DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Ujinga mtupu ni huyo fara mwenzako kuniuliza habari ya babu yangu. Nyie mnamsujudu huyo mtu wenu hadi leo.. MJUE NI NINYI TU.. ASHASAHAULIKA KABISA NA DUNIA NZIMA SASA INAMWOMBEA MAMA AFANIKIWE. HAKUNA ANAYEMWOMBEA JPM TENA..Kwa hiyo huyo babu yako hatakufa? Ujinga mtupu!
Mkuu uko na akili sawa kweli! Mean mean on reality, ungeweja basi na regression factorTunapotafuta mean(wastani),mfano j3 mpaka j5!Tuseme j3 ulikunywa Lita 5 zamani,J4 hukunywa maji,j5 ukanya Lita 1!Ukitafuta wastani
wa kunywa maji Kwa siku basi utachukua (5+0+1)/3=2
Sasa labda useme utafute wastani wa kunywa maji Kwa siku ulizokunywa maji tu ndipo siku ambayo hukunywa maji hutaihesabu!
Kwa mantiki hiyo kwenye suala la safari za ndege Chato,kama kila siku kungekuwa na ndege basi wangesafiri Kwa wastani wa abiria 8 Kwa siku,ndicho hicho nilichosema!
Usiwe mvivu wa kufikiri!
Endelea kuimba mapambio! Mpuuzi nakwambia utakufa tu siunajifanya unajua!Ujinga mtupu ni huyo fara mwenzako kuniuliza habari ya babu yangu. Nyie mnamsujudu huyo mtu wenu hadi leo.. MJUE NI NINYI TU.. ASHASAHAULIKA KABISA NA DUNIA NZIMA SASA INAMWOMBEA MAMA AFANIKIWE. HAKUNA ANAYEMWOMBEA JPM TENA..
😂😂😂😂😂. Mtu unataka hata kutoa roho sababu ya mfu mwendazake? Yani naona unaandika kwa hasira kweli. 😂😂😂😂😂😂. Unajipa stress tu za bure. Kati ya mimi na ww nani anaimba mapambio hapa. Kengee wwEndelea kuimba mapambio! Mpuuzi nakwambia utakufa tu siunajifanya unajua!
Don't complicate things,abiria wanaosafiri Kwa ndege Kwa mwezi mzima ni abiria 250!safari ziko 3 Kwa wiki hivyo basi watu ambao wangesafiri tuseme j3 na hakuna ndege wanalazimika kubook siku ambayo Kuna ratiba ya ndege!Mkuu uko na akili sawa kweli! Mean mean on reality, ungeweja basi na regression factor
Sasa inakuwaje abiria 250 kwa mwezi? Hao wasukuma wakipanda ndege watatua mwanza. Mwanza airport ni karibu na Mwanza yenyewe,Geita, Simiyu na Shinyanga.Wewe pimbi ni kabila gani? Mimi nijuavyo nchi hii watumiaji wa ndege za local wengi ni chaga,wasukuma na wahaya! Kidogo na watu wa mbeya.
Kumbe vita yako inawahusu wakazi wa Chato? Ok mimi nautumia sana uwanja huo kupita tu hata kama sio mkazi wa Chato na ushahidi huu hapa.Wewe ni mkazi wa Chato?Ndege inapotua Chato na kuondoka lazima iingie kwenye record kuwa imepaa kutoka Chato na abiria wangapi!
Nipe ushahidi wa tiketi maana ni online booking,Naona umeleta story tu ya kujitungia!Weka ticket Moja tu,ficha details!
Angalia tena hesabu yako mkuu; kasema ndege zinatua mara 3 kwa wiki, wewe ume assume ndege zinatua/inatua kila siku, sio fair bwana...! Joke250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Abiria ni hao hao 250 in total,mfani ndege ingekuwa inafanya safari kila siku,Huoni hao abiria 250 ndio wangejigawa Kwa hizo siku 30?Angalia tena hesabu yako mkuu; kasema ndege zinatua mara 3 kwa wiki, wewe ume assume ndege zinatua/inatua kila siku, sio fair bwana...! Joke
Ni assuption tena, huenda wangezidi cause unapo fanya booking ndege inakwambia kabisa ratiba ilivyo, sio kazi kubwa, jaribu tu hata wewe, fanya kama unataka kusafiri utaona hilo. Sitetei ujenzi wa uwanja huo na wala binafsi sijawahi kufika Chato but najaribu kuangalia the way ulivyoiweka formula yako, kugawanyia 30 sio sawa, ungetafuta siku 3 kwa wiki katika mwezi zipo ngapi then jibu lake ndio ugawanye kwa hiyo 250. All in all, uwanja wa ndege wa Chato was another wastage of money in our countryAbiria ni hao hao 250 in total,mfani ndege ingekuwa inafanya safari kila siku,Huoni hao abiria 250 ndio wangejigawa Kwa hizo siku 30?
Mimi nilitaka kujua kama kila siku kungekuwa na ndege,basi tungekuwa na abiria 8 watakaopandia Chato!Ni assuption tena, huenda wangezidi cause unapo fanya booking ndege inakwambia kabisa ratiba ilivyo, sio kazi kubwa, jaribu tu hata wewe, fanya kama unataka kusafiri utaona hilo. Sitetei ujenzi wa uwanja huo na wala binafsi sijawahi kufika Chato but najaribu kuangalia the way ulivyoiweka formula yako, kugawanyia 30 sio sawa, ungetafuta siku 3 kwa wiki katika mwezi zipo ngapi then jibu lake ndio ugawanye kwa hiyo 250. All in all, uwanja wa ndege wa Chato was another wastage of money in our country
Mimi nimefanya hivi; kwa wiki ndege inatua mara 3, mwezi mmoja una wiki 4 so kuna siku ngapi katika mwezi? ni 4x3=12 so ndege hizi za ATC inatua Chato mara 12 kwa mwezi and hence 250/12=20.8 so bado kwa hesabu (kama ni kweli lakini, maanake wengine ni waongo sana ) ni watu 20 point something, au unaweza uka estimate to 21 watu per trip; kama sio uongo to me naona sio mbayaMimi nilitaka kujua kama kila siku kungekuwa na ndege,basi tungekuwa na abiria 8 watakaopandia Chato!
Lakini kwakuwa hakuna,basi wastani wa abiria Kwa safari hizo 3 Kwa wiki ni 8×7/3!
Wala sijaenda nje ya uhalisia!
Fanya rahisi,chukua 250/4 maana yake ni Kama abiria 62 Kwa wiki!Mimi nimefanya hivi; kwa wiki ndege inatua mara 3, mwezi mmoja una wiki 4 so kuna siku ngapi katika mwezi? ni 4x3=12 so ndege hizi za ATC inatua Chato mara 12 kwa mwezi and hence 250/12=20.8 so bado kwa hesabu (kama ni kweli lakini, maanake wengine ni waongo sana ) ni watu 20 point something, au unaweza uka estimate to 21 watu per trip; kama sio uongo to me naona sio mbaya
Amesema mara tatu kwa wiki, soma vizuri yaani mara 12 kwa mweziIpo mara moja kwa week mkuu!
Ndio maana ikawekwa mara 3 kwa wiki. Tatizo mkuu ni mtazamo wako wa kisiasa ndio maana unajitahidi kuja na non existing assumptions ili tu uonyeshe unachokitaka. Unajua kitu inaitwa stimulated demand? Bado sikubaliani na hesabu zako za kisiasaDon't complicate things,abiria wanaosafiri Kwa ndege Kwa mwezi mzima ni abiria 250!safari ziko 3 Kwa wiki hivyo basi watu ambao wangesafiri tuseme j3 na hakuna ndege wanalazimika kubook siku ambayo Kuna ratiba ya ndege!
So nikasema,kama ndege ingekuwepo kila siku,inamaana Bado abiria ni walewale 250!Hapo ndipo logic ya kugawanya Kwa 30 kuona wastani wa siku!
Chato haijawahi kuwa International Airport. Au ndio ile hesabu yako250 Kwa mwezi Kwa international airport kama Chato ni matumizi mabaya ya rasilimali!
Yaani Chato Bado sana hata iwe stimulated vp!Abiria 250 Kwa mwezi Kwa international airport kama Chato ni matumizi mabaya ya miundombinu!Ndio maana ikawekwa mara 3 kwa wiki. Tatizo mkuu ni mtazamo wako wa kisiasa ndio maana unajitahidi kuja na non existing assumptions ili tu uonyeshe unachokitaka. Unajua kitu inaitwa stimulated demand? Bado sikubaliani na hesabu zako za kisiasa
Ungefanya comparison na viwanja vingine kama vile Songwe Airport na Bukoba Airport ndio tungejua. Halafu, nani ajuaye ya kesho?250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!