GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Naomba kujuzwa!
Japo sivutiwi na mwonekano wa nje wa gari tajwa, linaonekana lina upekee usio wa kawaida. Bei yake ipo juu sana.
Ningekuwa na ndugu au rafiki mwenye nalo, ningeomba alau lifti ili niujue uzuri wake halisi. Lazima lina upekee unaolifanya liwe ghali sana kuliko magari mengine mengi!
Kwa wajuzi wa magari, Mercedes Benz G wagon lina upekee gani tofauti na magari mengine?