Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Au mimi nimekwama kuelewa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au mimi nimekwama kuelewa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabila linaweza kuwa siyo shida.Shida huanza pale ulipooa boga.To cut the long story shot
Mengi kaoa mchaga mpaka kapata kizazi cha ovyo wapo miaka 40 na kuendelea ila hawana familia ila sio lazima
Mrema kaoa mchaga
Msuya kaoa huko usukumani sijui kaskazini
Mwaka kaoa msukuma
Manara kaoa Msukuma
Moral : Angalia makabila ya kuoa na nasaba za watu usije kuingia kweny matatizo
Kabila Lina matatizo pia kutokana na nasaba za watu ndo maana Mengi alienda kuoa nje ya kabila lake maana yeye kama tajiri wanae kibao kizazi cha ovyo kabisa ...mengi ni very smart ila kaona kazaa watoto wa ovyo yaani kufuja pesa na kuoa hawataki Leo wanagombeana Mali.Kabila linaweza kuwa siyo shida.Shida huanza pale ulipooa boga.
Ndio na mimi nataka kujua.., 😂😂😂😂Kwani alikuwa mkristu dhehebu gani?
Mkuu unataka kumaanisha hapo sukuma gang na chagastan ni wa kutafuna mbususu kimchepuko puko tu si wa kuoa asilani!! yan usithubutu hata kwa kurogwa kuoa hivyo viumbeTo cut the long story shot
Mengi kaoa mchaga mpaka kapata kizazi cha ovyo wapo miaka 40 na kuendelea ila hawana familia ila sio lazima
Mrema kaoa mchaga
Msuya kaoa huko usukumani sijui kaskazini
Mwaka kaoa msukuma
Manara kaoa Msukuma
Moral : Angalia makabila ya kuoa na nasaba za watu usije kuingia kweny matatizo
🤣🤣🤣Uwe makini watu Wana matatizoMkuu unataka kumaanisha hapo sukuma gang na chagastan ni wa kutafuna mbususu kimchepuko puko tu si wa kuoa asilani!yan usithubutu hata kwa kurogwa kuoa hivyo viumbe
umemuacha mshana jr naye yupo kinyume na wapinga ndoaNaomba nimwite raisi wa chama Cha kataa ndoa honourable Liverpool VPN na mwenyekiti wa chama Cha mkono bao na sheria ya kumwaga nje dronedrake wamekipigania chama sana
ndoa ipi? Mnajua maana ya ndoa lakini?Ndoa ni tendo kuu la Mungu la uumbaji. Kukataa ndoa ni kumkataa Mungu
kula tanoAcha kuleta nadharia wakati mimi nimekupa facts nilizoshuhudia kwa macho na masikio yangu mwenyewe na mifano nimetoa..
Kwahiyo baba yko alioa mti ndipo akakuzaa? NonsensicalSikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa? Nafafanua hapa kwa marefu na mapana.
-Nitamtolea mfano mzee wetu Dr. Reginald Mengi (R.I.P). Binafsi naelewa maumivu ya ndani kwa ndani aliyokuwa akiyapata kwa kutoletewa wajukuu na watoto wake wote; kuna yule Rodney Mengi, wakati Mola anamwita kwenye makazi ya milele, alikuwa na miaka 30, na kwa mapenzi yake mola hakuacha mtoto. (nasikia tu). Kuna mwingine wanamwita Abdiel Mengi, naambiwa ni over 50yrs, naye hadi Mengi anondoka hakuwa ameleta mjukuu (Nasikia tu). Na kuna mwingine anaitwa Isabel Mengi nadhani, sijui, ila probably yupo above 40, na hadi Dr.Mengi anaitwa na mola wake, hakuwa ameona mjukuu kwa binti yake (nasikia tu); in such a scenario mtu unaweza kuogopa kizazi chako kufutika huku unajiona mubashara kabisa. Sasa je utakubali?
Mengi akaona isiwe tabu, akamuoa Jackline Mengi ili apte wajukuu ambao pia ni watoto wake (mapacha). Lakini je, alipomuoa Jackline Mengi, kulikuwa na ulazima gani wa kufunga nae ndoa? Kwani angemzalisha na kuishi nae tu kwa umri ule angepungukiwa na nini kikubwa hasa? Matokea ya kufunga ndoa ndio hayo tumeayaona, kawaishwa pengine mapema zaidi ya muda aliopanga mola (Nasikia tu); na hadi sasa kinachoendelea huko mahakamani ni vita na mateso makali kwa familia yake. Hapa Mengi ilipaswa aoe tu na kulea watoto wake, ila sio kufunga Ndoa! Kataa ndoa!
-Sasa nahamia kwa Mrema masikini ya Mungu, mzee wa watu alishajimalizia yake yote hapa ya duniani, alikuwa anasubiri tu safari yake ya Mwisho; kibaya kilichotokea, alikuja kufunga ndoa na tapeli kabisa, maana alikuwa ni mke wa mtu ambaye alikuwa natumia hina feki la Doreen nadhani, matokeo yake , kawaishwa na kesi ya kugombea mali ipo mahakamani nadhani.., hapa huyu mzee alipaswa kuoa tu, na sio kufunga ndoa, kataa ndoa!
- Haya, Msuya nae, alishamaliza yake yote, ilikuwa ni kujipumzikia na kutafuna totoz at will, nae badala ya kuoa dogodogo wake na kuweka ndani, yeye akafunga ndoa tena ya kanisa! Nae kawaishwa kwa muumba wake, sijajua kama palitokea ugomvi wa mali, jamani, kataa ndoa!
Kuna huyu ndugu yetu mwenye changamoto ya ngozi, Bwana Haji Sunday Manara, alifunga ndoa ya kwanza, ya pili na ya tatu back to back! Hii ya tatu nasikia alioata mshtuki na kuanguka, sasa kama mtu una mke aliyefunga nae ndoa, huyu mwingine ilibidi uoe tu, haoakuwa na haja ya ndoa.., akizingua unaweka pembeni, sasa hapa tusubiri huyu Rushaynah kwenda mahakamani kudai talaka na mgao wa mali, the bi*tch seem so devious! Kataa ndoa!
Haya, hiki sakata ka mwisho ka Ndugu yetu, mganga wa Miti Shamba, Dr. Mwaka Juma Mwaka, alifunga ndoa ya kwanza, ya pili na ya tatu, hii ya Queen imeleta tafrani hadi Watz wote sasa wanaogopa kufunga ndoa, na walio kwenye ndoa wanatetemeka kwa ahili yake, hadi Sheikh mkuu katumbuliwa, at the heart of it all ni nyumba inagombewa, yaani Dokta Mwaka afanye kazi kama mbwa koko kujenga nyumba yake halafu mtu from nowhere aje kudai apewe kiulaini tu, nyie wanawake, hivi hamna huruma,?! Kwanini msijengage zenu ili na sisi wanaume tuje tudai tupewe?! Hamna hata chembe ya huruma kwa jasho la binadamu wenzenu?! Ni binadamu gani msio na huruma nyie! Mungu atawalipa
Basi olewaKATAA NDOA
NDOA NI WIZI
NDOA NI UTAPELI
USIOE
HAKUNA KUOA
Hatari mkuu! hivyo toka hizo kanda ni vya kuviogopa kama ukoma maana ionekanavyo kwao fursa ni mbele kwanza🤣🤣🤣Uwe makini watu Wana matatizo