CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
- Thread starter
-
- #201
Walipata bilioni 2 wakagawana ay,mwana fa na msando unataka kuniambia kakosa hata nyumba ya us dollars 200,000Sh 100,000,000 ni pesa ndogo sana kununua nyumba America. Hiyo pesa ni sawa $49, 000- 52,000 pesa ambayo ni kiduchu saana. Hata bed seat hupati. Labda alinunua nchini Haiti.
Bro hujaperuzi Toka mwanzo wa uzi Kuna jamaa ana kiswahili kigumu sanaWewe ni kabila gani mkuu?
Kweli kiswahili kigumu!
Ha ha bro Mimi nimekoti kiswahili Cha mwamba mmoja hivi Ni balaaBraza acha kuandika,unatuumiza makoo yetu.
😂😂😂😂😂😂Njaa ni hatar sana amejazwa ujinga wa 1.2 billion
Utazani kama kawah kupata million 500 huko nyuma
Wadangaji walikuwepo tangu kipindi cha pilatoWadangaji tangu wajingize kwenye sanaa
Imekuwa shida
Ova
Yaani ile video haikumchafua na kumpotezea mapato, stori ya umbea ndo impotezee mapato, wabongo kwa kucheza na fursa noma sana.Msanii,muigizaji,mc menina kaishtaki multichoice akidai fidia ya 1.2 billions
Kadai alichafuliwa na kipindi cha umbeya cha icu
Wakati wa msiba wa mzazi mwenzake mairmatha jesse,juma lokole,kwisa walifika msibani wakahoji majirani waliodai marehemu alitelekezwa na menina akiwa anaumwa akawa anafungiwa ndani hadi kifo chake
Kadai kwamba tuhuma hizo zimeathiri kazi yake na itachukua miaka 3 kurudia hali ya kawaida na katika miaka hiyo mitatu atapoteza bilion 1.2
_____________________
Tanzanian artiste sues MultiChoice seeking damages of Sh1.12 billion
FRIDAY OCTOBER 08 2021
Artist Menina Abdulkarim Atiki.
Summary
ADVERTISEMENT
- Menina claims that her brand ambassadorial work requires her to maintain a blemish-free name, image and a good reputation to the companies that she represents.
By James Magai
More by this Author
Dar es Salaam. Artist Menina Abdulkarim Atiki has sued DStv’s parent company MultiChoice South Africa which trades in Tanzania as MultiChoice Tanzania for damages amounting to Sh1.12 billion for airing content that allegedly defamed her.
The case which is before Judge Amir Mruma was first mentioned on September 27, 2021, but MultiChoice South Africa which has a foothold in various African countries was absent and Judge Mruma adjourned the case until November 10, 2021
Menina, who is also an actress and event hostess (MC) has filed the case against the South African company and its local subsidiary at the Dar es Salaam Regional High Court.
Others in the case are the Editor of the ICU- Chumba cha Umbea which airs on Maisha Magic Bongo channel on DStv; The presenters of the show, Maimartha Jesse, Juma Lokole and Kwisa Thompson (Kamanda Mzee Mkavu).
In case number 133 of 2021, the artiste alleges that the defendants defamed her with content they aired on July 23, 2021, in a programme called ICU-Chumba cha Umbea, regarding the death of her husband.
Menina claims that her husband passed away on July 19, 2021, it was then agreed that the funeral should be held at Mtoni kwa Aziz Ali, at the residence of her late husband’s aunt, Mariam Kihiyo.
She alleges that while the funeral was underway, Maimartha, Lokole and Kwisa interviewed neighbours of her late husband's aunt, with questions which according to the court documents were close-ended, insinuating that the plaintiff did not take care of her husband during illness and that she was an irresponsible wife.
The plaintiff (Menina) claims that she suffered mental and emotional harm as ICU-Chumba cha Umbea is one of the most popular programs in Tanzania, in East Africa and in all Kiswahili-speaking countries.
Basis of the claim
Menina claims that her brand ambassadorial work requires her to maintain a blemish-free name, image and a good reputation to the companies that she represents.
She also says that it will take her about a year to clean up her name and reputation, suggesting she will suffer the losses.
According to the legal files which were availed to The Citizen, Menina claims that as a brand ambassador she is paid Sh1.5 million a month and that in 2020 she was able to earn Sh180 million, so in the next three years she will lose a total income of Sh540 million.
In her music and acting, she claims that she has been earning Sh50 million a year, as it was in 2020 and so for three years he will incur a total loss of Sh150 million.
In her weekly event hosting gigs as an MC, during 2020 she claims to have earned a total of Sh144 million and that in the next three years she will lose a total of Sh432 million, claiming that her 24 clients have already cancelled orders.
kipindi hiki hapa
Mkuu hiyo milion 100 wanasema alilipwa kwa kutumia picha yake kwenye bango sehemu za Bamaga/Shekilango bila makubaliano kama sikosei.Walipata bilioni 2 wakagawana ay,mwana fa na msando unataka kuniambia kakosa hata nyumba ya us dollars 200,000
Wewe hujui sheria dogo.Basi kwa mantiki hiyo hadi Tanesco atatajwa maana yeye ndiye alie-supply umeme uliorusha matangazo, na hata wale watangazaji watakaokua wanahost kipindi nao washtakiwe, sivyo?; lazima pawe na mipaka ya liability, kosa hapo ni kuchafua mtu, kilichochafua mtu ni maneno ya majirani, period.Hivyo majirani washtakiwe, sio Tanesco wala mwingine yeyote.
;pnamjibu aliyejichanganya Ray kigosi alilipwa milioni 100 ya picha yake kutumika kwenye bando kina Ay na mwana fa walipiga mamilioni ya kutosha hdi Ay akanunua nyumba america ndiyo nikamuuliza kwani hakuna hata nyumba ya dollar 200,000?Mkuu hiyo milion 100 wanasema alilipwa kwa kutumia picha yake kwenye bango sehemu za Bamaga/Shekilango bila makubaliano kama sikosei.
Kama vitu hujui nyamaza, mzigo ulienda kwa watu sio chini ya kumi, marehemu hakimu hadi staff wa gotiWalipata bilioni 2 wakagawana ay,mwana fa na msando unataka kuniambia kakosa hata nyumba ya us dollars 200,000
Mbona FA na AY waliwashinda Tigo? Acheni hizo aisee, kesi iendeleeKudadeki hili lidemu halina akili...wakiona unasumbua na makesi unapigwa sumu tu ukafie mbali
Ameangalia wapi atapata huo Mpunga. Ameona hao Majirani zake hata akiwauza wao na Mali zao hamna kitu ataambuliaSasa badala ya kuwashtaki majirani waliosema hayo yeye anawashtaki Dstv? Ana akili sawasawa huyu?
Acha uongo US nyumba Hadi za milioni 70 ($30,000) zipo kibao tu.Sh 100,000,000 ni pesa ndogo sana kununua nyumba America. Hiyo pesa ni sawa $49, 000- 52,000 pesa ambayo ni kiduchu saana. Hata bed seat hupati. Labda alinunua nchini Haiti.
Liabilities zina mipaka, Kwa mantiki hiyo hata Tanesco walio-supply umeme washtakiwe? Maana ndio waliosuoply umeme TV za nchi nzima watu wakaona, kwanini Tanesco hawakukata umeme? Liabilities zina mipaka. Kufikisha taarifa (hata umbea ni taarifa) kwa mtu mwenye leseni si kosa, na hajakiuka masharti ya leseni kurusha hiyo taarifa. Kama alipigiwa simu ili kubalance story na muhusika akagoma kutoa ushirikiano kwa sababu anazojua yeye, leseni inamruhusixkuirusha hiyo taarifa, na baadae inakuwa ni jukumu lake huyo mhusika kukanusha au kuikubali hiyo taarifa. Kama kilichorushwa then kimemchafua, kilichomchafua ni maneno ya majirani, na majirani wanafahamika, akawashtaki hao.Inawezekana wewe ndio haufikiri sawa sawa. Kilichomletea madhara ni DSTV kuruhusu umbea huo kutangazwa. Hao majirani umbea wao pengine hata tusingeujua
Hilo ni kosa la Dstv kwamba majirani hawana pesa?Majiran hawana hela ,dstv ndo hela iliko.
Basi kwa mantiki hiyo hadi Tanesco atatajwa maana yeye ndiye alie-supply umeme uliorusha matangazo, na hata wale watangazaji watakaokua wanahost kipindi nao washtakiwe, sivyo?; lazima pawe na mipaka ya liability, kosa hapo ni kuchafua mtu, kilichochafua mtu ni maneno ya majirani, period.Hivyo majirani washtakiwe, sio Tanesco wala mwingine yeyote.
Wameshalipwa kitambo mzee, na juzi wale jamaa wa tigo wakataka walianzishe tena wadai kurudishiwa hela zao!Kaulize huyo mwana FA na AY kama mpaka sasa wameshawahi lipwa hiyo pesa.