kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
Sijui kama ni mimi tu, ama na wengine, huwa kuna maumivu na maudhi fulani hivi mtu akibamiza mlango wa gari, hata kama nimeazima. So huwa nasaidia kila napoweza kupunguza hiyo. Na situations ambazo zitahitaji mimi kufanya hivyo; kama wakati wa mvua, na mimi ndio nimeshika mwamvuli; au akiwa kabeba mtoto au chochote ambacho kitasababisha usumbufu kwake kufungua mlango; au pia kama namna gari ilivyo-park, inaruhusu yeye kuwa wa kwanza kuingia.
Ila honestly, it's not my thing, and I won't force it. But I do love helping with the seatbelt, like I can do that all day, everyday. And if she smells good, Oh lawwd have mercy!
Hahaaa!,...guys will always be, yaani usisaidie na mlango ukasaidie na seatbelt just because you lean close to her!...mweh!
Kwenye kubamiza mlango nakubali, it's unnecessary.