Eng Rujomba Ananyanyasa watumishi na anatumia ukararibu wake na Waziri Aweso kuwanyanyasa watumishi, Katika kipindi chake cha Ukurugenzi amewashusha Vyeo watumishi 38 wanaopingana na Ufisadi wake. Watumishi wazalendo waliopingana na Ufisadi wa Eng Rujomba na wakashushwa vyeo ni hawa, PCCB , Usalama na Ofisi ya Waziri Mkuu mkitaka kuthibitisha waitwe waojiwe kwanini wameshushwa Vyeo.
1. Eng Humphrey Mwiyombelwa- Alikuwa ni Technical Manager , Waziri Aweso alimpatia Taarifa Eng Rujomba kuwa akae kwa taadhari na Eng Mwiyombelwa anatishia cheo chake baada ya Rujomba kupokea taarifa kutoka kwa Waziri akaanz kumfrustrate Eng Mwiyombelwa mwisho wa Siku Eng Mwiyombelwa akaandika barua ya kuacha kazi , Shukrani kwa Ofisi ya waziri Mkuu, Usalama wa Taifa na Wizara ya Utumishi Baada ya Eng Humphray kukaa kitaa kwa Muda wa Mwaka Mmoja walipata taarifa na kuifanyia Kazi Na wakatoa Maelekezo kwa Waziri Aweso ampangie kituo Kwa Sasa Eng Humphrey ni MD wa Mamlaka ya maji Igunga.
2. Edes Mushi- Alikuwa Ni Manager wa Biashara AUWSA na Mwenyekiti wa Tender Board , Huyu aliamishwa Moshi baada ya kugoma kupitisha Tender za Magumashi za Eng Rujomba
3. Benedict Kitigwa- Alikuwa ni Mkuu wa Kitengo cha ugavi, Kama Mushi aliondolewa Baada ya kukataa kupitisha dili za Rujomba
4. Said Galambo Alikuwa ni Afisa Ugani, ameamishiwa ofisi ndogo ya USA River Baada ya kumgomea Eng Rujomba kutoa Delivery note hewa ya kupokea Mzigo hewa ili Supplier alipwe,
5. Mosha.. Mtaalam wa Matengezo , Ameondolewa kushiriki matengenezo ya Vifaa vya Moto Baada ya kugoma kufunga spare mbovu ambazo zinaletwa na Suplier ambao Eng Rujomba ana maslahi nao ( Anavuta punga)
6.Ringo- ameondolewa kitengo cha Matengezo Baada ya kugoma kufunga spare mbovu
7.Eng Tarimo- Alikuwa ni Engineer Mkuu wa kanda ya Ngaramtoni ameamishiwa Ofisi ya Bwawa la Majitaka Mkono ni Baada ya kuisiwa anatoa taarifa ofisi za Usalama.
8.Maisha Mvungi, Alikuwa ni Manager wa Kanda ya Longido amerudishwa Makao Makuu Bench ni Baada ya kugoma kupitisha Malipo hewa kulipwa Kampuni ya Tumaini Engineer iliyokuwa imepewa Jukumu la kutafuta na Kusimamia Vibarua wa Mradi wa Longido- Namanaga. kampuni ya Tumainiβs Engineer ilikuwa inapeleka invoice hewa kwa Eng Maisha apitishe Malipo baada ya Maisha kugoma Eng Rujomba akamuamishia Bench HQ..
9.Maadam Mija, aliamishwa Baada ya kukataa kutoa tender za Uniform kwa Kampuni ya Eng Rujomba, Tender ya Mashati 2021/2022 kampuni iliyoshinda ilitoa ofa ya Shati 1 kwa Tzs 25,000/= Rujomba akawa analazimisha apewe wa Tshs 54,000/= Baada ya Mija kugoma akaamishiwa pondi ya Lemara akafaidi harufu.. hii ndiyo zawadi aliyopewa huyu Mzalendo mwenye Uchungu na Mamlaka.
10. Eng Mkama ameamishiwa Ofisi ya kanda ya Ngaramtoni kutoka ofisi ya mradi mkubwa ni Baada ya kugoma kutoa Certificate ya Malipo kwa kampuni ya ujenzi wa Miundombinu ya Uhondoaji Majitaka, Kampuni imefanya kazi chini ya Kiwango Eng Mkama alivyogoma kupitisha Certificate ya Malipo akaondolewa , Wakandarasi wa mradi Mkubwa wamekuwa wakitoa Fedha 10% kwa Eng Rujomba kwa kila Certificate ya Malipo
11.William Shayo.. Alikuwa ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mahusiano kwa sasa yupo Benchi HQ ni Baada ya kugoma kumlipia Malazi hawara wa Eng Rujomba waliokuwa naye ziara Ngorongoro. Shayo alihoji atumie Fungu lipi kumlipa hawara wa Eng Rujomba waliokuwa naye Ngorongoro hii imemgharimu shayo.
12. Amani Mtui- Driver ameamishwa kwenda ofisi ya Monduli ni Baada ya kuhuliza maswali kwenye kikao cha Wafanyakazi wote na bodi, Dawa yake ikawa apelekwe Monduli
13. Ibrahim Gagala- Alikuwa ni Manager wa Zonal ya Ngaramtoni ameamishiwa HQ ni Baada ya kufoward Taarifa anazotoa Mchunguzi huru Moshi town .
14.Eng Steven Msesega, Mkuu wa Kitengo cha matengenezo amepigwa marufuku kujiusisha na matengenezo ya vifaa vya Moto ni Baada ya kugoma kupokea Vifaa vya Matengenezo Vibovu alivyokuwa analeta Fundi John kutoka Moshi ambaye alipewa Tender ya kufufua magari mabovu bila kufuata taratibu za matengenezo ya magari. Kwa sasa Eng Msesega amebaki na Jukumu la kuwasha na kuzima pump za Maji.
15. Maadam Mwajabu alikuwa ni afisa ugavi ameamishiwa Musoma Baada ya kukataa kutoa tender kampuni za Eng Rujomba .
16 Naima ameshushwa cheo bila sababu ya Msingi kutoka Ofisi ya PR kwenda front Desk Lemara.
17. CPA Ngatunga ameshushwa cheo bila Sababu kutoka Ofisi ya Uhasibu yupo Bench Hq
18.Oscar Kitime- Huyu Guru wa IT alikuwa ni mkaguzi wa Mifumo ya Electronics ameondolewa ofisi ya Ukaguzi Baada ya kufanya ukaguzi wa Mfumo na kukuta matumizi mabaya ya Fedha anayofanya Eng Rujomba bila kufuata taratibu, Ameamishiwa ofisi ya ukaguzi wa Vitabu vya Sheria
Orodha ya watumishi walionewa ni wengi wengine ni hawa
19. Martha - Ameameshwa kutoka Audit kwenda Kitengo hewa cha Pre Audit
20.Swai -Ameamishwa kutoka kitengo cha Ujenzi
21.Mbanza- Driver
22. Christine- Ameamishwa kutoka idara ya Uhasibu kwenda kitengo hewa cha Pre -Audit
23. Mary Maleko- Aliamishwa kutoka Ofisi ya PRO kwenda kuwa Front Desk Zonal Office, Ameamishwa kwa kuisiwa alikuwa anatoa taarifa kwa Mkurugenzi wa Zamani Ruth Koya,Baada ya kuanza Kujipendekeza na Kuachia Mzigo amepewa Umeneja wa kanda ya Ngaramtoni.
Waziri Mkuu , Wizara ya Utumishi Saidieni AUWSA Watumishi wananyanyasika na kutishiwa kushushwa Vyeo.Wizara ya Maji na Bodi ya AUWSA Rujomba ameiweka Mfukoni anafanya analotoka.