Messi ndie most overrated Player ever

Messi ndie most overrated Player ever

Wakati mwingine mkijadili mtumie akili kidogo, mpira ni magoli na tunarukaruka kila yanapoingia.Sasa mwanaume anajikaza anatia goli tatu peke yake wewe unaongea upupu hapa.Wakati mwingine huwa tunajiaibisha sana.Mumpe na uchezaji bora wa dunia na vipenati vyake.
Kati ya goli 3, 2 zilikuwa penati, penati ya pili walipewa kabisa.

Ubaya hamuangalii mpira mnachungulia mikeka tu
 
Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.

Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?

Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?

Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.

Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.

N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
Man of the match haitolewi kwa team iliyoose

Kapiga goals mbili swafi kabisa

Dimaria kafanyaje sasa goal.1 tu[emoji16]
 
Kwan Messi Jana kachukua man of the match? Kama ni hivyo basi hayo ni mauzauza ila kwenye mchezaji bora wa mashindano kastahili
Kachukua ulitaka Nani apewe?
 
Mimi naona hata ile golden ball hakutakiwa kushinda yeye
Mbape alifanya vizuri zaidi katika kombe hili kuliko Messi

Ila ni sababu za marketing tu
Una bangi aya tufanye cr7 katisha
 
Kwangu mimi katika kikosi cha Argentina, Di Maria alikuwa kwenye kiwango bora zaidi kuliko Messi

Mbappe huyu nilimzungumzia sana jana, huyu ni mchezaji wa kipekee sana ila kinacho mkosti hana fanbase ya kutosha
Kiwango gani sasa[emoji16]
 
Wakati mwingine mkijadili mtumie akili kidogo, mpira ni magoli na tunarukaruka kila yanapoingia.Sasa mwanaume anajikaza anatia goli tatu peke yake wewe unaongea upupu hapa.Wakati mwingine huwa tunajiaibisha sana.Mumpe na uchezaji bora wa dunia na vipenati vyake.
Penalty mbappe kafunga ngapi jana?

Ushaona wapi mchezaji bora unatoka kwa team iliyofungwa?
 
Pele did it first

Ni kwa sababu tu ya teknolojia kukua hivyo vijana wa sasa mnaona mengi yafanywayo na wachezaji wa sasa.

Lakini mchezaji Abei Pele, mwenye asili ya Ghana amefanya mengi sana ambayo ndio imekuwa kiigizo kwa hawa nyota wa siku hizi.

Pitia video clip hii fupi angalau ujionee. View attachment 2451602
Abeid pele tena [emoji16]
 
Mazumbukuku wa MISS PENATI toka mbeleko FC/Argentina watakuelewa kwa hii inshu kweli [emoji848][emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Officer wa FIFA akikosa goal
IMG_20221218_230228.jpg
 
Back
Top Bottom