Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Sijui kwanini Chato inatesa watu kiasi hiki.
Ndege hupitia Zanz kutokea jro sometimes zinashusha abiria 1 na kupakia 2 kuja dar lkn hatupigi kelele lakini Chato imekuwa Nongwa kiasi hiki.
 
Mkuu huwa nakuaminia hoja zako lkn hapa naona unachemka, abiria wakiwa ndani ya ndege hawahesabiwi kuwa wametua isipokuwa walioshuka.
 
Tatizo la Waafrika mara zote ni kuangalia mambo ya leo tu,

Wazungu wana mipango ya muda mrefu ndio maana wametuacha mbali sana.

Hapo in 20 years to come if the need arises uwanja utakuwepo na utatumika.
 
250/4=62
Abiria 62 kwa siku kwa ndege kama Bombardier sio mbaya.
Kwenye somo la hesabu uliwahi kufaulu japo mara moja?

Wiki katika mwezi = 4
Round trips per week = 3
Total flights per week = 3 × 2 = 6
Abiria kwa mwezi = 250

Wastani wa abiria kwa flight = 250÷(6×4) = 10.4

Ni abiria 10 tu kwa flight! Huu ni ujinga mkubwa. Hiyo hasara analipa nani?
 
Mwambieni bibi yenu akabomoe huo uwanja!
 
Ni wanafamilia wa Magu, Kalemani, na Dotto, hao ndio hupanda ndege hiyo, ni uwanja wa familia ya JPM, Rais wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza nchi hii, hovyo kabisa
Siyo kila mtu ni masikini kama wewe!
 
Angalia huyu nae eti anajiona ana akili. Acha kukurupuka, hesabu yangu inahusu aliesema ndege inakuja mara moja kwa wiki.
 
Alipenda miradi mikubwa ili aibe, ten percent, alimiliki fedha nyingi za wizi
Magufuli na rais yeyote wa tz hahitaji kuanzisha mamiradi ili kuiba hela!

Akitaka hela anatoa order tu anapewa!

Ngumbaru kama nyie hamjui hilo ndio maana gaidi yupo jela mpaka muda huu
 
Magufuli na rais yeyote wa tz hahitaji kuanzisha mamiradi ili kuiba hela!

Akitaka hela anatoa order tu anapewa!

Ngumbaru kama nyie hamjui hilo ndio maana gaidi yupo jela mpaka muda huu
Umechukua kopo la kutawazia? Naona unaharisha tu
 
Magufuli na rais yeyote wa tz hahitaji kuanzisha mamiradi ili kuiba hela!

Akitaka hela anatoa order tu anapewa!

Ngumbaru kama nyie hamjui hilo ndio maana gaidi yupo jela mpaka muda huu
Timu gaidi ni wapumbavu sana
 
Kwa nini ATCL wanalazimisha safari kwa kulitia hasara shirika wakati hakuna abiria?
 
Uwanja wa Bilioni 38 unahudumia abiria 250 kwa mwezi kwa wastani wa gharama za ATCL kwa abiria ni 450,000 kwa go and return ticket.Hivyo kurudisha gharama za ujenzi wa uwanja pekee unahitaji miaka 28. Bila kuweka gharama za uendeshaji

Na bado unakuja hapa kusifia ujinga ujinga na upumbavu kama huu. Magufuli alizuia uendelezwaji wa mradi wa Moroco kwa kigezo cha mradi hauna faida kisha akaenda kuwekeza hela kwenye uwanja wa familia yake ili wanae wawe wanatua na ndege nyumbani.
 
250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Huyu kilaza anapenda hesabu ila hajui namba.
 
250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Hujui biashara ya ndege wewe tuliza mshono. Mimi juzi nilienda Mtwara Bombadia tulikuwa abiria 15 tu kwenye ndege lakini bado ATCL wanaendelea kwenda huko.
 
Uongo
Sijui kwanini Chato inatesa watu kiasi hiki.
Ndege hupitia Zanz kutokea jro sometimes zinashusha abiria 1 na kupakia 2 kuja dar lkn hatupigi kelele lakini Chato imekuwa Nongwa kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…