Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

PFA tokea lini kikawa kigezo cha kushinda tuzo ya FIFA ww kiazi?Henry anzo mbili,KDB anazo mbili (najua ulikuwa hujui) mbona hawakuchukua tuzo ya FIFA.
Ww jamaa ni mwehu kweli pfa ni tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Uingereza kama hao uliowataja hawakuchukua basi hawakufanya vzr kwenye michuano ya ulaya. Haaland kwenye ngazi ya vilabu vya ulaya kabeba tuzo zote kubwa na ndoo zote kubwa acha wehu kijana
 
Hiyo Homework,kagoogle.

Wachezaji wangapi walibeba tuzo ya ulaya na bado ya FIFA hawa kubeba?
 
Hiyo Homework,kagoogle.

Wachezaji wangapi walibeba tuzo ya ulaya na bado ya FIFA hawa kubeba?
Ww nimekwambia acha wehu, Benzema alibeba zote ulaya hadi tuzo ya dunia, haaland kafanya vzr kuliko wote kwenye ngazi ya klabu, au ww taja aliyefanya vzr zaidi ya haaland kwenye ngazi ya klabu..... shida ya Messi kawa bora kwenye world Cup tu ila kwenye ligi huko ata kwenye klabu yake hakuwa bora
 
Em www tuambie lini chances created zimetumika kwenye kutoa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia? De bryune tu na hizo chances created zake hajawahi kuwa mwanasoka bora wa ligi ya Epl na ndiye huwa anaongoza kwa misimu mingi
Luka Modric- 2018
 
Luka Modric- 2018
Luka modric hakuchukua sbb ya chances created ww, club level tu stats zake alizidiwa hadi na Ronaldo...... luka alichukua due to his role pale timu ya taifa always miaka yenye kombe la dunia huwa ina controversial mfano 2010 Messi - sneijder na iniesta au 2014 ronaldo - ribery
 
Nimeshangaa sana kuona anamfananisha Mbappe na Messi kwenye National Level

Messi ana gold medal ya Olympic
Messi ana coppa america
Messia ana finalisma
Messia ana worldcup

Ukitoka WC, Mbappe ananini cha ziada? Mashabiki wa Ronaldo wanamatatizo sana
Naongezea.

Messi ana under 17 kama sio under 20 Golden medal
 
Luka modric hakuchukua sbb ya chances created ww, club level tu stats zake alizidiwa hadi na Ronaldo...... luka alichukua due to his role pale timu ya taifa always miaka yenye kombe la dunia huwa ina controversial mfano 2010 Messi - sneijder na iniesta au 2014 ronaldo - ribery
Role yake kwenye timu ya taifa ilikuwa ipi?
 
Kwangu mimi naona tuzo angepewa Rodrigo. Halaand ni mfungaji bora tu. Messi ni GOAT ila kwa msimu uliopita ukiacha WC, performance yake haikuwa nzuri. Tuzo ya mchezaji bora wa WC inamtosha.
 
Kwangu mimi naona tuzo angepewa Rodrigo. Halaand ni mfungaji bora tu. Messi ni GOAT ila kwa msimu uliopita ukiacha WC, performance yake haikuwa nzuri. Tuzo ya mchezaji bora wa WC inamtosha.
Dah!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom