Mengi, Mrema, Msuya, Mwaka na Manara, wote walikosea wakafunga Ndoa badala ya kuoa

Wazee sijui kwann hawawez kuoa tu bila ndoa,yaan mpaka wafunge ndoa ndo wanahis wametenda cha maana,mwsho wa siku n kuteseka

Mzee wangu nae aliwah fanya hvyo,kaoa mwanamke mwenye watoto watatu wakubwa tu na akatoa mahali kama anaoa binti bikra

kWenye hiyo ndoa baba kahangaika sana,kwanza akawa anadharaulika eti ni mzee,nguo akawa anajifulia,kupika mpaka huyo mwanamke atake

Alifanikiwa kumuondoa katika maisha yake kwa kutumia dawa za kienyeji,
 
Mbona na wagane wapo wengi sana? Kwanza wajane wengi wanatokana na kuolewa na wanaume wenye umri mkubwa.
 
Ndoa ya Adam na Hawa ilifungwa parokia ipi? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃
 
Ndugu, nimeoa huu ni mwaka wa saba sasa, na nina watoto wa nne.., kwakweli nafurahi kwamba nimeoa na kwa amani na furaha na mke wangu na watoto wangu, sasa kila siku ananisumbua tufunge ndoa, ila mi naishia kucheka tu na kumuuliza ili iweje? Na yeye anakosa majibu na kuishia kucheka.., nasi hapo tunacheka wote kwa pamoja namaisha yanaendelea.., mimi kufunga ndoa hapana, labda niwe usingizini, Kataa ndoa!
 
Nani kasema hatutaki kuoa?! Tunaoa kama kawaida, ila ndoa hapana, hatufungi ndoa, kataa ndoa!
 
Tupe mkasa
 
Ndoa ni kwa mujibu wa sheria tu ,kuoa inaweza kuwa kwa mujibu wa sheria ikawa ndoa na pia inaweza kuwa bila sheria kuhusika ikawa umeoa tu .
 
Sio kila mtu anapenda kwenda mbinguni , Acha nizini sina mpngo kabsa wakwenda huko mnapo ita kwa Mungu
 
Sio kila mtu anapenda kwenda mbinguni , Acha nizini sina mpngo kabsa wakwenda huko mnapo ita kwa Mungu
Naona shetani ameitawala akili yako na kukudanganya kwamba Huwezi kupendwa na Mungu lakini mkumbushe kuwa Mungu alikupenda na madhaifu yako ivyoivyo. Usiogope kabisa u cant live a sinless life, but u can sin less
 
Mkuu, Kwa hiyo wewe KUOA (a.k.a kumiliki kimada) unakubali, ila KUFUNGA NDOA unakataa?
 
Mkuu Francis umefafanua vizuri sana kuhusu kuoa na kufunga ndoa.
Hakuna ulazima kwa mwanaume kufunga ndoa. Ishi ukiwa huru na ukishindana na uliyemuoa mnaachana bila purukushani.
Kwa ufafanuzi huu sasa najiunga rasmi
KATAA NDOA
Kwa taarifa yako, ukiishi na mwanamke pamoja bila kufunga ndoa Kuanzia miezi 6 na kuendelea, huyo mwanamke anakuwa na haki zote za mke wa Ndoa kisheria
 
Kati ya wewe na aliyefunga Ndoa hakuna tofauti yoyote..
Huyo 'mwenzi wako' ana haki zote za mke wa ndoa. Yaani kisheria hakuna ulichokwepa!
 
Mkuu, Kwa hiyo wewe KUOA (a.k.a kumiliki kimada) unakubali, ila KUFUNGA NDOA unakataa?
Mke uliyemuoa anakuaje kimada ilihali ni mke wako uliyemuoa? Au kuoa ni hadi uende kanisani kusaini makaratasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…