NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
unarudi pale pale fasheni siku hizi hazieleweki,pink haijawahi kuwa fasheni ya wanaume.ni kwa watoto na wanawake.lakini poa si ndio wakatiPink ndio new fashion kwa men ila usivae pink ambayo imekolea pink mpauko inafaa kwa wanaume
Hapo vipi?unarudi pale pale fasheni siku hizi hazieleweki,pink haijawahi kuwa fasheni ya wanaume.ni kwa watoto na wanawake.lakini poa si ndio wakati
mshikaji amependeza lakini mimi siwezi vaa shati la pinki.yupo vizuri ila mimi nitafuatie shati kama hilo ila liwe rangi ingine yeyote kasoro nyekundu pia.Hapo vipi?
Bila shaka wewe ni mtu mkubwa sanaHonestly sijawahi kuona Levi's baggy na nishanunua from House of Fraser to Levi's store kwenyewe
Mkuu utakuwa mtu mzima sana wewe
hii ndio yenyewe, chini hapo umalizie na TIM BOOTS.......
Have you ever tried this color?Hapo vipi?
Ahh!? Mkuu wewe utakuwa unacheza kwenye miaka 50 something uongo?
Yes......8 or 7 yrs ago ndio ilikuwa hot kwa wanaumeHave you ever tried this color?
Hujakosea im 52.Ahh!? Mkuu wewe utakuwa unacheza kwenye miaka 50 something uongo?
......."usichomekee kamwe kama mkanda haufanani na viatu " dah aisee ndio naisikia kwa mara ya kwanza ~asante broDrop your expertise, and help another brother get his style and grace together in this fashionable world we live in.
DOs
..Vaa viatu visafi kila mara. Attention unayovipa viatu vyako inaelezea unavyojithamini.
..Vaa nguo zinazokutosha sawia. Sio za kubana sana, wala zisiwe kubwa mno.
..Oga na jali usafi bro. Usafi ni afya.
DONTs
..Usichomekee kamwe kama mkanda haufanani na rangi ya kiatu chako.
..Usivae suti na huna usafiri, hata wa kukodi. Utachoreka tu.
..Usijichubue kamwe.
Karibuni.
Daah miaka yangu nikizidisha mara mbili halafu niongeze tatu ndo tunakuwa sawa, shikamoo mkuuHujakosea im 52.
22yrsDaah miaka yangu nikizidisha mara mbili halafu niongeze tatu ndo tunakuwa sawa, shikamoo mkuu
Ujue still ni rangi nzuri na inarock sana...Sema naona wanaume wengi hampo comfortable nayo. Mtu atupie shati lake light pink na tai yake ya purple hivi uuuuuh. Sema tu hatuwezi kuwaforce mvaeYes......8 or 7 yrs ago ndio ilikuwa hot kwa wanaume
sasa 22 na 52 ni tofauti kubwa ila tunajadiliana kwa uhuru22yrs
Daah miaka yangu nikizidisha mara mbili halafu niongeze tatu ndo tunakuwa sawa, shikamoo mkuu
Hesabu ngumu sasa.....kwahio 22*2+3=52??? Labda 24.5yrs.22yrs
sijagongana na shirt au tshirt nzuri ya pink lately...mi navaa rangi zote za kawaida na za ajabu red shirt,purple....green tshirt,yellow tshirt,orange tshirtUjue still ni rangi nzuri na inarock sana...Sema naona wanaume wengi hampo comfortable nayo. Mtu atupie shati lake light pink na tai yake ya purple hivi uuuuuh. Sema tu hatuwezi kuwaforce mvae
kwa nini?mshikaji amependeza lakini mimi siwezi vaa shati la pinki.yupo vizuri ila mimi nitafuatie shati kama hilo ila liwe rangi ingine yeyote kasoro nyekundu pia.
watu wazima huwa mnakuwa makini hata kwenye mambo madogo madogo sana.Hesabu ngumu sasa.....kwahio 22*2+3=52??? Labda 24.5yrs.
That wasnt even an error...it is a mistake.watu wazima huwa mnakuwa makini hata kwenye mambo madogo madogo sana.
Eeeh ujue watu wakisikia shati jekundu sijui wanafikiria ni yale mekundu ya kung'aa, aisee tupia tu red shirt. Afu crazy colors mbona zinanoga sana tu, especially kwa watu wenye confidence zao.sijagongana na shirt au tshirt nzuri ya pink lately...mi navaa rangi zote za kawaida na za ajabu red shirt,purple....green tshirt,yellow tshirt,orange tshirt