Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Ndugu wewe ni raia wa nchi gani, siulizi kwa nia mbaya.Kwasababu Dstv hinahusika kwa hiwango hikubwa kusahambaza tahaarifa katika mehedia yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wewe ni raia wa nchi gani, siulizi kwa nia mbaya.Kwasababu Dstv hinahusika kwa hiwango hikubwa kusahambaza tahaarifa katika mehedia yake.
Hiyo ndiyo nyumba ya Ay?Usiwe muoga dogo unaogopa sana kusikia neno marekani ndugu yangu zipo zenye bei kama za kimara na ukinunua ni advantage kwako swali ni JE UNA HIZO HELA? au unaleta makasiriko yako kwenye hii thread?
hiyo hapo milioni 50 ya kibongo bado haiwezekaniki au? iko alabama au wewe unazungumzia USA river ya Arusha
View attachment 1969598
Tuliza wenge ulidhani huko marekani hakuna nyumba za bei kama ya temeke?kuwa mpoleHiyo ndiyo nyumba ya Ay?
Wewe nae kiruga ndio nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimesoma comment yakwanzà nikaivumilia sasa kumbe ndiyo uandishi wake sijui kiruga gani![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hina mahaana hujahelewa nilihicho handikaNdugu wewe ni raia wa nchi gani, siulizi kwa nia mbaya.
Namkandia ndio coz she z just hopelessHuna hoja ya msingi hapo zaidi ya kumkandia,
Pepo tokaaaaaaaaaaaaaUmekosa la kufananisha eti ,tumia akili sometimes usiwe na hulka ya kukebehi.shindwaaaa
Mkuu hivi vitu vipo kitaalamu na kisheria zaidi kuliko logic zako unazofikiriaSasa badala ya kuwashtaki majirani waliosema hayo yeye anawashtaki Dstv? Ana akili sawasawa huyu?
Nimetoa mfano, ITV wakarusha taarifa ya Rais Magufuli akisema kwamba chanjo hazifai, kisha kampuni za chanjo kama Pfizer zikala hasara, watawashtaki ITV au watamshataki Magufuli? Japo kipindi ni cha ITV, kimerekodiwa na ITV, na kikajadiliwa na watangazaji wa ITV, hivyo ni mali ya ITV kiasi kikirushwa na mtu mwingine wana haki ya kushtaki, bado maneno ya Magufuli hayo hayo yangeweza kurekodiwa na TV station nyingine, na kikajadiliwa na waandishi wa TV hiyo nyingine, na ikawa mali yao, ila maneno yanabaki kuwa ni yale yale ya Magufuli, na yameleta madhara yale yale ya kutia hasara kampuni za chanjo, hivyo anawejibishwa ni yule yule in both cases, Magufuli alietoa hizo kauli za ‘kupotosha’.Mkuu hivi vitu vipo kitaalamu na kisheria zaidi kuliko logic zako unazofikiria
Ukitaka kujua muhusika mkuu wa hili basi chukua hicho kipindi na kirushwe kwenye media nyingine halafu ndio utakapojua ni majirani au dstv watakao kwenda mahakamani kudai haki miliki zao kuibiwa
ICU ni mali ya dstv wao ndio wanawajibika kwa taarifa zao iwapo zitakiuka sheria........ingawa pia unaweza kushitaki pia majirani kulingana na maudhui ya kipindi pia
Kuna tofauti kubwa sana ya kimaudhui katika vipindi....... ni kitu gani ICU walikitengeneza kwenye maudhui ya kipindi? At the first place Kwanini walikwenda kuwahoji majirani direct kutaka waeleze marehemu alivyofanyiwa......walikua na ajenda yao na walitaka tu justifications kutoka kwa baadhi ya majirani
Sijui ukweli wa jambo hili lakini katika hali ya kibinaadamu ni jambo zito na lina haribu taswira ya mtu na kumuathiri kisaikolojia iwapo itakua sio kweli
Kuambiwa umesababisha kifo cha mwenza wako kwa nmna ICU walivyorusha na jinsi walivyotafuta na huhoji hao majirani ilikua ni kama mzaha mzaha tu kuburudisha bila kuangalia athari anazo weza kupata muhusika
Menina ameshtaki watu sahihi
Kushinda au kushindwa itategemea na jinsi menina atakavyo weza kuthibitisha sio kweli
Kuhusu kulipwa hayo mahela iwapo ataahinda mahakama itaangalia kama anastahili au kipunguzwe
Nyumba ina miaka 140 , 😂😂Usiwe muoga dogo unaogopa sana kusikia neno marekani ndugu yangu zipo zenye bei kama za kimara na ukinunua ni advantage kwako swali ni JE UNA HIZO HELA? au unaleta makasiriko yako kwenye hii thread?
hiyo hapo milioni 50 ya kibongo bado haiwezekaniki au? iko alabama au wewe unazungumzia USA river ya Arusha
View attachment 1969598
Mkuu maudhui ya kipindi yana umuhimu sanaNimetoa mfano, ITV wakarusha taarifa ya Rais Magufuli akisema kwamba chanjo hazifai, kisha kampuni za chanjo kama Pfizer zikala hasara, watawashtaki ITV au watamshataki Magufuli? Japo kipindi ni cha ITV, kimerekodiwa na ITV, na kikajadiliwa na watangazaji wa ITV, hivyo ni mali ya ITV kiasi kikirushwa na mtu mwingine wana haki ya kushtaki, bado maneno ya Magufuli hayo hayo yangeweza kurekodiwa na TV station nyingine, na kikajadiliwa na waandishi wa TV hiyo nyingine, na ikawa mali yao, ila maneno yanabaki kuwa ni yale yale ya Magufuli, na yameleta madhara yale yale ya kutia hasara kampuni za chanjo, hivyo anawejibishwa ni yule yule in both cases, Magufuli alietoa hizo kauli za ‘kupotosha’.
Kosa la dstv ni lipi hapo si wamehoji majirani au?Akipata mwanasheria mzuri anashinda kesi hii. Haya ma vipindi mengine ya umbea umbea ni ya kijinga sana
Umeeleza mpaka baas,Mkuu maudhui ya kipindi yana umuhimu sana
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutangaza habari za kumnukuu mtu anayetanagaza/sema/fanya jambo hadharani kama huo mfano wa jpm au Gwajima kanisani kwake, na kutengeneza habari wewe kisha ukaanza kutafuta watu kuwahoji kuhalalisha habari yako
Maudhui ya taarifa ya habari ya Clouds tv ni tofauti kabisa na maudhui ya kipindi cha Shilawadu
Lakini pia laZima utofautishe kati ya maoni mtazamo na msimamo wa mtu.....na TUHUMA
Maudhui ni ‘Content’ kwa maneno mengine, sasa sijajua unamaana gani kuinkove concept ya maudhui katika hoja hii. Unaposema wametengeneza habari ni kwa msingi upi? Jambo limeibuka toka kwa majirani kwamba kuna moja, mbili, tatu, waandishi wa habari wakaingia kazini kufanya kazi yao, wakawapata hao majirani na kuwahoji, shida iko wapi? Sasa utasemaje wametengeneza, on what basis, kwa hisia na bias tu uliyonayo? Maoni / mtazamo/msimamo wa Magufuli kwamba chanjo ni hatari ndio tuhuma zenyewe hizo, sasa sijajua maoni/ mtazamo/ msimamo unatofauti gani na ‘tuhuma’ katika muktadha huo.Mkuu maudhui ya kipindi yana umuhimu sana
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutangaza habari za kumnukuu mtu anayetanagaza/sema/fanya jambo hadharani kama huo mfano wa jpm au Gwajima kanisani kwake, na kutengeneza habari wewe kisha ukaanza kutafuta watu kuwahoji kuhalalisha habari yako
Maudhui ya taarifa ya habari ya Clouds tv ni tofauti kabisa na maudhui ya kipindi cha Shilawadu
Lakini pia laZima utofautishe kati ya maoni mtazamo na msimamo wa mtu.....na TUHUMA
Tunaweza kabisa kujadiliana bila kutumia lugha za kuudhi utadhani huu ni UGONVI....... relax mkuu sio kila anayefikiri tofauti na wewe basi hana wala hatumii akiliMaudhui ni ‘Content’ kwa maneno mengine, sasa sijajua unamaana gani kuinkove concept ya maudhui katika hoja hii. Unaposema wametengeneza habari ni kwa msingi upi? Jambo limeibuka toka kwa majirani kwamba kuna moja, mbili, tatu, waandishi wa habari wakaingia kazini kufanya kazi yao, wakawapata hao majirani na kuwahoji, shida iko wapi? Sasa utasemaje wametengeneza, on what basis, kwa hisia na bias tu uliyonayo? Maoni / mtazamo/msimamo wa Magufuli kwamba chanjo ni hatari ndio tuhuma zenyewe hizo, sasa sijajua maoni/ mtazamo/ msimamo unatofauti gani na ‘tuhuma’ katika muktadha huo.
Analogy niliyokupa hivyo basi bado ni valid. Atakayeshtakiwa ni Rais Magufuli, na sio ITV. Maana siku nyingine hao wenye kipindi wataamua kukiupload Youtube baada ya mkataba wao na DSTV kuisha, mtawashtaki Youtube kwa kukirusha? Tumia akili unapotoa hoja, usitumie hisia wala mihemko, tumeelewana?
kirahis hivyo.Dstv watamuita huyo bidada wayamalize nje ya Mahakama,bidada atavuta mpunga wake...
Suala sio udogo wa kampuni au ukubwa, suala ni kuwashitaki Dstv badala ya kuwashitaki majirani, shida inaanzia hapo
hapa ndo inakuja taaluma ya uandishi wa habari.. taarifa hua haichukuliwi tuu, hasa taarifa za kumtuhumu mtu, kosa si hao majirani tuu, ni media kusambaza habari ambazo pengine hazikuwa na uhakika!Sasa badala ya kuwashtaki majirani waliosema hayo yeye anawashtaki Dstv? Ana akili sawasawa huyu?