Mengi, Mrema, Msuya, Mwaka na Manara, wote walikosea wakafunga Ndoa badala ya kuoa

 
Ndugu Msuya yupi aliyekufa umsemaye ?
Ikiwa ni Cleopa Msuya nipende kukujuza kuwa bado yu hai yupo Upanga Muhimbili usiniulize ndiyo kwake au yupo hospitali hayukuhusu na mimi siko tayari kukuambia hayo.
 
Akili za kizigua hizi,huwezi kuishi nyumba ya tembe ukawa na akili timamu
 
Every thing in excess is harmful! Utatoa kila visingizio unavyofikiria ila kwa ujumla hao wote hawakutosheka na walivyokuwa navyo.
 
Walichokifanya hao ni UPUMBAVU! Ambao wanaume asilimia kubwa mnao. Kuacha wake zao ambao wamehangaika nao kuchuma mali wanatafuta vidogodogo eti viwape raha. Ndo maana mnauwawa. Na mfe tu kwasababu mnadhulumu wanawake waliowavumilia kwa shida na misukosuko, mkipata tu mnatelekeza familia mnaenda kuoa vidangaji.
 
Dawa ni kukataa ndoa
 
Mwanaume mzima RIJALI unakuja kulialia hapa!
Kataa ww wenzako tumetulia kwenye ndoa zetu na MUNGU katubariki maisha yanasonga mbele...kama ww ndoa huiwez tulia waache wenzako neema za Mungu ziwashukie kwenye ndoa zao
 
Mi nikajua unataka utusaidie Ku distinguish kati ya kuoa na kufunga ndoa maana ulivyoanza kuandika nikajua unamaanisha kufunga ndoa Na kuoa ni term mbili tofauti hivyo sahihi ni kuoa na si kufunga ndoa sa nikawa nasoma kwa shahuku ili nizijue hizo tofauti afu nizitie kwenye mizani yangu ila sjajapata nilichohisi nitakutana nacho
 
Mkuu Francis umefafanua vizuri sana kuhusu kuoa na kufunga ndoa.
Hakuna ulazima kwa mwanaume kufunga ndoa. Ishi ukiwa huru na ukishindana na uliyemuoa mnaachana bila purukushani.
Kwa ufafanuzi huu sasa najiunga rasmi
KATAA NDOA
 
Ndugu, usipofunga ndoa na badala yake kuchukua mwanamke na kuishi nae tu hapo maana yake mnazini. Vitabu vyote vya dini vimekataza uzinzi na adhabu yake ni Moto wa Jehannam!!

Tunafunga ndoa ili kujiepusha na dhambi ya uzinzi na kuzaa watoto wa nje ya ndoa. Mwanaume mwenye akili timamu hufunga ndoa, mwanaume mwenye akili hupambana na changamoto na sio kuzikimbia.

Kukataa ndoa ni utoto, uhuni na upungufu wa akili na mkikua mtalijua hilo. Hata baba yako alifunga ndoa kwa sababu ni mwanaume mwenye akili timamu.
 
Nyie Nao sasa mnataka kuhalalisha dhambi kwa sababu za kitoto, mengi umri ulikua umeenda ulitaka afe na dhambi ya Uzinzi ama?

Usioe lakini pia Usizini, Fanya mambo yako, hamisha hiyo nguvu kwenye ishu zingine.. mshajua Wanawake ni takataka achaneni nao. Ukitaka mtoto kuna Kupandikiza sikuhizi unamlipa kwa mkataba wa kisheria Mwanamke (Wa hovyo) mnaenda kupandikiza hospital unalea watoto wako bila stress. Tofauti na hapo Mtaangamia kwa kupuuzia maarifa, hushtuki wajane walivyojazana huku mitaani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…