Memo za Kanisa Katoliki huwa Zinaandikwa kwa Ustadi Mkubwa Sana

Upande wa pili unakuta jamaa kaishia la pili A eti nae anataka kujifananisha na padrii . Haitowezekana kilaza na msomi wakafanana.

Au nasema uongo ndugu zangu.
 
Hivi waTanzania tunahitaji kweli ukombozi wa fikra au maendeleo? Naona udini unatamalaki sana aisee
 
hivi memo ni nini nimejaribu kuitafuta hapa sijaiona
 
Whatever the case huwa wanaandika smart sana imenivutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…