KESHO SAA 10 JIONI HAKIKISHA UNAFIKA KWENYE SHEREHE / KIKAO CHA xxxxxx. USIKOSE !
Ni message ambayo huwa inapokelewa vizuri sana na watu wa kawaida wakiwaza kukutana na watu wengi pamoja na vyakula lakini kwa Introvert huwa wanachukia sana ππ
Nilipigiwa Simu mchana wa Leo nikapewa taarifa kuwa Kuna dogo kapata ajali yupo hospital yaani nilikuwa najivuta vuta mpaka kufika Huko location sio poa
It is trendy to be an introvert right now β Susan Cain wrote βQuietβ and suddenly everyone was clamouring to prove that they were actually one of the deep, misunderstood introverts of the world.β¦