Aliebuni kavazi ya kujifunika ni Umar na sio AllahStara ya mwanamke wa kiislamu si kufunika kichwa pekee, mwili wa mwanamke wote ni uchi isipokuwa uso na vitanga vyake viwili vya mikono na pamoja na hayo wanawake wa kiswahaba allah awaridhie walikuwa wakifunika nyuso zao mbele za wanaume.
Wapagani walikuwa wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu?Christmass asili yake ni sikukuu ya kipagani,
Wapi umewahi kusoma kuwa wanafunzi wa Yesu au Yesu mwenyewe akisherehekea ChristmassWapagani walikuwa wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu?
Jibu kwanza swali languWapi umewahi kusoma kuwa wanafunzi wa Yesu au Yesu mwenyewe akisherehekea Christmass
Katika Uislamu madhambi yanatofautiana ,Kusherekea na kutambua hiyo sikukuu ni sawa na kukubali Mungu ana mwana na leo Mungu amezaliwa kitu ambacho ni dhambi kubwa sana.Hata wakifa hao watu leo huyo mwenye kusapoti itikadi hizo ana wakati mgumu sana kuliko uliowataja vilevile mtu kufanya dhambi haimaanishi usikemee .Unakuta mtu sadaka hatoi kuzini anazini ila Mo Salah kupost Merry Christmas anaumia
Wapo wa Arab wakristo,kuanzia Iraq,Turkey,Saudia mpaka Palestine,Jamaa ame_tweet hii picha sasa hizo comments kutoka kwa jamii ya kiislam wamegoma kumuelewa jamaa wakidhani anataka kuokoka!.
View attachment 2457499
Mfumo Kristo ndio unatawala duniaJamaa ame_tweet hii picha sasa hizo comments kutoka kwa jamii ya kiislam wamegoma kumuelewa jamaa wakidhani anataka kuokoka!.
View attachment 2457499
Mkuu ila mambo ya imani ni binafsi mtu na Muumba wake Mo Salah amepost karibu mara ya nne sasa lakini hajali na Quran anasoma Mungu ndiye atakayemuhukumu nadhani huwa anarudi kwao Misri unadhani atakuwa haambiwi na ana ndugu ambao ni waislam ,jitazame wewe na Mungu wako umesimama vipi katika imani usimuangalie mtu mwingine hata awe maarufu kiasi gani .Katika Uislamu madhambi yanatofautiana ,Kusherekea na kutambua hiyo sikukuu ni sawa na kukubali Mungu ana mwana na leo Mungu amezaliwa kitu ambacho ni dhambi kubwa sana.Hata wakifa hao watu leo huyo mwenye kusapoti itikadi hizo ana wakati mgumu sana kuliko uliowataja vilevile mtu kufanya dhambi haimaanishi usikemee .
Hilo liko wazi Waislam wasiofuata mfumo kristo labda wanaoishi Saudi ArabiaMfumo Kristo ndio unatawala dunia
Muislamu yoyote anae sherekea hiyo siku jua tu ajitambui na ni jahilliya asie jua misingi ya Dini yake.
Christmass asili yake ni sikukuu ya kipagani, haimo kwenye bible na wala Yesu hajawahi kuisherehekea.
Mashabiki wako sahihi kumrudisha katika njia sahihi.
Kwenye uislamu ukipotea njia unakumbushwa, na hapo Mo Salaa anakumbushwa!
Kwanza sio waislam tu ambao hawataki kusikia kitu kinacho itwa krismas hata baadhi ya wakristo wenzenu wana ipinga mfano ni wasabato na waothodoxs.
Kwa mjibu wa uislamu hakuna kitu kinacho itwa krismas ila kwa sababu jamii yetu ni jamii mchanganyiko wa dini hasa uislamu na ukristo ni vyema kufumbia macho baadhi ya mambo ili maisha yaende ,ila ukifuata maandiko ya dini hii sikukuu muislam haruhusiwi kuihusudu kwa namna yeyote ile.
Moja ya Sababu uisilamu upo vile vile haujabadilishwa mpaka leo ni hio, Jamaa yupo wrong na waisilamu wengine wana haki ya kumuambia kama amekosea
Hao waislam unao taka wakupende na kukuheshimu je ww unawapenda na kuwaheshimu?
Mngekuwa mna wapenda msinge kuwa mnashinda humu mnawakejeri.wakristo wanawapenda sana waislam ila asante zinarudigi kwa namna mbaya sana.
unyanyapaa,kejeli na makasiriko.
shida ni usataarabi tu,kuna dini inafanya watu waishi kama kuku.
Bata linaliwa mkuu (sikupata picha ya forodhani jana) ila nyomi ilikuwepo, hata Rais mwenyewe anaitambua na katoa ulinzi mahala tofauti ili kushereheka kwa amani.wenyewe ukiwa Zenj hawataki kabisa kuona mkristo anakula bata la christmass
Umma huu umesifiwa kuwa Umma bora kutokana na watu kukatazana maasi na kuamrishana mema ,na kwenye dini ya Uislamu lazima kila mtu aonywe bila kujali mambo mengine vilevile katika kuonywa mtu vilevile watu wengine wakapata fursa ya kutambua kuwa jambo fulani ni kosa .Mkuu ila mambo ya imani ni binafsi mtu na Muumba wake Mo Salah amepost karibu mara ya nne sasa lakini hajali na Quran anasoma Mungu ndiye atakayemuhukumu nadhani huwa anarudi kwao Misri unadhani atakuwa haambiwi na ana ndugu ambao ni waislam ,jitazame wewe na Mungu wako umesimama vipi katika imani usimuangalie mtu mwingine hata awe maarufu kiasi gani .
Umma huu umepewa hadhi ya kuwa Umma bora moja Kati ya sababu ni watu kukatazana maasi na kuamrishana mema , hivyo ni lazima uovu usemwe ili mtu abadilike au wengine wapate mazingatio kutokana na hayo.Mkuu ila mambo ya imani ni binafsi mtu na Muumba wake Mo Salah amepost karibu mara ya nne sasa lakini hajali na Quran anasoma Mungu ndiye atakayemuhukumu nadhani huwa anarudi kwao Misri unadhani atakuwa haambiwi na ana ndugu ambao ni waislam ,jitazame wewe na Mungu wako umesimama vipi katika imani usimuangalie mtu mwingine hata awe maarufu kiasi gani .
Safi kabisa. Ninyi mna Isa bin Mariam.Sasa kama sio mwenyewe kinacho kuuma ni nini? Wewe endelea na birth day ya Yesu, sie tuna Issa nessiah bin Maryam, sioni haja ya kutukana labda ni chuki zako binfsi dhidi ya Dini tukufu ya haki na ya Allah