Men's Fashion: DOs and DONTs



Hahaaa!,...guys will always be, yaani usisaidie na mlango ukasaidie na seatbelt just because you lean close to her!...mweh!

Kwenye kubamiza mlango nakubali, it's unnecessary.
 
Eeeh ujue watu wakisikia shati jekundu sijui wanafikiria ni yale mekundu ya kung'aa, aisee tupia tu red shirt. Afu crazy colors mbona zinanoga sana tu, especially kwa watu wenye confidence zao.


True, some colors zinanoga wakiwa na confidence na mwili pia. Kama hii pink ya Nick Canon Imempendeza sana.

 
NI KUJISUMBUA TU. AFTER ALL NI MADHARA GANI MTU ANAPATA ASIPO MECHISHA NGUO? WE HAVE A LOT TO DO INSTEAD OF WASTING TIME KUMECHISHA.
 
Suti nazo zina miili yake mama, mwingine ukimkuta na msuti wake unatamani umtie kwenzi.
Hahaha ndo maana unaambiwa Usichague mchumba kwenye sherehe. Kila mkaka was "mwaaaaaah". Afu wengi wana vile vimiili vyangu navyovipenda Koh Koh

Bana kuna mtu akivaa suti unajikuta tu umenuna kama inakuhusu vile
Nyie wadada toeni Do's na Don't sio soga tu.. Ka-thread katajaa umbea sasa
 
Mkuu upo vizuri sana kwenye jeans, mi huwa napendelea boot cut au straight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…