Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mazingira ya Zamani kabla ya hii Beijing na women empowerment, ili make sense kufunga ndoa hata na wake watatu bila shida, kwa mazingira ya sasa na sheria za sasa, ndoa ni utapeli, pia ni gerezaKwahiyo baba yko alioa mti ndipo akakuzaa? Nonsensical
Jitafakari sana.Ndoa ni tendo kuu la Mungu la uumbaji. Kukataa ndoa ni kumkataa Mungu
Ndugu Msuya yupi aliyekufa umsemaye ?Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa? Nafafanua hapa kwa marefu na mapana.
-Nitamtolea mfano mzee wetu Dr. Reginald Mengi (R.I.P). Binafsi naelewa maumivu ya ndani kwa ndani aliyokuwa akiyapata kwa kutoletewa wajukuu na watoto wake wote; kuna yule Rodney Mengi, wakati Mola anamwita kwenye makazi ya milele, alikuwa na miaka 30, na kwa mapenzi yake mola hakuacha mtoto. (nasikia tu). Kuna mwingine wanamwita Abdiel Mengi, naambiwa ni over 50yrs, naye hadi Mengi anondoka hakuwa ameleta mjukuu (Nasikia tu). Na kuna mwingine anaitwa Isabel Mengi nadhani, sijui, ila probably yupo above 40, na hadi Dr.Mengi anaitwa na mola wake, hakuwa ameona mjukuu kwa binti yake (nasikia tu); in such a scenario mtu unaweza kuogopa kizazi chako kufutika huku unajiona mubashara kabisa. Sasa je utakubali?
Mengi akaona isiwe tabu, akamuoa Jackline Mengi ili apte wajukuu ambao pia ni watoto wake (mapacha). Lakini je, alipomuoa Jackline Mengi, kulikuwa na ulazima gani wa kufunga nae ndoa? Kwani angemzalisha na kuishi nae tu kwa umri ule angepungukiwa na nini kikubwa hasa? Matokea ya kufunga ndoa ndio hayo tumeayaona, kawaishwa pengine mapema zaidi ya muda aliopanga mola (Nasikia tu); na hadi sasa kinachoendelea huko mahakamani ni vita na mateso makali kwa familia yake. Hapa Mengi ilipaswa aoe tu na kulea watoto wake, ila sio kufunga Ndoa! Kataa ndoa!
-Sasa nahamia kwa Mrema masikini ya Mungu, mzee wa watu alishajimalizia yake yote hapa ya duniani, alikuwa anasubiri tu safari yake ya Mwisho; kibaya kilichotokea, alikuja kufunga ndoa na tapeli kabisa, maana alikuwa ni mke wa mtu ambaye alikuwa natumia hina feki la Doreen nadhani, matokeo yake , kawaishwa na kesi ya kugombea mali ipo mahakamani nadhani.., hapa huyu mzee alipaswa kuoa tu, na sio kufunga ndoa, kataa ndoa!
- Haya, Msuya nae, alishamaliza yake yote, ilikuwa ni kujipumzikia na kutafuna totoz at will, nae badala ya kuoa dogodogo wake na kuweka ndani, yeye akafunga ndoa tena ya kanisa! Nae kawaishwa kwa muumba wake, sijajua kama palitokea ugomvi wa mali, jamani, kataa ndoa!
Kuna huyu ndugu yetu mwenye changamoto ya ngozi, Bwana Haji Sunday Manara, alifunga ndoa ya kwanza, ya pili na ya tatu back to back! Hii ya tatu nasikia alioata mshtuki na kuanguka, sasa kama mtu una mke aliyefunga nae ndoa, huyu mwingine ilibidi uoe tu, haoakuwa na haja ya ndoa.., akizingua unaweka pembeni, sasa hapa tusubiri huyu Rushaynah kwenda mahakamani kudai talaka na mgao wa mali, the bi*tch seem so devious! Kataa ndoa!
Haya, hiki sakata ka mwisho ka Ndugu yetu, mganga wa Miti Shamba, Dr. Mwaka Juma Mwaka, alifunga ndoa ya kwanza, ya pili na ya tatu, hii ya Queen imeleta tafrani hadi Watz wote sasa wanaogopa kufunga ndoa, na walio kwenye ndoa wanatetemeka kwa ahili yake, hadi Sheikh mkuu katumbuliwa, at the heart of it all ni nyumba inagombewa, yaani Dokta Mwaka afanye kazi kama mbwa koko kujenga nyumba yake halafu mtu from nowhere aje kudai apewe kiulaini tu, nyie wanawake, hivi hamna huruma,?! Kwanini msijengage zenu ili na sisi wanaume tuje tudai tupewe?! Hamna hata chembe ya huruma kwa jasho la binadamu wenzenu?! Ni binadamu gani msio na huruma nyie! Mungu atawalipa
Niki wa 2 naye alionja joto ya ndoaMasan***a
Mc Lipilipi
Akili za kizigua hizi,huwezi kuishi nyumba ya tembe ukawa na akili timamuTo cut the long story shot
Mengi kaoa mchaga mpaka kapata kizazi cha ovyo wapo miaka 40 na kuendelea ila hawana familia ila sio lazima
Mrema kaoa mchaga
Msuya kaoa huko usukumani sijui kaskazini
Mwaka kaoa msukuma
Manara kaoa Msukuma
Moral : Angalia makabila ya kuoa na nasaba za watu usije kuingia kweny matatizo
Every thing in excess is harmful! Utatoa kila visingizio unavyofikiria ila kwa ujumla hao wote hawakutosheka na walivyokuwa navyo.Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa? Nafafanua hapa kwa marefu na mapana.
-Nitamtolea mfano mzee wetu Dr. Reginald Mengi (R.I.P). Binafsi naelewa maumivu ya ndani kwa ndani aliyokuwa akiyapata kwa kutoletewa wajukuu na watoto wake wote; kuna yule Rodney Mengi, wakati Mola anamwita kwenye makazi ya milele, alikuwa na miaka 30, na kwa mapenzi yake mola hakuacha mtoto. (nasikia tu). Kuna mwingine wanamwita Abdiel Mengi, naambiwa ni over 50yrs, naye hadi Mengi anondoka hakuwa ameleta mjukuu (Nasikia tu). Na kuna mwingine anaitwa Isabel Mengi nadhani, sijui, ila probably yupo above 40, na hadi Dr.Mengi anaitwa na mola wake, hakuwa ameona mjukuu kwa binti yake (nasikia tu); in such a scenario mtu unaweza kuogopa kizazi chako kufutika huku unajiona mubashara kabisa. Sasa je utakubali?
Mengi akaona isiwe tabu, akamuoa Jackline Mengi ili apte wajukuu ambao pia ni watoto wake (mapacha). Lakini je, alipomuoa Jackline Mengi, kulikuwa na ulazima gani wa kufunga nae ndoa? Kwani angemzalisha na kuishi nae tu kwa umri ule angepungukiwa na nini kikubwa hasa? Matokea ya kufunga ndoa ndio hayo tumeayaona, kawaishwa pengine mapema zaidi ya muda aliopanga mola (Nasikia tu); na hadi sasa kinachoendelea huko mahakamani ni vita na mateso makali kwa familia yake. Hapa Mengi ilipaswa aoe tu na kulea watoto wake, ila sio kufunga Ndoa! Kataa ndoa!
-Sasa nahamia kwa Mrema masikini ya Mungu, mzee wa watu alishajimalizia yake yote hapa ya duniani, alikuwa anasubiri tu safari yake ya Mwisho; kibaya kilichotokea, alikuja kufunga ndoa na tapeli kabisa, maana alikuwa ni mke wa mtu ambaye alikuwa natumia hina feki la Doreen nadhani, matokeo yake , kawaishwa na kesi ya kugombea mali ipo mahakamani nadhani.., hapa huyu mzee alipaswa kuoa tu, na sio kufunga ndoa, kataa ndoa!
- Haya, Msuya nae, alishamaliza yake yote, ilikuwa ni kujipumzikia na kutafuna totoz at will, nae badala ya kuoa dogodogo wake na kuweka ndani, yeye akafunga ndoa tena ya kanisa! Nae kawaishwa kwa muumba wake, sijajua kama palitokea ugomvi wa mali, jamani, kataa ndoa!
Kuna huyu ndugu yetu mwenye changamoto ya ngozi, Bwana Haji Sunday Manara, alifunga ndoa ya kwanza, ya pili na ya tatu back to back! Hii ya tatu nasikia alioata mshtuki na kuanguka, sasa kama mtu una mke aliyefunga nae ndoa, huyu mwingine ilibidi uoe tu, haoakuwa na haja ya ndoa.., akizingua unaweka pembeni, sasa hapa tusubiri huyu Rushaynah kwenda mahakamani kudai talaka na mgao wa mali, the bi*tch seem so devious! Kataa ndoa!
Haya, hiki sakata ka mwisho ka Ndugu yetu, mganga wa Miti Shamba, Dr. Mwaka Juma Mwaka, alifunga ndoa ya kwanza, ya pili na ya tatu, hii ya Queen imeleta tafrani hadi Watz wote sasa wanaogopa kufunga ndoa, na walio kwenye ndoa wanatetemeka kwa ahili yake, hadi Sheikh mkuu katumbuliwa, at the heart of it all ni nyumba inagombewa, yaani Dokta Mwaka afanye kazi kama mbwa koko kujenga nyumba yake halafu mtu from nowhere aje kudai apewe kiulaini tu, nyie wanawake, hivi hamna huruma,?! Kwanini msijengage zenu ili na sisi wanaume tuje tudai tupewe?! Hamna hata chembe ya huruma kwa jasho la binadamu wenzenu?! Ni binadamu gani msio na huruma nyie! Mungu atawalipa
Dawa ni kukataa ndoaWalichokifanya hao ni UPUMBAVU! Ambao wanaume asilimia kubwa mnao. Kuacha wake zao ambao wamehangaika nao kuchuma mali wanatafuta vidogodogo eti viwape raha. Ndo maana mnauwawa. Na mfe tu kwasababu mnadhulumu wanawake waliowavumilia kwa shida na misukosuko, mkipata tu mnatelekeza familia mnaenda kuoa vidangaji.
Mwanaume mzima RIJALI unakuja kulialia hapa!Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa? Nafafanua hapa kwa marefu na mapana.
-Nitamtolea mfano mzee wetu Dr. Reginald Mengi (R.I.P). Binafsi naelewa maumivu ya ndani kwa ndani aliyokuwa akiyapata kwa kutoletewa wajukuu na watoto wake wote; kuna yule Rodney Mengi, wakati Mola anamwita kwenye makazi ya milele, alikuwa na miaka 30, na kwa mapenzi yake mola hakuacha mtoto. (nasikia tu). Kuna mwingine wanamwita Abdiel Mengi, naambiwa ni over 50yrs, naye hadi Mengi anondoka hakuwa ameleta mjukuu (Nasikia tu). Na kuna mwingine anaitwa Isabel Mengi nadhani, sijui, ila probably yupo above 40, na hadi Dr.Mengi anaitwa na mola wake, hakuwa ameona mjukuu kwa binti yake (nasikia tu); in such a scenario mtu unaweza kuogopa kizazi chako kufutika huku unajiona mubashara kabisa. Sasa je utakubali?
Mengi akaona isiwe tabu, akamuoa Jackline Mengi ili apte wajukuu ambao pia ni watoto wake (mapacha). Lakini je, alipomuoa Jackline Mengi, kulikuwa na ulazima gani wa kufunga nae ndoa? Kwani angemzalisha na kuishi nae tu kwa umri ule angepungukiwa na nini kikubwa hasa? Matokea ya kufunga ndoa ndio hayo tumeayaona, kawaishwa pengine mapema zaidi ya muda aliopanga mola (Nasikia tu); na hadi sasa kinachoendelea huko mahakamani ni vita na mateso makali kwa familia yake. Hapa Mengi ilipaswa aoe tu na kulea watoto wake, ila sio kufunga Ndoa! Kataa ndoa!
-Sasa nahamia kwa Mrema masikini ya Mungu, mzee wa watu alishajimalizia yake yote hapa ya duniani, alikuwa anasubiri tu safari yake ya Mwisho; kibaya kilichotokea, alikuja kufunga ndoa na tapeli kabisa, maana alikuwa ni mke wa mtu ambaye alikuwa natumia hina feki la Doreen nadhani, matokeo yake , kawaishwa na kesi ya kugombea mali ipo mahakamani nadhani.., hapa huyu mzee alipaswa kuoa tu, na sio kufunga ndoa, kataa ndoa!
- Haya, Msuya nae, alishamaliza yake yote, ilikuwa ni kujipumzikia na kutafuna totoz at will, nae badala ya kuoa dogodogo wake na kuweka ndani, yeye akafunga ndoa tena ya kanisa! Nae kawaishwa kwa muumba wake, sijajua kama palitokea ugomvi wa mali, jamani, kataa ndoa!
Kuna huyu ndugu yetu mwenye changamoto ya ngozi, Bwana Haji Sunday Manara, alifunga ndoa ya kwanza, ya pili na ya tatu back to back! Hii ya tatu nasikia alioata mshtuki na kuanguka, sasa kama mtu una mke aliyefunga nae ndoa, huyu mwingine ilibidi uoe tu, haoakuwa na haja ya ndoa.., akizingua unaweka pembeni, sasa hapa tusubiri huyu Rushaynah kwenda mahakamani kudai talaka na mgao wa mali, the bi*tch seem so devious! Kataa ndoa!
Haya, hiki sakata ka mwisho ka Ndugu yetu, mganga wa Miti Shamba, Dr. Mwaka Juma Mwaka, alifunga ndoa ya kwanza, ya pili na ya tatu, hii ya Queen imeleta tafrani hadi Watz wote sasa wanaogopa kufunga ndoa, na walio kwenye ndoa wanatetemeka kwa ahili yake, hadi Sheikh mkuu katumbuliwa, at the heart of it all ni nyumba inagombewa, yaani Dokta Mwaka afanye kazi kama mbwa koko kujenga nyumba yake halafu mtu from nowhere aje kudai apewe kiulaini tu, nyie wanawake, hivi hamna huruma,?! Kwanini msijengage zenu ili na sisi wanaume tuje tudai tupewe?! Hamna hata chembe ya huruma kwa jasho la binadamu wenzenu?! Ni binadamu gani msio na huruma nyie! Mungu atawalipa
Huo ndo ukweliAkili za kizigua hizi,huwezi kuishi nyumba ya tembe ukawa na akili timamu
Kama ni tendo kuu la Mungu, kwanini walioapa mbele ya Mungu wanaachana na kupeana talaka?Ndoa ni tendo kuu la Mungu la uumbaji. Kukataa ndoa ni kumkataa Mungu
OkKwa mazingira ya Zamani kabla ya hii Beijing na women empowerment, ili make sense kufunga ndoa hata na wake watatu bila shida, kwa mazingira ya sasa na sheria za sasa, ndoa ni utapeli, pia ni gereza
Ndugu, usipofunga ndoa na badala yake kuchukua mwanamke na kuishi nae tu hapo maana yake mnazini. Vitabu vyote vya dini vimekataza uzinzi na adhabu yake ni Moto wa Jehannam!!Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa? Nafafanua hapa kwa marefu na mapana.