Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ni Matumizi mabaya ya Fedha za Umma,Hii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
Umekosa Posho tu. ...Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii kwenye Mbuga ya Wanyama Serengeti kinyume na maagizo ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa aliyoyatoa wakati akifunga Bunge la Bajeti 2022/2023.
Mheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa alipiga marufuku Taasisi za Umma kutumia Fedha za walipa kodi katika Semina , Warsha na Utalii na badala yake akatoa agizo semina na Warsha Zifanyike kwa Njia ya mitandao ili kuongeza kasi ya maendeleo.
Ziara hii imefanya Shuguli za Mamlaka ( Maunganisho Mapya , Makusanyo na Uzibaji wa Mivujo ) kusimama kutokana na Usafiri wa Mafundi kwa maana ya Magari 8 yameenda katika Ziara hiyo hivyo Kufanya Mafundi kushindwa kwenda sites kuhudumia Wakazi wa Jiji la Arusha.
Kaimu Mkurugenzi AUWSA ameachiwa Junior staff Arnord Kipanju ( Ambaye ni Mpwa wake MD Rujomba) kutokana na Menejiment yote ( MD, Wakuu wa Idara , Wakuu wa Sehemu na units) wote 28 wamesafiri .
Ziara hii inafanyika wakati Upotevu wa Maji AUWSA ukiwa ni 63% kwa Lugha Raisi ni kwamba AUWSA inauza Maji asilimia 37% tuu Asilimia 63 ya Maji yanapotea
Pamoja na Serikali kuu Kuvunja mkataba wa AUWSA na Mkandarasi wa Mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya Uhondoaji majitaka wa A to Z Kampuni ya Tumaini Engineer wahusika waliousika katika kuingia Mkataba huu wa kifisadi wapo huru na wanajisifu hakuna wa kuwakamata kwa maana wameiweka Wizara ya Maji, na TAKUKURU Arusha Mfukoni .
Haya yanatendeka ikiwa Tayari Serikali Imetoa Tzs 530 bilion kusambaza maji Jiji la Arusha lakini Maji ayaonekani yakiongezeka katika Jiji la Arusha Mgao wa Maji umeongezeka maradufu.
Aliyosema hayana maana?Umekosa Posho tu. ...
Ngoja tufuatilie, watu wawajibishwe accordingly. Asante kwa taarifa, whistle blower!! keep it up.Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii kwenye Mbuga ya Wanyama Serengeti kinyume na maagizo ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa aliyoyatoa wakati akifunga Bunge la Bajeti 2022/2023.
Mheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa alipiga marufuku Taasisi za Umma kutumia Fedha za walipa kodi katika Semina , Warsha na Utalii na badala yake akatoa agizo semina na Warsha Zifanyike kwa Njia ya mitandao ili kuongeza kasi ya maendeleo.
Ziara hii imefanya Shuguli za Mamlaka ( Maunganisho Mapya , Makusanyo na Uzibaji wa Mivujo ) kusimama kutokana na Usafiri wa Mafundi kwa maana ya Magari 8 yameenda katika Ziara hiyo hivyo Kufanya Mafundi kushindwa kwenda sites kuhudumia Wakazi wa Jiji la Arusha.
Kaimu Mkurugenzi AUWSA ameachiwa Junior staff Arnord Kipanju ( Ambaye ni Mpwa wake MD Rujomba) kutokana na Menejiment yote ( MD, Wakuu wa Idara , Wakuu wa Sehemu na units) wote 28 wamesafiri .
Ziara hii inafanyika wakati Upotevu wa Maji AUWSA ukiwa ni 63% kwa Lugha Raisi ni kwamba AUWSA inauza Maji asilimia 37% tuu Asilimia 63 ya Maji yanapotea
Pamoja na Serikali kuu Kuvunja mkataba wa AUWSA na Mkandarasi wa Mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya Uhondoaji majitaka wa A to Z Kampuni ya Tumaini Engineer wahusika waliousika katika kuingia Mkataba huu wa kifisadi wapo huru na wanajisifu hakuna wa kuwakamata kwa maana wameiweka Wizara ya Maji, na TAKUKURU Arusha Mfukoni .
Haya yanatendeka ikiwa Tayari Serikali Imetoa Tzs 530 bilion kusambaza maji Jiji la Arusha lakini Maji ayaonekani yakiongezeka katika Jiji la Arusha Mgao wa Maji umeongezeka maradufu.
Yamemkuta ndugu yangu. Bili imekuja kubwa utafikiri labda ana shamba la miwa. Kumbe ni michezo yaoOngezea na bili kubwa za mwezi zisizo na uhalisia.
Angekuwa kwenye msafara asingeyaleta humu .....Aliyosema hayana maana?
Eng Rujomba ndiyo ana Majungu alimfitinisha Aliyekuwa Technical Manager ( TM) Eng Humphrey Mwiyombela kwa Waziri Wa Maji Juma Aweso wakataka kumfukuza kazi , Engineer Mwiyombelwa akawashtukia mapema akaandika barua ya kuacha kazi masaa 24 ,Pongezi ofisi ya Waziri Mkuu , Wizara ya Utumishi na Usalama wa Taifa wameona uonevu / Figisu alizofanyiwa Eng Mwiyombelwa wakaagiza Waziri wa Maji Juma Aweso amrudishe kazini mara moja na alipwe stahiki zake zoteHii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
Majungu ya Eng Rujomba ndiyo yalimwondoa Mjumbe wa Bodi Mroso . Eng Rujomba alipeleka Taarifa kwa waziri Aweso kuwa Mjumbe wa Bodi Mroso ni msunbufu anahoji kila kitu katika vikao vya bodi na anamkwamisha kupiga dili za kununua Bomba za Maji na Plasco hivyo aondolewe kwenye Bodi, Waziri naye kwa kuwa ana Maslahi wakamuondoa Mroso kwenye bodi akamteua Ndugu yake kuwa Mjumbe wa Bodi.Hii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
Ni Majungu ya Eng Rujomba ndiyo yaliwaondoa Vijana wachapa kazi AUWSA Mkuu wa Kitengo cha Ugavi Kitigwa na Manager Biashara Edes Mushi ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Tender BoardHii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
Tukumbushane.Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii kwenye Mbuga ya Wanyama Serengeti kinyume na maagizo ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa aliyoyatoa wakati akifunga Bunge la Bajeti 2022/2023.
Mheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa alipiga marufuku Taasisi za Umma kutumia Fedha za walipa kodi katika Semina , Warsha na Utalii na badala yake akatoa agizo semina na Warsha Zifanyike kwa Njia ya mitandao ili kuongeza kasi ya maendeleo.
Ziara hii imefanya Shuguli za Mamlaka ( Maunganisho Mapya , Makusanyo na Uzibaji wa Mivujo ) kusimama kutokana na Usafiri wa Mafundi kwa maana ya Magari 8 yameenda katika Ziara hiyo hivyo Kufanya Mafundi kushindwa kwenda sites kuhudumia Wakazi wa Jiji la Arusha.
Kaimu Mkurugenzi AUWSA ameachiwa Junior staff Arnord Kipanju ( Ambaye ni Mpwa wake MD Rujomba) kutokana na Menejiment yote ( MD, Wakuu wa Idara , Wakuu wa Sehemu na units) wote 28 wamesafiri .
Ziara hii inafanyika wakati Upotevu wa Maji AUWSA ukiwa ni 63% kwa Lugha Raisi ni kwamba AUWSA inauza Maji asilimia 37% tuu Asilimia 63 ya Maji yanapotea
Pamoja na Serikali kuu Kuvunja mkataba wa AUWSA na Mkandarasi wa Mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya Uhondoaji majitaka wa A to Z Kampuni ya Tumaini Engineer wahusika waliousika katika kuingia Mkataba huu wa kifisadi wapo huru na wanajisifu hakuna wa kuwakamata kwa maana wameiweka Wizara ya Maji, na TAKUKURU Arusha Mfukoni .
Haya yanatendeka ikiwa Tayari Serikali Imetoa Tzs 530 bilion kusambaza maji Jiji la Arusha lakini Maji ayaonekani yakiongezeka katika Jiji la Arusha Mgao wa Maji umeongezeka maradufu.
Daaah! Kuna kaya ilikuwa inatumia maji ya 30-50 elfu lakini bill ya mwezi wa 6 imeletewa laki 1 na 17 elfu na hakuna matumizi makubwa yaliyoongezeka.Ongezea na bili kubwa za mwezi zisizo na uhalisia.
Pole sanaHawa mafala walileta bill inasoma unit 43 Mara unit 32 ikiwa Ndogo unit 28 nikapiga hesabu 1unit = 1,000lt nikamaliza nikaja kwenye 1,000lt = (ndoo 50 za 20lt na kiuhalisia huwa 18.kadhaa)
Swali likaja inamana kilasiku natumia ndoo Zaid ya 30 za 20lt kila moja jibu n hapana nikaenda AUWASA wakanipa store nikawaambia asubuh sie tunatoka wote jion tunarud pia maji huwa mnataka kwawiki Mara mbili au tatu pia mchina anakata maji sababu ya majitajka yake kingine sie hatuna reserved tank Sasa inakuaje?
Hawa jamaa hawaoni uchungu maji kupotea nikawatumia video sehemu mbili kwa uwiano wakaribu maji yanamwagika Cha ajabu ilichukua wiki 3 kuja kurekebisha tena baada ya kuona gar mtaani linapita kuelekea mjini maajabu Zaid wasghulikia sehemu moja nyingine wakaacha wakati distance n Kama mita 2 tuu yaan hapo nikachoka.
Saiz umepita Kama mwez tuu au unakaribia kuisha tangu warekebishe pale Ila tatizo limerudi pale pale yaan mpaka nimeona najisumbua.
Nimatumain yangu wahusika wakisoma watashughulikia Kuna kile kidem white wanakiita supervisor nafkir huyo ndo tatizo Jambo naamin sijui ndo boss wake nikishamueleza nilimuita Mara tatu nimekaa sehemu ili nikamuonyeshe sehemu inayovuja mahi aisee hakuja na alikuwa busy nasimu yaan vijana wanaongoza kudidimiza uchumi wa Taifa hili.
Inaonekana watumishi wengi wa AUWASA n wa mchongo yaan shikamoo n nyingi