The Undisputed
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 330
Chances created?????? Tangia lini hiko kimekuwa kigezo? Hizi tuzo huwa zinaenda mara nyingi kwa washambuliaji tangia zama za Ronaldo -Messi era ianze. Na factor kubwa ni goal contribution tu, sasa ww hiyo chances created imetokea wapi????Kwani mchezaji kuchukua kombe la dunia ktk umri mdogo ndio kuna mfanya kuwa bora?
Huyu Giuseppe Bergomi mchezaji wa Italia alichukua kombe 1982 akiwa na miaka 18,ina mana huyu ni bora kuliko Mbape aliye chukua akiwa na miaka 19yr? (Naomba nijibu hili swali).
Kwani goli linafungwa vipi, unaisifia end product,ila unashindwa kuisifia process iliyo tengeneza hiyo end product. Man City Halaand ni end product, ila processor yenyewe ni KDB na Rodri.
Ozil na Messi ni wachezaji wawili tofauti, Ozil mzuri kwenye kuassist, ila Messi ni mcezaji ambaye ana combination ya Play Making +Asssisting+Dribbling +Scoring even skills Messi ni bora zaidi mbele ya Ozil. Hayupo mchezaji ambaye anauwezo wakufanya vitu zaidi ya vienne kwa ufanisi zaidi kama Messi hayupo au unaweza nitajia kama unamjua.
PSG 22/23 ana goli 16 na assists 16 kwenye ligi na ana goli 4 assist 4 kwenye UEFA na ametengeneza chance 189.
World Cup ana goli 2022 ana goli 7 assist 3 huku akitengeneza chance 18.
Haya ziweke za Halaand kuanzia kwenye club yake na timu yake ya taifa,hata tu zile za kufuzu World Cup 22 ya Quatar.
Huwezi fananisha mchezaji mwenye uwezo wa kufanya zaidi ya mambo manne uwanjani na anayefanya jambo moja.
Halaand ana namba kubwa kuliko mchezaji yyte yule kwenye club level, udogo(udhaifu) wa taifa lake ndio sbb yy kutokuwa bora katika national level. Huyo Messi miaka nenda rudi Argentina wana watu ila mafanikio at national level kayapata uzeeni, nimemtolea mfano Mbappe ambapo taila la Ufaransa halina utofauti na Argentina ki quality, lkn Mbappe katika umri mdogo ana mafanikio makubwa katika national level kuliko ata Messi yaani katika miaka 10 ijayo Mbappe atakuwa mbali kuliko Messi.
Lkn sbb kubwa ni ukubwa wa timu zao France na Argentina, na Mabppe kafanya mambo makubwa katika national level kuliko Messi.
Haaland ana PFA na Uefa player of the Year, ww mwenyewe chambua hizo tuzo zinatolewa kwa vigezo gani? Psg mchezaji wao bora msimu uliopita au mchezaji bora wa ligi ya Ufaransa ni Mbappe sasa ww mafanikio ya level katika club level ni yapi wakati ata kwenye club yake hakuwa mchezaji bora.