Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Mjerumani kaamua kutoa kifaa kipya cha umeme EQS electric car ambayo ni tishio kwa Tesla. Inaaminika is the most luxurious electric car in the market.

Gari hili linalotumia umeme tu liko aina mbili EQS 450+ Na EQS 580 4matic.

Imeshaingia sokoni toka mwezi wa 8.
na utitiri wa kuorder unaendelea.

Bei inaanzia dollars za kimarekani laki moja hadi zaidi ukitaka uongezewe mbwembwe.
Screenshot_20210902_214031_com.android.chrome.jpg
Screenshot_20210902_213928_com.android.chrome.jpg
Screenshot_20210902_213922_com.android.chrome.jpg
Screenshot_20210902_213907_com.android.chrome.jpg
 
Features zake ni za kupendeza. Yani kwenye dashboard kwaanzia usukani hadi passengers seat ni touch screen. Pia ukiuliza swali lolote kwenye lugha uliyoseti inakujibu. Kwa mfano hello mercedes inakujibu hello. How are you inakujibu am fine. Can you take me to Oyster bay inakujibu Allright give me the address al take you there. Maamae Mjerumani.

Tesla kitu kinachojivunia ni chaji ambayo inadumu kilomita 560 yani kutoka Dar hadi Boma ya ng'ombe ama kia.

Lakini licha ya hivyo sasa hivi Tesla inapata upinzani mkali sana kwenye soko la magari ya umeme.

Toyota na Kia wako mbioni kutoa magari yao ya umeme ambayo bei yake itakuwa rahisi sana. Na yakiingia sokoni sidhani tesla itaendelee kutawala soko la magari ya umeme kwa muda
 
Mzuka wanajamvi!

Mjerumani kaamua kutoa kifaa kipya cha umeme EQS electric car ambayo ni tishio kwa Tesla.

Gari hili linalotumia umeme tu liko aina mbili EQS 450+ Na EQS 580 4matic.

Imeshaingia sokoni toka mwezi wa 8.
na utitiri wa kuorder unaendelea.

Bei inaanzia dollars za kimarekani laki moja hadi zaidi ukitaka uongezewe mbwembwe.View attachment 1921489View attachment 1921490View attachment 1921491View attachment 1921492

Tesla bado watatawala soko kwani wana faida ya uvumbuzi. Ulaya Tesla imenyaka soko. Kila kona ni Tesla tu!
 
Tesla bado watatawala soko kwani wana faida ya uvumbuzi. Ulaya Tesla imenyaka soko. Kila kona ni Tesla tu!
Kweli Tesla wanatawala. Lakini tayari keshapata wapinzani. Tesla angekuwa mjanja angetoa magari yenye bei nafuu. Sasa hivi kia na Toyota wako mbioni kutoa magari ya umeme yenye bei nafuu ambayo hadi walala hoi akina Idugunde wataweza kumudu kununua.
 
Mkuu sidhani kama hii ni direct competition na Tesla. Hiyo $100,000 na zaidi ni Tesla kama mbili tu. Huyu nadhani amelenga zaidi 'luxury' market sababu huko ndio uwanja wao. Na asubiri kupambana na watu kama Lucid Air sio Tesla. Na kukumbuka Tesla objective yao ilikuwa kuhamisha Dunia kutoka 'ICE' to BEV na naona wanafanikiwa kila 'OEM' anatengeneza 'BEV" now.
 
Inategemea tesla ipi. Tesla mode y mpya ni dollars elfu 70. Model x ni kuanzia laki moja. Halafu mbwembwe za tesla bei inapanda kulingana na rangi ya ndani na ya nje. Ni rangi nyeupe tu bei haipandi. Ukitaka rangi nyekundu unaongeza dollar elfu 6
 
Back
Top Bottom