Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Unajua safari Kwa wiki ziko ngapi??
Nimeambiwa ziko 3,so ukitaka wastani Kwa safari basi unachukua hiyo 8.33×7/3.Ni as simple as that!
Kumbuka pia hakuna safari inayoanzia Chato au kuishia Chato!Yaani ndege ikitoka Mwanza kwenda Dar,basi inachoma mafuta kutua Chato kuongeza abiria wawili watatu then inapaa kwenda Dar!
 
250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Umeambiwa ndege inakwenda mara 3 kwa wiki hivyo n mara 12 kwa mwez sio 30
 
Umeambiwa ndege inakwenda mara 3 kwa wiki hivyo n mara 12 kwa mwez sio 30
Huo ni wastani tu,mnakwama wapi?Ukitaka kupata wastani wa safari basi unachukua hiyo 8.33 ×7/3!
Hata mshahara wako unaopata Kwa mwezi unaweza kutafuta wastani Kwa wiki,siku,saa,dakika na hata sekunde!
Hizo ni mean estimations tu!
 
250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
hii hesabu ya wapi!ndege inatua mara tatu kwa mwezi wewe unagawanya kwa 3 huo ni wastani wa siku tatu au mwezi?na kwa nn utafute wastani wa mwezi?tunapofanya uwekezaji tunelenga miaka zaidi ya kumi mbeleni so naamini hapo mbeleni abiria wataongezeka tu ila mm shida yangu iko kwenye ununuzi wa madege ambao hauna tija.
 
Daah nimegawanya Kwa siku 30 na sio siku 3!
Lengo ni kupata wastani wa abiria wangapi wanaweza kupanda Pipa Kwa siku(japo wanasema safari ni 3 Kwa wiki)!
Sasa watu 8 Kwa siku,hakuna tija!
 

Elitwege unaona abiria 250 kwa mwezi ina justify kujenga uwanja Chato?
 
Mathematical iko hivi kwa mwezi Wana routes 12 na abiria 250 maana yake abiria 20 average kwa trip Moja! Abiria 20! Tunafata abiria 20 kwa gharama ya ujenzi wa billions 30 ya uwanja! Unasema tanapa wanatumia huo uwanja! Iko hivi tanapa Wana viwanja vyao huko kwa reserves, siyo lazima watumie huo uwanja! Don't just justify wrong kwa abiria 20 kwa trip utter nonsense! Na hao abiria 20 ni magufuli family and relatives wakina kalemani etc! Its not economically kutumia 30 billions for 20 people per trip or 250 people per month stupidity.
 
Ndio maana nikakwambia mathematics shida. Wastani wa siku ambapo huna operations😀😀😀 acha usanii na upotoshaji mkuu.
 
Tupe gharama za ujenzi wa JNIA na idadi ya abiria. hapo utakuwa umetutendea haki kwa uchambuzi wako
 
Ni chanzo kimojawapo cha hasara kuliko faida kwa sasa labuda miaka mingi ijayo kitanufaisha
 
Kwa ukubwa wake malengo au uwanja ulipaswa kuhudumia angalao watu wangapi kwa mwezi?

Kwahiyo unawekeza billions of money kujenga uwanja wa ndege halafu unahudumia wastani wa watu nane kwa siku.

Halafu anaibuka kichaa anasifu, anasujudi na anaabudu.
 
Kwa hiyo huyo babu yako hatakufa? Ujinga mtupu!
 
Wewe pimbi ni kabila gani? Mimi nijuavyo nchi hii watumiaji wa ndege za local wengi ni chaga,wasukuma na wahaya! Kidogo na watu wa mbeya!
 
Ndio maana nikakwambia mathematics shida. Wastani wa siku ambapo huna operations😀😀😀 acha usanii na upotoshaji mkuu.
Tunapotafuta mean(wastani),mfano j3 mpaka j5!Tuseme j3 ulikunywa Lita 5 zamani,J4 hukunywa maji,j5 ukanya Lita 1!Ukitafuta wastani
wa kunywa maji Kwa siku basi utachukua (5+0+1)/3=2
Sasa labda useme utafute wastani wa kunywa maji Kwa siku ulizokunywa maji tu ndipo siku ambayo hukunywa maji hutaihesabu!
Kwa mantiki hiyo kwenye suala la safari za ndege Chato,kama kila siku kungekuwa na ndege basi wangesafiri Kwa wastani wa abiria 8 Kwa siku,ndicho hicho nilichosema!
Usiwe mvivu wa kufikiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…