Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?



Kuna upeo ambapo mwanadamu amewekewa kuufikia na MUNGU (kwa sisi waamini Mungu) lazime afike hapo ambapo utakua wa kushangaza kila mtu chini ya jua na hilo Mungu ameliruhusu β€œMungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi”. (Muhubiri 7:29)

ila pia pia kuna kikomo ambacho mwanadamu amewekewa kukifikia na kamwe hawezi kupita hapo hata afanye nini hatapita hapo rejea mnara wa babeli ndivyo ilivyokua, itakavyokua hata sasa ko mambo yote nna yatendeke kwa uzuri
 
mkuu ONTARIO naomba ufafnuzi hapo kwenye technology ya 3D printing,hasa uliposema kuwa huko china kuna ghorofa la ngazi 5 limejengwa kwa siku 17 na kuhusu hilo gari la ku-print linafanya kazi au ni gari la pambo?

ingia youtube angalia, hayo mambo ya 3D PRINTING nimeyajua ARDHI UNIVERSITY, hata MUST pia hio technology wanayo
 
ISO M.CodD mwaka jana mwezi wa tisa ripple ilikua inachezea dola 0.0002, mwezi wa kumi na moja haikufika hata 0.1usd ila jana ilifika 3.4usd...

Hapo sijaongelea bitcoin na ethereum...

Dunia inaenda kwa kasi sana sisi ndio kwanza tumewekeza kwenye kukuza vyama bila kisahau chuki na visasi...

Bado tuna safari ndefu sana mkuu!! Ila tutafika tu... together or alone!!!
 


Hapo ndio point yake kubwa.

Halafu it is so so sad,idadi kubwa ya population ni low IQ watamfuata huyu mwizi all the way through!

So sad!

No matter how you alert these fools,they will never learn!
 
huyu dogo ni tapeli sana asipoacha utapeli watakuja mchoma moto raia.. alianzia mbali forex na baadae akapiga hela za watu akaenda kulimia... na kuwaambia wasubiri wata download hela mwisho wa siku wameambulia manyoya... sasa kaja na mbwembwe nyingiiii mwisho wa siku watu watapigwa hela na kubaki manyoya.. na safari hii ndio watamtia kiberiti
 

Kwanini una muita mwenzako tapeli? Amekutapeli nini?
 
Inshort wanaprint parts za kutengeneza nyumba sio nyumba yote kwa pamoja.alafu wana assemble manually
Leo nimeona video ya 3D brick layer machine. Kwa kifupi inapandisha boma.
 
Nilichojifunza apa ni kufanya kazi na kujipanua kiuchumi mapema kwenye maisha ili uweze kupata mda wa kuichambua dunia vizuri apo baadae kwa kusoma vitabu kisafiri kokote duniani bila kusumbuliwa na kazi nk

Big up ONTARIO
 
Hapo ndio point yake kubwa.

Halafu it is so so sad,idadi kubwa ya population ni low IQ watamfuata huyu mwizi all the way through!

So sad!

No matter how you alert these fools,they will never learn!
Jf tuna wajinga wengi sana. Wameaminishwa hizo conspiracies (regard Ontario he is an Athiest) na ndio watz wanazipenda. Na anajua wengi ni mbumbumbu. Yeye anawaambia hayo ni mkulima na mfugaji wa kuku, ila viwatu vimetega kusikia ujinga..
 
Tatizo lako unafikiri paper printing hizi zipo sasa. Si hadithi. Google 3D printing ujionee
 
CRYPTOCURRENCIES,
CRYPTOCURRENCIES,
CRYPTOCURRENCIES,

Fursa nyingine hii hapa. itazameni kwa jicho la tatu.

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Dah! Kweli nimeamini ule usemi kuwa wabongo wamebakiza stage moja tu ili waitwe wachawi na wakabidhiwe tunguli, iv ni kipi kinachofanya mumchukie hyu dogo? Mnamuita mwizi amewaibia nn??mara ooh! Tapeli anewatapeli nn?? Km ni fursa ameona mwacheni azitumie mradi hajakupiga kabali na kuchukua hela zako kwa nguvu! Kijana wa watu maskini anapambana ili kesho yake iwe bora mnamuona mwizi wakati hajawaibia chochote badilikeni sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…