Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7

Hata hivyo wakina Bruno, Mendez na jao Felix Wameanza kupata somo baada ya kushambuliwa na mashabiki,
Cr7 will take us to the promised land
 
Kwa kigezo kipi kwamba cr7 ndiye anayependwa duniani kote !? Maana hapo kwanza ncheke πŸ˜„πŸ˜„

Mtu anayependwa duniani kote hata wachezaji wenzake wana mvimbia !?

Jana ilikuwa B.DAY ya Messi umeona mastar wakubwa kwenye soccer walivyo ipokea !?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 

You can't be the GOAT na ukose maadui
. Ukiona maadui ni wengi tena hao walipo kwenye circle yako jua tayari they're insecure about you

Umesha wa win...

Mwiba umekuchoma ukiwa pande zipi?
 
CR7 The richest footballer ever lived on this planet earth! The bilionear!! Jiulize kwa nini CR7 na si mwingine!! jibu ni IMPACT!!
Wingi wa pesa na kiwango cha endorsements na advertisements kama ndiyo kipimo chako basi Neymar Jr na David Beckham wapo kwenye top three ya uchezaji bora.
 
Wingi wa pesa na kiwango cha endorsements na advertisements kama ndiyo kipimo chako basi Neymar Jr na David Beckham wapo kwenye top three ya uchezaji bora.
Hana Akili πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Kwa muktadha huo it means Beckham ni Bora kuliko zidane / Ronaldo delima cause he's famous and richer more than zidane /Ronaldo delima
 
La Pulga ni playmaker hivyo magoli yake mostly ni ya juhudi binafsi, CR7 na Mbappe ndiyo pekee wanaolilia pasi ili wafunge.
Kusema wachezaji wenzake(Portugal national team players) wanamuonea wivu na wanamnyima pasi huo ni utoto uliokithiri, unadhani wewe una uwezo wa kuwatathmini wachezaji zaidi ya kocha wao ambaye ndiye anayepanga majukumu yao uwanjani na akibaini wapo wanaoenda kinyume na kuikosesha timu ushindi lazima watasugua matako kwenye benchi au kutemwa kabisa kwenye national team.
 
Messi angekuwa anamfikiria CR7 basi angekuwa hata magoli kampita maana ameshagawa penalty zaidi ya 28 kwa wachezaji wenzake ili kuboost confidence au waongoze magoli. Ukija kwenye assists ndio usiseme, kuna assist nyingine Messi anafunga, ila anatoa assists kwa wenzake. Sema Messi mwenyewe hana time ya kumfikiria huyo CR7,mnaye mpima kwa magoli, ila ukija ratio ya idadi ya machi na magoli Messi yupo juu kuliko CR7. Messi hajawahi kumfikiria CR7.
 
Kwenye kila ligi ambayo Messi na Ronaldo wamekutana, Messi ni mchezaji anayeongoza kupiga penalti nyingi.

Lakini Messi ndio anayeongoza kwa kukosa penalti nyingi kuliko mchezaji mwingine yeyote.

Kwa hiyo hata asingegawa hizo penati 28 bado hana ratio nzuri ya ku convert penati kuwa goli.
 
Messi kushine haitaji kufanyiwa kama wafanyiwavyo Mbape na CR7,Messi anaweza anzio katikati ya uwanja akapunguza hata watu 5-8 akafunga na akassist na ndio maana anasolo goal/assists kibao.

Bila kusahau Messi ni best Playmakers, ukitaja wawili Messi yupo,haitaji kufunga kushine,yeye mwenyewe anauwezo wa kuwatengenezea wenzake na kucontrol match nzima.
 
Penalty nyingi hizo 72 (Ronaldo kapata 61) kwa 73 Messi (kapata 60),maana Ronaldo kamkuta Messi.

Sawa ratio hana, hiyo ratio ukiconvert still hakosi goal 14,njoo kwenye assists alizowapa wenzake ambazo yeye alikuwa anafunga zipo kibao.Ukitizama assists zaidi ya 400+ za Messi basi assist zaidi ya 80 alikuwa na uwezo wa kufunga mwenyewe.Hapo ndio utajua ni wachezaji wawili wenye mentality tofauti huyu ni best playmakers so kwake kuassists ni kawaida,huyu goal scorer tu ambaye ni mbinafsi ambayo ni sifa ya kawaida kwa goal scorer.

Kama unazungumzia ratio,njoo kwenye ratio za idadi ya magoli kwa jumla ya mechi walizo cheza,Messi(asilimia 79) anapercent kubwa kuliko CR7(asilimia 73).
 
Watu mnampenda Cristiano Ronaldo kwa sababu ya urembo wake dah!

Angejitilokeza tu maeneo ya Tanganyika pekaz mngempiga mtungo aisee!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ.

Al-mukheef.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…