Mengi, Mrema, Msuya, Mwaka na Manara, wote walikosea wakafunga Ndoa badala ya kuoa

To cut the long story shot

Mengi kaoa mchaga mpaka kapata kizazi cha ovyo wapo miaka 40 na kuendelea ila hawana familia ila sio lazima

Mrema kaoa mchaga
Msuya kaoa huko usukumani sijui kaskazini
Mwaka kaoa msukuma
Manara kaoa Msukuma

Moral : Angalia makabila ya kuoa na nasaba za watu usije kuingia kweny matatizo
 
Kabila linaweza kuwa siyo shida.Shida huanza pale ulipooa boga.
 
Kabila linaweza kuwa siyo shida.Shida huanza pale ulipooa boga.
Kabila Lina matatizo pia kutokana na nasaba za watu ndo maana Mengi alienda kuoa nje ya kabila lake maana yeye kama tajiri wanae kibao kizazi cha ovyo kabisa ...mengi ni very smart ila kaona kazaa watoto wa ovyo yaani kufuja pesa na kuoa hawataki Leo wanagombeana Mali.

Mke wa Dr Mwaka alishaolewa mwanzo na jamaa baada ya kufilisika akakimbia kwa jamaa ila inaonekana mwaka kwa sasa havumi labda Kuna tatizo.

Njoo wa Manara Naye ivyo ivyo amezaa na jamaa hapa Bongo maarufu tu ,jamaa kafulia kamkimbia kaja kwa marana.

Mke wa mrema kafuata pesa .

Huyo msuya kesi na hao wapare wanaendesha miaka kibao kila siku wapo mahakamani..na Kuna tetesi huyo mke kamuua mmewe
 
Mkuu unataka kumaanisha hapo sukuma gang na chagastan ni wa kutafuna mbususu kimchepuko puko tu si wa kuoa asilani!! yan usithubutu hata kwa kurogwa kuoa hivyo viumbe
 
Kwahiyo baba yko alioa mti ndipo akakuzaa? Nonsensical
 
Mi huwa nashangaa cheti cha ndoa kuandikwa jamhuri ya muungano wa tanzania wakati ndoa inafungishwa kanisani. Ina maana ndoa zote zinasajiliwa na serikali, je ndoa zile zisizo na cheti ina maana sio ndoa? Kwa hiyo ndoa zote zilizofungwa kanisani, misikitini, bomani na kwenye mila zinatambuliwa na serikali kuwa hizo ndio halali kwa kuwa zina vyeti. Mbona zikianza kuyumba huwa hawakumbushi wanandoa hizo wavumiliane mpaka kifo kwa kuwa wana vyeti vya ndoa? Ukioa bila kupewa hicho cheti haihesabiki umea hata kama kuna upendo na furaha hakuna mgogoro hamtambuliwi kama mna ndoa. Sasa ndoa ni nini ikiwa hata wale wa jinsia moja wanafunga na kupewa cheti? Haya mambo yamekuwa tata sana, hata wapinga ndoa nao wameibuka bila majibu sahihi
 
`````Ushauri kwa serikali yangu pendwa.Kukopa au kuiga sheria sio dhambi.Maamuzi mengi ya majaji huwa wana refer kesi za nyuma mfano utasikia kesi kama hii ilitokea huko Karnakata India mrufani alishinda kesi dhidi ya Premji Chotabai kwa kuzingatia mazingira flani mahakama ikamhukumu Chotabai kumpa mtalaka wake mali walizochuma kwa jasho wakiwa wote ila zile ambazo marehemu alichuma kabla mkewe Dinesh mahakama iliona Dinesh hana haki ya kuzimiliki maana hata marehemu naye aliridhi kutoka kwa wazazi wake.

Mfano mwingine kesi kama hii ilitokea mwaka 1935 huko Milton Keynes.MacAlster alikuwa akiishi na Margreth kwa miaka 30 bila ya kufunga ndoa.MacAlster alivyofariki mwanamke akafungua kesi ya madai ya kumiliki mali zote za marehemu hata hivyo Makakama iliridhika bila chembe ya wasi kwa mashahidi ambao mwaka huo wa 1935 walikuwepo waliona mali za Alster alirithi kutoka kwa baba yake.Hivyo mahakama ilitoa hukumu ya mwanamama kutokupata chochote kwa vile walikuwa wanaishi kama vimada tu hivyo haitambui hiyo ndoa.

Hiyo ni mifano tu.Siku hizi wanawake kwa kupitia vyama vyao na desk lao la jinsia wanakubali kuishi na mwanaume wakiwa na akili ya pili kichwani.Kwa lugha nyepesi ni wapigaji tu.

Nashauri kwa nchi yetu hii sheria iangaliwe upya kupunguza upigaji huu.Kenya juzi ilitoa hukumu kwa kesi flani jamaa alikuwa anaishi na mdada toka mwaka 1986 jamaa alivyofariki mdada kaenda kudai mali mahakama ikatupilia mbali kesi yake maana miaka yote waliishi bila kufunga ndoa.

Hapa nchini kwetu kuna sheria ya hovyo kabisa ya ndoa eti ukiishi ndani ya nyumba na mwanamke kwa miezi sita na majirani wanaona tayari huo ni uthibitisho tosha kuwa ni mke na mme.Kwa maumbile tuweke dini pembeni mwanaume ni mgumu kidogo kuvumilia kuwa na mke mmoja.Mfano mzuri mtu kazi yake ni ya porini na mgodini kule kijijini kwao ana mke lakini huku kwa kuogopa upweke anaamua kuwa na kimada wanaishi wote kimya kimya inafika zaidi ya miezi sita.Bahati mbaya yule jamaa anaangukiwa na kifusi au jiwe kwa mantiki hiyo tayari huyu mwanamke anajitokeza kudai mali za marehemu tena asivyo na aibu anaingilia hata mali za kijijini kwa mwanaume huu ni wizi mtupu.

Nashauri serikali na bunge hiki kipengele kiangaliwe vizuri kilitungwa na wakoloni kama ile sheria ya wazururaji.Huwa najiuliza swali mungu anisamehe kwa nitakachosema ni kwanini mwanaume anapotafuta mali akapata na akawa na kimada wa nje kimada akaona gepu limekaa vizuri maisha yake yanakuwa mafupi?
 

Attachments

  • hen.PNG
    157.7 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…