Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Sh 100,000,000 ni pesa ndogo sana kununua nyumba America. Hiyo pesa ni sawa $49, 000- 52,000 pesa ambayo ni kiduchu saana. Hata bed seat hupati. Labda alinunua nchini Haiti.
Walipata bilioni 2 wakagawana ay,mwana fa na msando unataka kuniambia kakosa hata nyumba ya us dollars 200,000
 
Msanii,muigizaji,mc menina kaishtaki multichoice akidai fidia ya 1.2 billions
Kadai alichafuliwa na kipindi cha umbeya cha icu
Wakati wa msiba wa mzazi mwenzake mairmatha jesse,juma lokole,kwisa walifika msibani wakahoji majirani waliodai marehemu alitelekezwa na menina akiwa anaumwa akawa anafungiwa ndani hadi kifo chake
Kadai kwamba tuhuma hizo zimeathiri kazi yake na itachukua miaka 3 kurudia hali ya kawaida na katika miaka hiyo mitatu atapoteza bilion 1.2

_____________________
  1. The Citizen
  2. News

Tanzanian artiste sues MultiChoice seeking damages of Sh1.12 billion​



FRIDAY OCTOBER 08 2021​

Menina PIC

Artist Menina Abdulkarim Atiki.

Summary

  • Menina claims that her brand ambassadorial work requires her to maintain a blemish-free name, image and a good reputation to the companies that she represents.
ADVERTISEMENT

By James Magai
More by this Author

Dar es Salaam. Artist Menina Abdulkarim Atiki has sued DStv’s parent company MultiChoice South Africa which trades in Tanzania as MultiChoice Tanzania for damages amounting to Sh1.12 billion for airing content that allegedly defamed her.
The case which is before Judge Amir Mruma was first mentioned on September 27, 2021, but MultiChoice South Africa which has a foothold in various African countries was absent and Judge Mruma adjourned the case until November 10, 2021
Menina, who is also an actress and event hostess (MC) has filed the case against the South African company and its local subsidiary at the Dar es Salaam Regional High Court.
Others in the case are the Editor of the ICU- Chumba cha Umbea which airs on Maisha Magic Bongo channel on DStv; The presenters of the show, Maimartha Jesse, Juma Lokole and Kwisa Thompson (Kamanda Mzee Mkavu).
In case number 133 of 2021, the artiste alleges that the defendants defamed her with content they aired on July 23, 2021, in a programme called ICU-Chumba cha Umbea, regarding the death of her husband.
Menina claims that her husband passed away on July 19, 2021, it was then agreed that the funeral should be held at Mtoni kwa Aziz Ali, at the residence of her late husband’s aunt, Mariam Kihiyo.
She alleges that while the funeral was underway, Maimartha, Lokole and Kwisa interviewed neighbours of her late husband's aunt, with questions which according to the court documents were close-ended, insinuating that the plaintiff did not take care of her husband during illness and that she was an irresponsible wife.
The plaintiff (Menina) claims that she suffered mental and emotional harm as ICU-Chumba cha Umbea is one of the most popular programs in Tanzania, in East Africa and in all Kiswahili-speaking countries.


Basis of the claim
Menina claims that her brand ambassadorial work requires her to maintain a blemish-free name, image and a good reputation to the companies that she represents.
She also says that it will take her about a year to clean up her name and reputation, suggesting she will suffer the losses.
According to the legal files which were availed to The Citizen, Menina claims that as a brand ambassador she is paid Sh1.5 million a month and that in 2020 she was able to earn Sh180 million, so in the next three years she will lose a total income of Sh540 million.
In her music and acting, she claims that she has been earning Sh50 million a year, as it was in 2020 and so for three years he will incur a total loss of Sh150 million.
In her weekly event hosting gigs as an MC, during 2020 she claims to have earned a total of Sh144 million and that in the next three years she will lose a total of Sh432 million, claiming that her 24 clients have already cancelled orders.


kipindi hiki hapa


Yaani ile video haikumchafua na kumpotezea mapato, stori ya umbea ndo impotezee mapato, wabongo kwa kucheza na fursa noma sana.
 
Walipata bilioni 2 wakagawana ay,mwana fa na msando unataka kuniambia kakosa hata nyumba ya us dollars 200,000
Mkuu hiyo milion 100 wanasema alilipwa kwa kutumia picha yake kwenye bango sehemu za Bamaga/Shekilango bila makubaliano kama sikosei.
 
Basi kwa mantiki hiyo hadi Tanesco atatajwa maana yeye ndiye alie-supply umeme uliorusha matangazo, na hata wale watangazaji watakaokua wanahost kipindi nao washtakiwe, sivyo?; lazima pawe na mipaka ya liability, kosa hapo ni kuchafua mtu, kilichochafua mtu ni maneno ya majirani, period.Hivyo majirani washtakiwe, sio Tanesco wala mwingine yeyote.
Wewe hujui sheria dogo.

Bora ujikalie kimya.
 
Mkuu hiyo milion 100 wanasema alilipwa kwa kutumia picha yake kwenye bango sehemu za Bamaga/Shekilango bila makubaliano kama sikosei.
;pnamjibu aliyejichanganya Ray kigosi alilipwa milioni 100 ya picha yake kutumika kwenye bando kina Ay na mwana fa walipiga mamilioni ya kutosha hdi Ay akanunua nyumba america ndiyo nikamuuliza kwani hakuna hata nyumba ya dollar 200,000?
 
Walipata bilioni 2 wakagawana ay,mwana fa na msando unataka kuniambia kakosa hata nyumba ya us dollars 200,000
Kama vitu hujui nyamaza, mzigo ulienda kwa watu sio chini ya kumi, marehemu hakimu hadi staff wa goti
 
Sasa badala ya kuwashtaki majirani waliosema hayo yeye anawashtaki Dstv? Ana akili sawasawa huyu?
Ameangalia wapi atapata huo Mpunga. Ameona hao Majirani zake hata akiwauza wao na Mali zao hamna kitu ataambulia
 
Sh 100,000,000 ni pesa ndogo sana kununua nyumba America. Hiyo pesa ni sawa $49, 000- 52,000 pesa ambayo ni kiduchu saana. Hata bed seat hupati. Labda alinunua nchini Haiti.
Acha uongo US nyumba Hadi za milioni 70 ($30,000) zipo kibao tu.
Screenshot_20211009-102628_1.jpg
Screenshot_20211009-102642_1.jpg
Screenshot_20211009-102731_1.jpg
Screenshot_20211009-102746_1.jpg
Screenshot_20211009-102805_1.jpg
 
Inawezekana wewe ndio haufikiri sawa sawa. Kilichomletea madhara ni DSTV kuruhusu umbea huo kutangazwa. Hao majirani umbea wao pengine hata tusingeujua
Liabilities zina mipaka, Kwa mantiki hiyo hata Tanesco walio-supply umeme washtakiwe? Maana ndio waliosuoply umeme TV za nchi nzima watu wakaona, kwanini Tanesco hawakukata umeme? Liabilities zina mipaka. Kufikisha taarifa (hata umbea ni taarifa) kwa mtu mwenye leseni si kosa, na hajakiuka masharti ya leseni kurusha hiyo taarifa. Kama alipigiwa simu ili kubalance story na muhusika akagoma kutoa ushirikiano kwa sababu anazojua yeye, leseni inamruhusixkuirusha hiyo taarifa, na baadae inakuwa ni jukumu lake huyo mhusika kukanusha au kuikubali hiyo taarifa. Kama kilichorushwa then kimemchafua, kilichomchafua ni maneno ya majirani, na majirani wanafahamika, akawashtaki hao.
 
That is what I meant earlier. Na watengenezaji TV nao washitakiwe
Basi kwa mantiki hiyo hadi Tanesco atatajwa maana yeye ndiye alie-supply umeme uliorusha matangazo, na hata wale watangazaji watakaokua wanahost kipindi nao washtakiwe, sivyo?; lazima pawe na mipaka ya liability, kosa hapo ni kuchafua mtu, kilichochafua mtu ni maneno ya majirani, period.Hivyo majirani washtakiwe, sio Tanesco wala mwingine yeyote.
 
Kaulize huyo mwana FA na AY kama mpaka sasa wameshawahi lipwa hiyo pesa.
Wameshalipwa kitambo mzee, na juzi wale jamaa wa tigo wakataka walianzishe tena wadai kurudishiwa hela zao!

FA akasema hela ililipwa kwa amri ya mahakama kwahio kesi hakuna! Aidha kama kesi iliamuliwa katika mahakama isiostahili hilo sio kosa lao wanachojua walifata taratibu zilizotolewa kisheria so hamna case 😅...

We bakia na ujinga wako huo huo! AY ndio aliamua kuhamia United States kabisa akanunua mjengo wake wa million 800 akarudi kuoa mnyarwanda wake na FA akaoa nae mke wake sijui ni msambaa mwenzie yule ila life linasonga! FA akaunga connection na ma big fish akina councillor salah mara paap FYN by falsafa ikazaliwa watu wakazidi kupiga hela tu 😅 we unafikiri jeuri ya kuomba ubunge ilitokea wapi? Endelea kujiongopea eti hela ilipwa lini wakati mwenzio anapush discovery 4 mjini!

Mwana Fa wa bado nipo nipo kwanza alikuwa na hela gani ya kugombea ubunge?
 
Back
Top Bottom