorial classes au kusikiliza matangazo ya kazi hasa fom v
Afu wanafunz wa pale miyeyusho huli nyama Ila pilau unakula lenye nyama 😂Hahaha siku kama ya Leo Mimi hufunga maana nilikuwa sili nyama na sikuwa na hela.
Wale wanaandika kama watoto wa Darasa.la pilihaujatenda haki
ungeweka na ya kobazi tufanye ulinganifu
Whatever the case huwa wanaandika smart sana imenivutiaKiongozi. Pole Sana kwa kutokuwa na uelewa mzuri wa Mambo.
UDINI UMEKUKAA UMESHAKOMAA SANA SASA.
Hiyo siyo memo. Na memo huwa haiandikwi ktk mazingira ya kiofisi kwenda kwa watu wengi kivyovyote vile.
Hiyo ni barua ya kikaz sabab
1. Ina anuani zote stahiki.
2. Ina kumbukumbu namba.
Na Ina vingezo vingine vyote ikiwemo sahihi na jina la mwandishi na mwandikowa pia..
Sifa za memo.
1. Memo huwa inaandikwa bila address ya mtumaji Wala mtumiwaji.
2. Memo Haina jina jina la mtumiwaji au mtumaji kwa lazima.
3. Memo Haina kumbukumbu namba as huez fanyiwa documentation kimemo.
Na mengine mengi Sana.
Kasome notes za kingereza form two ...
Whatever the case huwa wanaandika smart sana imenivutia
Pilau hata wewe ungeacha mkuu?Afu wanafunz wa pale miyeyusho huli nyama Ila pilau unakula lenye nyama 😂