Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Mbappe kawa man of the match mara ngapi kwenye hii michuano? Na Messi je?Mimi naona hata ile golden ball hakutakiwa kushinda yeye
Mbape alifanya vizuri zaidi katika kombe hili kuliko Messi
Ila ni sababu za marketing tu
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app