Menejimenti ya AUWSA yakaidi agizo la Waziri Mkuu, Wametumia Milioni 216 kwenda kutalii Mwanza

Menejimenti ya AUWSA yakaidi agizo la Waziri Mkuu, Wametumia Milioni 216 kwenda kutalii Mwanza

Hii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
Issue ni Matumizi mabaya ya Fedha za Umma,

Kama Kupiga MD wenu Rujomba anapiga sana una taarifa amenunuliwa simu yenye Gharama ya Tzs 5,564,658. Badala ya Simu ya 1M ambayo anapaswa kununuliwa, PCCB Chunguzeni kwanini imetumika Milion hizi zote kununua simu wakati Mkataba wa hali bora unasema atanunuliwa simu ya Tzs 1Milion

PCCB chunguzeni Tarehee 6 June hadi 7 June AUWSA imetumia Tzs 41 Milion kukarimu kamati ya Bunge ya Bajeti waliokwenda kukagua Fedha za COVID, TZs 41 Milion ikitumika kujenga miundombinu ya Majisafi na taka itajenga Km ngapi? Ni sahii kamati ya Bunge kukarimiwa kwa Tzs 41Milion wakati wakazi wa Terati awana maji?

PCCB chunguzeni matumizi ya Tzs 10 Milion iliyotumika kwenda kukagua Furniture ( Kiti na Meza za MD Rujomba) Ni akili au tope kutumia 10 Milion kukagua sofa, Kuna MD wa Moshi mzee kisonte Mwaka 2008 alifikishwa Mahakamani kwa unadhirifu wa Tzs 1M kwanini wengine awashitakiwi kwa Ufisadi?

PCCB chunguzeni Posho za Wiki ya Maji FAM ( Finance and Administrtion
Manager) alikuwa likizo na amelipwa Posho .

PCCB chunguzeni Baada ya Mkataba wa Ujenzi wa Miundombinu ya
Uhondoaji Majitaka A to Z kusitishwa kwanini walioingiza Serikali hasara ya Tzs 2.5 bilion wapo huru hadi sasa na wanatamba kuwaweka mfukoni .
 
Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii kwenye Mbuga ya Wanyama Serengeti kinyume na maagizo ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa aliyoyatoa wakati akifunga Bunge la Bajeti 2022/2023.

Mheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa alipiga marufuku Taasisi za Umma kutumia Fedha za walipa kodi katika Semina , Warsha na Utalii na badala yake akatoa agizo semina na Warsha Zifanyike kwa Njia ya mitandao ili kuongeza kasi ya maendeleo.

Ziara hii imefanya Shuguli za Mamlaka ( Maunganisho Mapya , Makusanyo na Uzibaji wa Mivujo ) kusimama kutokana na Usafiri wa Mafundi kwa maana ya Magari 8 yameenda katika Ziara hiyo hivyo Kufanya Mafundi kushindwa kwenda sites kuhudumia Wakazi wa Jiji la Arusha.

Kaimu Mkurugenzi AUWSA ameachiwa Junior staff Arnord Kipanju ( Ambaye ni Mpwa wake MD Rujomba) kutokana na Menejiment yote ( MD, Wakuu wa Idara , Wakuu wa Sehemu na units) wote 28 wamesafiri .

Ziara hii inafanyika wakati Upotevu wa Maji AUWSA ukiwa ni 63% kwa Lugha Raisi ni kwamba AUWSA inauza Maji asilimia 37% tuu Asilimia 63 ya Maji yanapotea

Pamoja na Serikali kuu Kuvunja mkataba wa AUWSA na Mkandarasi wa Mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya Uhondoaji majitaka wa A to Z Kampuni ya Tumaini Engineer wahusika waliousika katika kuingia Mkataba huu wa kifisadi wapo huru na wanajisifu hakuna wa kuwakamata kwa maana wameiweka Wizara ya Maji, na TAKUKURU Arusha Mfukoni .

Haya yanatendeka ikiwa Tayari Serikali Imetoa Tzs 530 bilion kusambaza maji Jiji la Arusha lakini Maji ayaonekani yakiongezeka katika Jiji la Arusha Mgao wa Maji umeongezeka maradufu.
Umekosa Posho tu. ...
 
Ngoja tufuatilie, watu wawajibishwe accordingly. Asante kwa taarifa, whistle blower!! keep it up.

Yesu ni Kristo
 
Watoto humjua baba yao vyema kuliko wengine. Akifoka, wanajua kama yupo serious ama la. Ndicho kinachoendelea huko
 
Aache watu wale, yeye mwenyewe aanze na bunge liendeshwe kwa njia ya mtandao zaidi ya hapo kila mtu ale kwa urefu kwa kamba yake
 
Hawa mafala walileta bill inasoma unit 43 Mara unit 32 ikiwa Ndogo unit 28 nikapiga hesabu 1unit = 1,000lt nikamaliza nikaja kwenye 1,000lt = (ndoo 50 za 20lt na kiuhalisia huwa 18.kadhaa)

Swali likaja inamana kilasiku natumia ndoo Zaid ya 30 za 20lt kila moja jibu n hapana nikaenda AUWASA wakanipa store nikawaambia asubuh sie tunatoka wote jion tunarud pia maji huwa mnataka kwawiki Mara mbili au tatu pia mchina anakata maji sababu ya majitajka yake kingine sie hatuna reserved tank Sasa inakuaje?

Hawa jamaa hawaoni uchungu maji kupotea nikawatumia video sehemu mbili kwa uwiano wakaribu maji yanamwagika Cha ajabu ilichukua wiki 3 kuja kurekebisha tena baada ya kuona gar mtaani linapita kuelekea mjini maajabu Zaid wasghulikia sehemu moja nyingine wakaacha wakati distance n Kama mita 2 tuu yaan hapo nikachoka.

Saiz umepita Kama mwez tuu au unakaribia kuisha tangu warekebishe pale Ila tatizo limerudi pale pale yaan mpaka nimeona najisumbua.

Nimatumain yangu wahusika wakisoma watashughulikia Kuna kile kidem white wanakiita supervisor nafkir huyo ndo tatizo Jambo naamin sijui ndo boss wake nikishamueleza nilimuita Mara tatu nimekaa sehemu ili nikamuonyeshe sehemu inayovuja mahi aisee hakuja na alikuwa busy nasimu yaan vijana wanaongoza kudidimiza uchumi wa Taifa hili.

Inaonekana watumishi wengi wa AUWASA n wa mchongo yaan shikamoo n nyingi
 
Hii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
Eng Rujomba ndiyo ana Majungu alimfitinisha Aliyekuwa Technical Manager ( TM) Eng Humphrey Mwiyombela kwa Waziri Wa Maji Juma Aweso wakataka kumfukuza kazi , Engineer Mwiyombelwa akawashtukia mapema akaandika barua ya kuacha kazi masaa 24 ,Pongezi ofisi ya Waziri Mkuu , Wizara ya Utumishi na Usalama wa Taifa wameona uonevu / Figisu alizofanyiwa Eng Mwiyombelwa wakaagiza Waziri wa Maji Juma Aweso amrudishe kazini mara moja na alipwe stahiki zake zote

,Amerudishwa kazi na amepandishwa Cheo kuwa MD wa Mamlaka ya Maji Igunga

Management AUWSA Mkitoka kutalii Serengeti na Mwanza msisahau kupita hapo Mamlaka ya Maji Igunga mumsalimie MD Mwiyombelwa na mumwachie zawadi .
 
Hii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
Majungu ya Eng Rujomba ndiyo yalimwondoa Mjumbe wa Bodi Mroso . Eng Rujomba alipeleka Taarifa kwa waziri Aweso kuwa Mjumbe wa Bodi Mroso ni msunbufu anahoji kila kitu katika vikao vya bodi na anamkwamisha kupiga dili za kununua Bomba za Maji na Plasco hivyo aondolewe kwenye Bodi, Waziri naye kwa kuwa ana Maslahi wakamuondoa Mroso kwenye bodi akamteua Ndugu yake kuwa Mjumbe wa Bodi.

Hii Nchi Ufisadi auwezi kuisha, Ukimuona Aweso anakemea Ufisadi unaweza ukadhani anamaanisha kutoka moyoni kumbe ni zuga tuu, wiki mbili zilizopita ameagiza tender ya Mabomba yote yenye thamani ya Tzs 18 bilion apewe Plasco
 
Hii AUWASSa ina majungu sana hakuna lolote nyie ndio mlikuwa wapigaji sasa mmebanwa pumbu mnaanza kupaparika, Viongozi pigeni kazi.........
Ni Majungu ya Eng Rujomba ndiyo yaliwaondoa Vijana wachapa kazi AUWSA Mkuu wa Kitengo cha Ugavi Kitigwa na Manager Biashara Edes Mushi ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Tender Board

Hawa Vijana Edes Mushi na Kitigwa walikataa Magumashi ya Rujomba ya kutaka kupiga dili, Baada ya kumgomea kupitisha dili zake akapeleka taarifa kwa Waziri kuwa waondolewe bila kufanya utafiti waziri akawawaondoa na kuwaamishia Moshi na Babati.

Rujomba ni mtu wa Majungu toka akiwa moshi tunamfahamu ni mfitini na ni fisadi mkubwa.
 
Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii kwenye Mbuga ya Wanyama Serengeti kinyume na maagizo ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa aliyoyatoa wakati akifunga Bunge la Bajeti 2022/2023.

Mheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa alipiga marufuku Taasisi za Umma kutumia Fedha za walipa kodi katika Semina , Warsha na Utalii na badala yake akatoa agizo semina na Warsha Zifanyike kwa Njia ya mitandao ili kuongeza kasi ya maendeleo.

Ziara hii imefanya Shuguli za Mamlaka ( Maunganisho Mapya , Makusanyo na Uzibaji wa Mivujo ) kusimama kutokana na Usafiri wa Mafundi kwa maana ya Magari 8 yameenda katika Ziara hiyo hivyo Kufanya Mafundi kushindwa kwenda sites kuhudumia Wakazi wa Jiji la Arusha.

Kaimu Mkurugenzi AUWSA ameachiwa Junior staff Arnord Kipanju ( Ambaye ni Mpwa wake MD Rujomba) kutokana na Menejiment yote ( MD, Wakuu wa Idara , Wakuu wa Sehemu na units) wote 28 wamesafiri .

Ziara hii inafanyika wakati Upotevu wa Maji AUWSA ukiwa ni 63% kwa Lugha Raisi ni kwamba AUWSA inauza Maji asilimia 37% tuu Asilimia 63 ya Maji yanapotea

Pamoja na Serikali kuu Kuvunja mkataba wa AUWSA na Mkandarasi wa Mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya Uhondoaji majitaka wa A to Z Kampuni ya Tumaini Engineer wahusika waliousika katika kuingia Mkataba huu wa kifisadi wapo huru na wanajisifu hakuna wa kuwakamata kwa maana wameiweka Wizara ya Maji, na TAKUKURU Arusha Mfukoni .

Haya yanatendeka ikiwa Tayari Serikali Imetoa Tzs 530 bilion kusambaza maji Jiji la Arusha lakini Maji ayaonekani yakiongezeka katika Jiji la Arusha Mgao wa Maji umeongezeka maradufu.
Tukumbushane.

Wakati hayo mengine yakiendelea,

Agenda kuu nchini Kwa sasa ni Katiba mpya.

Rasimu ya Judge Warioba irudi mezani Tuanzie mjadala hapo.

Amen
 
Ongezea na bili kubwa za mwezi zisizo na uhalisia.
Daaah! Kuna kaya ilikuwa inatumia maji ya 30-50 elfu lakini bill ya mwezi wa 6 imeletewa laki 1 na 17 elfu na hakuna matumizi makubwa yaliyoongezeka.
 
Hawa mafala walileta bill inasoma unit 43 Mara unit 32 ikiwa Ndogo unit 28 nikapiga hesabu 1unit = 1,000lt nikamaliza nikaja kwenye 1,000lt = (ndoo 50 za 20lt na kiuhalisia huwa 18.kadhaa)

Swali likaja inamana kilasiku natumia ndoo Zaid ya 30 za 20lt kila moja jibu n hapana nikaenda AUWASA wakanipa store nikawaambia asubuh sie tunatoka wote jion tunarud pia maji huwa mnataka kwawiki Mara mbili au tatu pia mchina anakata maji sababu ya majitajka yake kingine sie hatuna reserved tank Sasa inakuaje?

Hawa jamaa hawaoni uchungu maji kupotea nikawatumia video sehemu mbili kwa uwiano wakaribu maji yanamwagika Cha ajabu ilichukua wiki 3 kuja kurekebisha tena baada ya kuona gar mtaani linapita kuelekea mjini maajabu Zaid wasghulikia sehemu moja nyingine wakaacha wakati distance n Kama mita 2 tuu yaan hapo nikachoka.

Saiz umepita Kama mwez tuu au unakaribia kuisha tangu warekebishe pale Ila tatizo limerudi pale pale yaan mpaka nimeona najisumbua.

Nimatumain yangu wahusika wakisoma watashughulikia Kuna kile kidem white wanakiita supervisor nafkir huyo ndo tatizo Jambo naamin sijui ndo boss wake nikishamueleza nilimuita Mara tatu nimekaa sehemu ili nikamuonyeshe sehemu inayovuja mahi aisee hakuja na alikuwa busy nasimu yaan vijana wanaongoza kudidimiza uchumi wa Taifa hili.

Inaonekana watumishi wengi wa AUWASA n wa mchongo yaan shikamoo n nyingi
Pole sana
 
Eng Rujomba Ananyanyasa watumishi na anatumia ukararibu wake na Waziri Aweso kuwanyanyasa watumishi, Katika kipindi chake cha Ukurugenzi amewashusha Vyeo watumishi 38 wanaopingana na Ufisadi wake. Watumishi wazalendo waliopingana na Ufisadi wa Eng Rujomba na wakashushwa vyeo ni hawa, PCCB , Usalama na Ofisi ya Waziri Mkuu mkitaka kuthibitisha waitwe waojiwe kwanini wameshushwa Vyeo.

1. Eng Humphrey Mwiyombelwa- Alikuwa ni Technical Manager , Waziri Aweso alimpatia Taarifa Eng Rujomba kuwa akae kwa taadhari na Eng Mwiyombelwa anatishia cheo chake baada ya Rujomba kupokea taarifa kutoka kwa Waziri akaanz kumfrustrate Eng Mwiyombelwa mwisho wa Siku Eng Mwiyombelwa akaandika barua ya kuacha kazi , Shukrani kwa Ofisi ya waziri Mkuu, Usalama wa Taifa na Wizara ya Utumishi Baada ya Eng Humphray kukaa kitaa kwa Muda wa Mwaka Mmoja walipata taarifa na kuifanyia Kazi Na wakatoa Maelekezo kwa Waziri Aweso ampangie kituo Kwa Sasa Eng Humphrey ni MD wa Mamlaka ya maji Igunga.

2. Edes Mushi- Alikuwa Ni Manager wa Biashara AUWSA na Mwenyekiti wa Tender Board , Huyu aliamishwa Moshi baada ya kugoma kupitisha Tender za Magumashi za Eng Rujomba

3. Benedict Kitigwa- Alikuwa ni Mkuu wa Kitengo cha ugavi, Kama Mushi aliondolewa Baada ya kukataa kupitisha dili za Rujomba

4. Said Galambo Alikuwa ni Afisa Ugani, ameamishiwa ofisi ndogo ya USA River Baada ya kumgomea Eng Rujomba kutoa Delivery note hewa ya kupokea Mzigo hewa ili Supplier alipwe,

5. Mosha.. Mtaalam wa Matengezo , Ameondolewa kushiriki matengenezo ya Vifaa vya Moto Baada ya kugoma kufunga spare mbovu ambazo zinaletwa na Suplier ambao Eng Rujomba ana maslahi nao ( Anavuta punga)

6.Ringo- ameondolewa kitengo cha Matengezo Baada ya kugoma kufunga spare mbovu

7.Eng Tarimo- Alikuwa ni Engineer Mkuu wa kanda ya Ngaramtoni ameamishiwa Ofisi ya Bwawa la Majitaka Mkono ni Baada ya kuisiwa anatoa taarifa ofisi za Usalama.

8.Maisha Mvungi, Alikuwa ni Manager wa Kanda ya Longido amerudishwa Makao Makuu Bench ni Baada ya kugoma kupitisha Malipo hewa kulipwa Kampuni ya Tumaini Engineer iliyokuwa imepewa Jukumu la kutafuta na Kusimamia Vibarua wa Mradi wa Longido- Namanaga. kampuni ya Tumainiโ€™s Engineer ilikuwa inapeleka invoice hewa kwa Eng Maisha apitishe Malipo baada ya Maisha kugoma Eng Rujomba akamuamishia Bench HQ..

9.Maadam Mija, aliamishwa Baada ya kukataa kutoa tender za Uniform kwa Kampuni ya Eng Rujomba, Tender ya Mashati 2021/2022 kampuni iliyoshinda ilitoa ofa ya Shati 1 kwa Tzs 25,000/= Rujomba akawa analazimisha apewe wa Tshs 54,000/= Baada ya Mija kugoma akaamishiwa pondi ya Lemara akafaidi harufu.. hii ndiyo zawadi aliyopewa huyu Mzalendo mwenye Uchungu na Mamlaka.

10. Eng Mkama ameamishiwa Ofisi ya kanda ya Ngaramtoni kutoka ofisi ya mradi mkubwa ni Baada ya kugoma kutoa Certificate ya Malipo kwa kampuni ya ujenzi wa Miundombinu ya Uhondoaji Majitaka, Kampuni imefanya kazi chini ya Kiwango Eng Mkama alivyogoma kupitisha Certificate ya Malipo akaondolewa , Wakandarasi wa mradi Mkubwa wamekuwa wakitoa Fedha 10% kwa Eng Rujomba kwa kila Certificate ya Malipo

11.William Shayo.. Alikuwa ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mahusiano kwa sasa yupo Benchi HQ ni Baada ya kugoma kumlipia Malazi hawara wa Eng Rujomba waliokuwa naye ziara Ngorongoro. Shayo alihoji atumie Fungu lipi kumlipa hawara wa Eng Rujomba waliokuwa naye Ngorongoro hii imemgharimu shayo.

12. Amani Mtui- Driver ameamishwa kwenda ofisi ya Monduli ni Baada ya kuhuliza maswali kwenye kikao cha Wafanyakazi wote na bodi, Dawa yake ikawa apelekwe Monduli

13. Ibrahim Gagala- Alikuwa ni Manager wa Zonal ya Ngaramtoni ameamishiwa HQ ni Baada ya kufoward Taarifa anazotoa Mchunguzi huru Moshi town .

14.Eng Steven Msesega, Mkuu wa Kitengo cha matengenezo amepigwa marufuku kujiusisha na matengenezo ya vifaa vya Moto ni Baada ya kugoma kupokea Vifaa vya Matengenezo Vibovu alivyokuwa analeta Fundi John kutoka Moshi ambaye alipewa Tender ya kufufua magari mabovu bila kufuata taratibu za matengenezo ya magari. Kwa sasa Eng Msesega amebaki na Jukumu la kuwasha na kuzima pump za Maji.

15. Maadam Mwajabu alikuwa ni afisa ugavi ameamishiwa Musoma Baada ya kukataa kutoa tender kampuni za Eng Rujomba .

16 Naima ameshushwa cheo bila sababu ya Msingi kutoka Ofisi ya PR kwenda front Desk Lemara.

17. CPA Ngatunga ameshushwa cheo bila Sababu kutoka Ofisi ya Uhasibu yupo Bench Hq

18.Oscar Kitime- Huyu Guru wa IT alikuwa ni mkaguzi wa Mifumo ya Electronics ameondolewa ofisi ya Ukaguzi Baada ya kufanya ukaguzi wa Mfumo na kukuta matumizi mabaya ya Fedha anayofanya Eng Rujomba bila kufuata taratibu, Ameamishiwa ofisi ya ukaguzi wa Vitabu vya Sheria

Orodha ya watumishi walionewa ni wengi wengine ni hawa

19. Martha - Ameameshwa kutoka Audit kwenda Kitengo hewa cha Pre Audit
20.Swai -Ameamishwa kutoka kitengo cha Ujenzi
21.Mbanza- Driver

22. Christine- Ameamishwa kutoka idara ya Uhasibu kwenda kitengo hewa cha Pre -Audit

23. Mary Maleko- Aliamishwa kutoka Ofisi ya PRO kwenda kuwa Front Desk Zonal Office, Ameamishwa kwa kuisiwa alikuwa anatoa taarifa kwa Mkurugenzi wa Zamani Ruth Koya,Baada ya kuanza Kujipendekeza na Kuachia Mzigo amepewa Umeneja wa kanda ya Ngaramtoni.

Waziri Mkuu , Wizara ya Utumishi Saidieni AUWSA Watumishi wananyanyasika na kutishiwa kushushwa Vyeo.Wizara ya Maji na Bodi ya AUWSA Rujomba ameiweka Mfukoni anafanya analotoka.
 
Sina imani na waziri wa maji (ambaye akihutubia kila baada ya dakika moja hubwatuka " piga makofi kwa mama Samia, nani kama Samia") kwamba halioni hili na ananyamazia
 
Back
Top Bottom