Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha sipandi tena gari lako unless unifungulie mlango, usijenitangaza nimekubamizia mlango tehHuwa nawafungulia sana milango ya grocery stores kina dada. Supervisor wangu mwenyewe namfungulia mlango wa ofisi kila napoweza. Ila hapo kwenye mlango wa gari ndio nimeshindwa.
Sema wanamama wa kibongo ni bora uwafungulie na kufunga, kwa sababu baadhi huwa wanabamiza milango ya gari kama wanaua kitu vile.
Huwa nawafungulia sana milango ya grocery stores kina dada. Supervisor wangu mwenyewe namfungulia mlango wa ofisi kila napoweza. Ila hapo kwenye mlango wa gari ndio nimeshindwa.
Sema wanamama wa kibongo ni bora uwafungulie na kufunga, kwa sababu baadhi huwa wanabamiza milango ya gari kama wanaua kitu vile.
Hahaha sipandi tena gari lako unless unifungulie mlango, usijenitangaza nimekubamizia mlango teh
Bora useme na wewe kimbau mbau mwenzangu. Watufungulie tu bana hata kama ni kwa kuogopa kuwabamizia milango hahha, it feels good basi tu hawaelewi tunavyojisikiaNa mie ndo nimemuuliza eti!
Bibie unavofunguliwa mlango wa gari na kufungiwa kumbe mwenzio anahofia usije bamiza mlango wa gari yake ukauharibu!
Jamani kwa maguvu gani uliyo nayo ya kuvunja mlango wa gari?!, coz unaonekana kimbau mbau kama mie hapa!
Bora useme na wewe kimbau mbau mwenzangu. Watufungulie tu bana hata kama ni kwa kuogopa kuwabamizia milango hahha, it feels good basi tu hawaelewi tunavyojisikia
Hahaha sijui kwa nini hawapendi kutufanyia vitu roho inapenda. Vitu vyenyewe vidogooo havicost chochote. Afu hawa wengi wanafanyia ukauzu their girls, ila kwa wadada wa pembeni sasa, mara kamletea lunch, mara kamkorogea chai, kidogo kashamsifia umependeza loooh....., waone kwanzaIt is indeed, the best feeling ever to be given that special care! π
Yaani hata kama ka bore una msamehe dhambi zake.
Hahaha sijui kwa nini hawapendi kutufanyia vitu roho inapenda. Vitu vyenyewe vidogooo havicost chochote. Afu hawa wengi wanafanyia ukauzu their girls, ila kwa wadada wa pembeni sasa, mara kamletea lunch, mara kamkorogea chai, kidogo kashamsifia umependeza loooh....., waone kwanza
Kariakoo kuna mtaa wa Samora??!! Mimi nilikuwa naijua Samora Avenue tu Posta.Kuna duka la levi's lipo kariakoo mtaa wa samora..ila sidhani kama utamudu price...suruali zinaizwa hadi laki unusu,ila ukimudu utaivaa hadi mvi kama tu hautoimwagia tindikali..
Wa pembeni kuna mambo wanatoa nyinyi hamtoi si tushazoeana.Hivi kweli, kwa nini wale wa pembeni hufaidi hivi vitu vizuri vizuri, hata wale wasiofungua milango ya gari watafungua tu kwa wa pembeni halafu wenyewe wenye nyumba ni kununiwa tu mwanzo mwisho, kama sio kubamiziwa milango π
This should be another topic for another day.......Do........pull out a chair for your lady when you go places, make sure she's sitting comfortably before you sit down.
If you plan to meet with her somewhere and you get there first, when you see her coming in get up, meet her half way, sit her down, make sure she's comfortable, and again, before you sit.
Kazi kweli kweli.....Huwa nawafungulia sana milango ya grocery stores kina dada. Supervisor wangu mwenyewe namfungulia mlango wa ofisi kila napoweza. Ila hapo kwenye mlango wa gari ndio nimeshindwa.
Sema wanamama wa kibongo ni bora uwafungulie na kufunga, kwa sababu baadhi huwa wanabamiza milango ya gari kama wanaua kitu vile.
Wa pembeni kuna mambo wanatoa nyinyi hamtoi si tushazoeana.
Asante mkuu ndio najipanga kwenda kuchukua hata mbili za kuringishia...Kuna duka la levi's lipo kariakoo mtaa wa samora..ila sidhani kama utamudu price...suruali zinaizwa hadi laki unusu,ila ukimudu utaivaa hadi mvi kama tu hautoimwagia tindikali..
Hahaha sipandi tena gari lako unless unifungulie mlango, usijenitangaza nimekubamizia mlango teh
This's good, inapendeza sana mwanaume akiwa polite kwa wanawake.
Lakini mkuu kwa mlango wa gari, unawafungulia na kuufunga on chivalry au unaogopa mlango wa gari yako usiharibike! π
Wakuu kwa wale wajuv wa mambo elezeen viatu vip vivaliwe na kadet, jinz au surual za vitambaa.
Hahaha kipya kinyemi. Hata sisi wakati bado wanatumendea mendea walikuwa wanatutreat like Queens, sasa wameshatupata so wanatuchukulia poa tu, ngoja watupoteze tehHivi kweli, kwa nini wale wa pembeni hufaidi hivi vitu vizuri vizuri, hata wale wasiofungua milango ya gari watafungua tu kwa wa pembeni halafu wenyewe wenye nyumba ni kununiwa tu mwanzo mwisho, kama sio kubamiziwa milango π