Messi ndie most overrated Player ever

Kati ya goli 3, 2 zilikuwa penati, penati ya pili walipewa kabisa.

Ubaya hamuangalii mpira mnachungulia mikeka tu
 
Man of the match haitolewi kwa team iliyoose

Kapiga goals mbili swafi kabisa

Dimaria kafanyaje sasa goal.1 tu[emoji16]
 
Kwan Messi Jana kachukua man of the match? Kama ni hivyo basi hayo ni mauzauza ila kwenye mchezaji bora wa mashindano kastahili
Kachukua ulitaka Nani apewe?
 
Mimi naona hata ile golden ball hakutakiwa kushinda yeye
Mbape alifanya vizuri zaidi katika kombe hili kuliko Messi

Ila ni sababu za marketing tu
Una bangi aya tufanye cr7 katisha
 
Kwangu mimi katika kikosi cha Argentina, Di Maria alikuwa kwenye kiwango bora zaidi kuliko Messi

Mbappe huyu nilimzungumzia sana jana, huyu ni mchezaji wa kipekee sana ila kinacho mkosti hana fanbase ya kutosha
Kiwango gani sasa[emoji16]
 
Penalty mbappe kafunga ngapi jana?

Ushaona wapi mchezaji bora unatoka kwa team iliyofungwa?
 
Abeid pele tena [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…