Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7

Social media nonsense do not reflect real life scene
Google, Wikipedia na AI si social media in case you didn't know know you know,professional football analysts and top world top football players(previous players and current players) nao pia si social media. FourFourTwo na The International Federation of Football History & Statistics(IFFHS) pia hizo organizations siyo social media na wote hao wanakubaliana who is the GOAT though you're entitled to your own opinion huku ukifahamu fika kuwa unakinzana na wataalam ndipo na hapo ndipo ujuilize je unapofushwa na ushabiki au ni hater au uwezo wa akili yako ya kuchanganua mambo kitaalam ni either zero au negative au unaufahamu ukweli ila umeamua kubisha tu kwa sababu za ushabiki.
 
Tizi la mchongo liwe dongo kwa mbuzi
Tizi Ni Tizi Tu Hakunaga Tizi La Mchongo...
Kwani Tizi La Mchongo Na Kuwa Dongo Mbuzi Ndio Linafanyikaje Kwani,Tofauti Na Tizi Ambalo Si La Mchongo Na Wala Si Dongo Kwa Mbuzi Wala Kondoo,,,Wala Ng'ombe Na Hata Punda Pia....
​
 
Leo ni birthday ya Messi. Hiyo video simply ameonesha yuko serious na kazi badala ya celebration za BD.
 
Mkuu let me tell you something...
When talking about GOATS don't look at what they did.. Utaishia kusoma makaratasi na kujishauwa huku moyo wako ukiugulia Maumivu...

We don't look at numbers because they don't define a player...
We look at how he did it,

How many players he inspired

We look on the influence he made both in and out of the he field

Greatness isn't measured in numbers brother, greatness isn't measured in statistics and analysis on the field..

It is measured on how the hero overcame difficult situations... And how he himself stood against all odds

Nenda kalale mkuu, you can't come out of this😅 na watu wakuelewe
 
Tizi Ni Tizi Tu Hakunaga Tizi La Mchongo...
Kwani Tizi La Mchongo Na Kuwa Dongo Mbuzi Ndio Linafanyikaje Kwani,Tofauti Na Tizi Ambalo Si La Mchongo Na Wala Si Dongo Kwa Mbuzi Wala Kondoo,,,Wala Ng'ombe Na Hata Punda Pia....
​
Unaugulia Maumivu ukiwa pande zipi?
 
Shida mashabiki wa Ronaldo akili kisoda kwaiyo uwezo wenu wa kufikiri ni =0.

sisi mashabiki wa the Real GOAT hatunaga mbwembwe, tukutane kwenye awards ☝️
 
Unachekesha
 
Timu siaraseveni wanavifukuto sanaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣.....

Messi huo ubinadamu hanaaaaaaaa

🎩
Messi NI GOAT Kwa sasa na Siaraseveni NI Mbuzi maji mmoja 🤣🤣🤣
 
Shida mashabiki wa Ronaldo akili kisoda kwaiyo uwezo wenu wa kufikiri ni =0.

sisi mashabiki wa the Real GOAT hatunaga mbwembwe, tukutane kwenye awards ☝️
Ugoat unakuja kwenye awards?
Ni Sawa na kusema mtu mwenye pesa zaidi ndo Goat! Unaweza kuwa na hela au awards lakini ukawa nyumbu tuu

Kipindi Rodri anachukua balloon d'or mbele ya Vini si alionekana nyumbu tuu
 
Ugoat unakuja kwenye awards?
Ni Sawa na kusema mtu mwenye pesa zaidi ndo Goat! Unaweza kuwa na hela au awards lakini ukawa nyumbu tuu

Kipindi Rodri anachukua balloon d'or mbele ya Vini si alionekana nyumbu tuu
usinichoshe akili.
 
You against the football professionals, you sound desperate and pathetic.
Narudia tena, you have all the rights to have your own opinion lakini ujue na imethibitishwa(professionally) popote patokapo professional analysis the one and only the matter is obvious.
Let's agree gentlemanly to disagree kwani umeamua kuchagua ujinga badala ya uerevu based on data and facts from the football world.

Hiyo we hapo obviously ina-represent the CR7 fan boys, wataalam wa kidunia hata kwenye top three wanamkataa.
 
Tatizo linalomkabili CR7 ni kuwa wachezaji wenzake wanamwonea wivu na hiyo huwa hawampi pass kama inavyotakiwa. Mara nyingi huwa anatafuta nafasi lakini mwenye mpira anaona SIYO LAZIMA ampe pass na hutoa kwa mwingine. Kama CR7 angekuwa anapewa kipaumbele kwenye pass za mwisho kama anavyofanyiwa Massi na Mbape, tungeshuhudia maajabu sana!!
 
CR7 The richest footballer ever lived on this planet earth! The bilionear!! Jiulize kwa nini CR7 na si mwingine!! jibu ni IMPACT!!
 
I see your pain mkuu pole sana.
Mpira wa makaratasi hauna mashabiki, endelea kufanya analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…