Mention someone without any reason just to disturb them

Mchaga bahili JF nzima yule nguvu za kuvunja simu anatoa wapi? Ameanza lini kuwa na wivu?
Kanifanya nimelia kwa nguvu sema alinikuta nimelewa nilipiga safari kubwa 5 nilikapiga makofi nikataka kukachapa na mkanda kaka kimbia usiku wa manane
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwann ulimu ignore??
Mimi nilijua wewe kichwa panzi humshindwi kumchachua.!! Kumbe na wewe umemshindwa 😹😹

Lethergo twende kwa Mwamposa utolewe majini kila mdada anakublock utajioa mwenyewe shauri yako.!
Njoo chumbani mubebe tuongee vizuri naona umeng'arisha avatar hapo Mafisi mate yanawatoka, woooi nyie Mafisi msiguse Mali za watu
 
Wakati nishakuoa au Wewe umeshaniignore
 
Njoo chumbani mubebe tuongee vizuri naona umeng'arisha avatar hapo Mafisi mate yanawatoka, woooi nyie Mafisi msiguse Mali za watu
Wewe kwanini mkorofi?? Unamnyima raha wifi yangu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…