Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Tunasema siku zote Bongo HAKUNA watangazaji wala waandishi habari wa maana, wengi wao ni hawa wanaookotwa majalalani ili kukidhi mahitaji ya maboss wao siku wakiwahitaji kuwala na chumvi. Unamuokota mtu kisa ana tako alilosusiwa na kumpa kazi, hajuwi miiko ya utangazaji wala nini hata kum-interview mtu hajuwi. Mfano, kuna kala kashoga Ben Kinyaiya, miaka ya nyuma Clouds Media walimleta Koffi Olomide na Ben akawa anam interview, badala ya kuuliza maswali ya maana eti anauliza simu ya Koffi ina thamani gani na vitu vingi tu kinyume na what he was supposed to ask/do. Watanganzaji wetu kwa kweli hawajitambui hata kidogo, kila mmoja amekaa kihasara tu akiomba atongozwe na watazamaji, si wanaume si wanawake.
 
Usiwe muoga dogo unaogopa sana kusikia neno marekani ndugu yangu zipo zenye bei kama za kimara na ukinunua ni advantage kwako swali ni JE UNA HIZO HELA? au unaleta makasiriko yako kwenye hii thread?
hiyo hapo milioni 50 ya kibongo bado haiwezekaniki au? iko alabama au wewe unazungumzia USA river ya Arusha
View attachment 1969598
Hiyo ndiyo nyumba ya Ay?
 
Sasa badala ya kuwashtaki majirani waliosema hayo yeye anawashtaki Dstv? Ana akili sawasawa huyu?
Mkuu hivi vitu vipo kitaalamu na kisheria zaidi kuliko logic zako unazofikiria

Ukitaka kujua muhusika mkuu wa hili basi chukua hicho kipindi na kirushwe kwenye media nyingine halafu ndio utakapojua ni majirani au dstv watakao kwenda mahakamani kudai haki miliki zao kuibiwa

ICU ni mali ya dstv wao ndio wanawajibika kwa taarifa zao iwapo zitakiuka sheria........ingawa pia unaweza kushitaki pia majirani kulingana na maudhui ya kipindi pia

Kuna tofauti kubwa sana ya kimaudhui katika vipindi....... ni kitu gani ICU walikitengeneza kwenye maudhui ya kipindi? At the first place Kwanini walikwenda kuwahoji majirani direct kutaka waeleze marehemu alivyofanyiwa......walikua na ajenda yao na walitaka tu justifications kutoka kwa baadhi ya majirani

Sijui ukweli wa jambo hili lakini katika hali ya kibinaadamu ni jambo zito na lina haribu taswira ya mtu na kumuathiri kisaikolojia iwapo itakua sio kweli
Kuambiwa umesababisha kifo cha mwenza wako kwa nmna ICU walivyorusha na jinsi walivyotafuta na huhoji hao majirani ilikua ni kama mzaha mzaha tu kuburudisha bila kuangalia athari anazo weza kupata muhusika

Menina ameshtaki watu sahihi
Kushinda au kushindwa itategemea na jinsi menina atakavyo weza kuthibitisha sio kweli

Kuhusu kulipwa hayo mahela iwapo ataahinda mahakama itaangalia kama anastahili au kipunguzwe
 
Nimetoa mfano, ITV wakarusha taarifa ya Rais Magufuli akisema kwamba chanjo hazifai, kisha kampuni za chanjo kama Pfizer zikala hasara, watawashtaki ITV au watamshataki Magufuli? Japo kipindi ni cha ITV, kimerekodiwa na ITV, na kikajadiliwa na watangazaji wa ITV, hivyo ni mali ya ITV kiasi kikirushwa na mtu mwingine wana haki ya kushtaki, bado maneno ya Magufuli hayo hayo yangeweza kurekodiwa na TV station nyingine, na kikajadiliwa na waandishi wa TV hiyo nyingine, na ikawa mali yao, ila maneno yanabaki kuwa ni yale yale ya Magufuli, na yameleta madhara yale yale ya kutia hasara kampuni za chanjo, hivyo anawejibishwa ni yule yule in both cases, Magufuli alietoa hizo kauli za ‘kupotosha’.
 
Usiwe muoga dogo unaogopa sana kusikia neno marekani ndugu yangu zipo zenye bei kama za kimara na ukinunua ni advantage kwako swali ni JE UNA HIZO HELA? au unaleta makasiriko yako kwenye hii thread?
hiyo hapo milioni 50 ya kibongo bado haiwezekaniki au? iko alabama au wewe unazungumzia USA river ya Arusha
View attachment 1969598
Nyumba ina miaka 140 , 😂😂
 
Nimetoa mfano, ITV wakarusha taarifa ya Rais Magufuli akisema kwamba chanjo hazifai, kisha kampuni za chanjo kama Pfizer zikala hasara, watawashtaki ITV au watamshataki Magufuli? Japo kipindi ni cha ITV, kimerekodiwa na ITV, na kikajadiliwa na watangazaji wa ITV, hivyo ni mali ya ITV kiasi kikirushwa na mtu mwingine wana haki ya kushtaki, bado maneno ya Magufuli hayo hayo yangeweza kurekodiwa na TV station nyingine, na kikajadiliwa na waandishi wa TV hiyo nyingine, na ikawa mali yao, ila maneno yanabaki kuwa ni yale yale ya Magufuli, na yameleta madhara yale yale ya kutia hasara kampuni za chanjo, hivyo anawejibishwa ni yule yule in both cases, Magufuli alietoa hizo kauli za ‘kupotosha’.
Mkuu maudhui ya kipindi yana umuhimu sana

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutangaza habari za kumnukuu mtu anayetanagaza/sema/fanya jambo hadharani kama huo mfano wa jpm au Gwajima kanisani kwake, na kutengeneza habari wewe kisha ukaanza kutafuta watu kuwahoji kuhalalisha habari yako

Maudhui ya taarifa ya habari ya Clouds tv ni tofauti kabisa na maudhui ya kipindi cha Shilawadu

Lakini pia laZima utofautishe kati ya maoni mtazamo na msimamo wa mtu.....na TUHUMA
 
Umeeleza mpaka baas,
 
Maudhui ni ‘Content’ kwa maneno mengine, sasa sijajua unamaana gani kuinkove concept ya maudhui katika hoja hii. Unaposema wametengeneza habari ni kwa msingi upi? Jambo limeibuka toka kwa majirani kwamba kuna moja, mbili, tatu, waandishi wa habari wakaingia kazini kufanya kazi yao, wakawapata hao majirani na kuwahoji, shida iko wapi? Sasa utasemaje wametengeneza, on what basis, kwa hisia na bias tu uliyonayo? Maoni / mtazamo/msimamo wa Magufuli kwamba chanjo ni hatari ndio tuhuma zenyewe hizo, sasa sijajua maoni/ mtazamo/ msimamo unatofauti gani na ‘tuhuma’ katika muktadha huo.

Analogy niliyokupa hivyo basi bado ni valid. Atakayeshtakiwa ni Rais Magufuli, na sio ITV. Maana siku nyingine hao wenye kipindi wataamua kukiupload Youtube baada ya mkataba wao na DSTV kuisha, mtawashtaki Youtube kwa kukirusha? Tumia akili unapotoa hoja, usitumie hisia wala mihemko, tumeelewana?
 
Tunaweza kabisa kujadiliana bila kutumia lugha za kuudhi utadhani huu ni UGONVI....... relax mkuu sio kila anayefikiri tofauti na wewe basi hana wala hatumii akili

Kama unaona maudhui ya taarifa ya habari na kipindi cha shilawadu(umbea) ni sawasawa basi hatuwezi kufikia muafaka

Nakupa tu dondoo kwamba kwenye tasnia ya habari kuna kuripoti habari na kutengeneza habari
Da Don akifa una RIPOTI kwamba amekufa
Lakini ukitaka amekufakufaje kwa undani zaidi inabidi utengeneze habari sasa kwa kuanza kukusanya taarifa...... iwapo hiyo taarifa yako ikitoka Da Don kafaje na wenye Don wao wakaona taarifa hiyo haina ukweli na inawachafua wanahaki ya kukushtaki mtengeneza taarifa

Huwezi kutengeneza li habari lako kwamba Mayu anakula nyama za watu kisha ukaenda kwa majirani na kuanza kuwahoji leading questions na wakasema ooh ndio tunamuonaga anapita na mifuko ina onekana ina nyama tena mida ya usiku kisha ukajustfy nakula nyama za watu

Kama umekiangalia kile kipindi majirani wenyewe hawajathibitisha kwamba menina kamuua mumewe isipikua ilikua ni mafununu ya kijinga kama “alikua anatoka asubuhi anarudi usiku kamtelekeza mgonjwa ndani”

Kuhusu youtube ukiupload ujinga unashtakiwa ulieupload kwenye chaneli yako sheria inakutaka kujisajili

Kama unadhani hii ni issue ndogo unajidanganya sana
Hadi sasa kipindi hakiendi tena hewani wanajitathmini upya

Kuna mamilioni ya kesi ambayo vyombo vya habari vilitengeneza habari ambazo hazikua za kweli na kuchafua watu wakalipa

Huwezi kutengeneza habari zako za kishenzi kisha ukatafuta washenzi wenzako ukawagoji kuchafua watu kisha ukajivua mzigo kisa umehoji wajinga wenzako
 
Suala sio udogo wa kampuni au ukubwa, suala ni kuwashitaki Dstv badala ya kuwashitaki majirani, shida inaanzia hapo

Mkuu umekazia hapohapo kuwashitaki majirani, hivi unaongea serious au unataka kuchekesha tu?
 
Sasa badala ya kuwashtaki majirani waliosema hayo yeye anawashtaki Dstv? Ana akili sawasawa huyu?
hapa ndo inakuja taaluma ya uandishi wa habari.. taarifa hua haichukuliwi tuu, hasa taarifa za kumtuhumu mtu, kosa si hao majirani tuu, ni media kusambaza habari ambazo pengine hazikuwa na uhakika!
.
.
kama kuna uhalisia kwenye hizo fedha alizopaswa kupewa, akipata mwanasheria mzuri hizi pesa anazichukua, swali linakuja Je kilichoenea kina ukweli?
 
Back
Top Bottom