Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kanifanya nimelia kwa nguvu sema alinikuta nimelewa nilipiga safari kubwa 5 nilikapiga makofi nikataka kukachapa na mkanda kaka kimbia usiku wa mananeMchaga bahili JF nzima yule nguvu za kuvunja simu anatoa wapi? Ameanza lini kuwa na wivu?