Kayaangalie kagoogle mbona ana stats nzuri sana, anamzidi Haaland kwa goal contributions mwaka mzima.Ww nimekwambia nipe stats zake msimu wake wa mwisho akiwa psg hayo magoli na assists.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kayaangalie kagoogle mbona ana stats nzuri sana, anamzidi Haaland kwa goal contributions mwaka mzima.Ww nimekwambia nipe stats zake msimu wake wa mwisho akiwa psg hayo magoli na assists.......
Em acha porojo...... Messi psg ana mechi 75 na 32 kwa ujumla huyo haaland msimu wa mwisho tu ligi kuu kafisha goli 30Kayaangalie kagoogle mbona ana stats nzuri sana, anamzidi Haaland kwa goal contributions mwaka mzima.
Haaland magoli yake yameipa ubingwa wa ligi kuu na uefa na kote huko yy ni top scorer .... yaani simply amekuwa bora kwa zaidi ya miezi 12 ss tumpe mtu tuzo kwa ubora wa mwezi 1 tu maana pale psg Mbappe ndiye kaibeba timu kuliko mtu yyte yaani Mbappe ndio alikuwa key player kuliko Messi au NeymarKayaangalie kagoogle mbona ana stats nzuri sana, anamzidi Haaland kwa goal contributions mwaka mzima.
Haaland nusu fainali na fainali yenyewe hajawa game changer, hatukatai huko nyuma alifanya mambo makubwa ila hakuwa decisive game mbili za muhimu kwa City. Messi World Cup game zote kawasha moto .Haaland magoli yake yameipa ubingwa wa ligi kuu na uefa na kote huko yy ni top scorer .... yaani simply amekuwa bora kwa zaidi ya miezi 12 ss tumpe mtu tuzo kwa ubora wa mwezi 1 tu maana pale psg Mbappe ndiye kaibeba timu kuliko mtu yyte yaani Mbappe ndio alikuwa key player kuliko Messi au Neymar
World Cup mechi ngapi?????? Epl na uefa mechi ngapi??????Haaland nusu fainali na fainali yenyewe hajawa game changer, hatukatai huko nyuma alifanya mambo makubwa ila hakuwa decisive game mbili za muhimu kwa City. Messi World Cup game zote kawasha moto .
Kwan Messi alikuwa Man of the match katika mechi ngapi WC? na nani aliongoza kuchukua tuzo nyingi za man of the match......?World Cup mechi ngapi?????? Epl na uefa mechi ngapi??????
Nimecheki Jana wakicheza na Peru,Messi Bado mwiba....anatembea kufunga goal kwake ni kitu rahisi sanaaa. Messi mkali,Halland mechi ngumu anazimika eg.Fainal ya CL, Arsenal tena saivi namuona kukosekana De breyn fundi inamuasi lol I Hlnd
Mchezaji aliyeipa man city point nyingi ni nani????? Mchezaji gani ameifikisha city fainali uefa?????? Hii tuzo kwa ajili ya mchezaji aliyefanikiwa zaidi katika mwaka husika na kuwa bora kuliko wenzake. Messi amekuwa bora kwenye michuano ya kombe la dunia tu, michuano ambayo inachukua mwezi mmoja tu. Kwa hiyo Messi alikuwa bora kwa mwezi mmoja tu ila haaland alikuwa bora kwa mwaka wote husika na kwa kiwango cha juu zaidiKwan Messi alikuwa Man of the match katika mechi ngapi WC? na nani aliongoza kuchukua tuzo nyingi za man of the match......?
Nani aliongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi WC?
Nani aliongoza kwa assists WC ?
Messi alikiwa na magoli mangapi WC?
Huwezi mfananisha mchezaji ambaye ni amaprove kuwa mzuri kwenye play making +Assisting+Chance creaters+Scoring+Dribbling na mchezaji ambaye yy anasifa moja ya kufunga tuu.
Kwa Man City mchezaji bora ambaye aliibeba timu wa kwanza ni KDB,wapili Rodri na watatu Halaand.
Halafu kumbuka hii tuzo ni ya FIFA na WC ni mashindano yaliyo chini ya FIFA.
Kwa takwimu hizo na nikitumia kigezo cha Chances Created ambacho ndio kinadhihirisha ubora wa mchezaji mhusika moja kwa moja bila kusita ningempa HalaandHizi ni takwimu za Lionel Messi na Haaland kwa msimu uliopita ambapo mmoja wao ataibuka mshindi wa tuzo za Ballon D’or hapo October 30 mwaka huu.
View attachment 2742095
Ungekuwa unapiga kura, kwa takwimu hizo hapo juu ungempa nani kura yako?
Huyo Haland alifanya nini mechi ya Nusu fainali? Halaand hana uwezo wa kuamua mechi, ila KDB uwezo huo anao. City wachezaji walio ifikisha fainali ni wawili Rodri na KDB.Mchezaji aliyeipa man city point nyingi ni nani????? Mchezaji gani ameifikisha city fainali uefa?????? Hii tuzo kwa ajili ya mchezaji aliyefanikiwa zaidi katika mwaka husika na kuwa bora kuliko wenzake. Messi amekuwa bora kwenye michuano ya kombe la dunia tu, michuano ambayo inachukua mwezi mmoja tu. Kwa hiyo Messi alikuwa bora kwa mwezi mmoja tu ila haaland alikuwa bora kwa mwaka wote husika na kwa kiwango cha juu zaidi
Hilo swali lako la kwann Norway haikushiriki World Cup siwez na mm naweza kukuuliza mbona mbappe ana World Cup ktk umri mdogo kuliko Messi na kila mwaka wa World Cup anakuwa na wastani wa kushinda.Huyo Haland alifanya nini mechi ya Nusu fainali? Halaand hana uwezo wa kuamua mechi, ila KDB uwezo huo anao. City wachezaji walio ifikisha fainali ni wawili Rodri na KDB.
Halafu kombe la dunia ni mchakato wa mda mrefu kabla event yenyewe ya mwezi mmoja.
Okay kama kombe la dunia ni mwezi mmoja,why Halaand timu ya taifa lake haikushiriki kombe la dunia? Au ilijitoa na kukataa kushiriki?
Biased analysisHilo swali lako la kwann Norway haikushiriki World Cup siwez na mm naweza kukuuliza mbona mbappe ana World Cup ktk umri mdogo kuliko Messi na kila mwaka wa World Cup anakuwa na wastani wa kushinda.
Ww kuna vitu havielewi khsu mpira, nijibu hili swali kati kdb, Rodri na haaland, nani kaipa points nyingi City? Magoli ndio yanatoa timu nafasi moja kwenda nyingine na sio assist na ndio maana ktk wachezaji hao wote uliowataja haaland ndio mchezaji ghali zaidi duniani nyuma ya Mbappe, kwann? Kazi ya kuweka mpira nyanvuni si kazi rahisi na ndio maana akitokea striker anafanya hivyo anakuwa na thamani kubwa kuliko mchezaji mwingine yyte yule.
Ww unauliza khsu mechi ya fainali, ila haaland magoli yake ndio yameifikisha city fainali ya uefa na kubeba ndoo kwann? Magoli yalikuwa na thamani sana.
Nikuulize swali, Ozil alikuwa anasifika kwa assist pale Spain kuliko kiumbe yyte yule lkn kwann Cristiano ndio alikuwa Shuja?
Huyo Messi psg msimu wake wa mwisho amefanya nn? Hakuwa ata mchezaji muhimu kwenye first 11
Taja accolades za Alvarez club level na national level na pia taja mafanikio ya Messi psg na mchango wake akiwa psg hili tujue nani kaibeba psg kati ya Messi na mbappe. Note Haaland ni PFA na UEFA player of the Year...... hizo tuzo mbili tu katika club level hakuna mwanasoka yyte yule anamfikia kwa...... leteni hoja zenuWatu wengi wanaompigia debe Haaland ni mashabiki wa Ronaldo wenye chuki na Messi.. Kiuhalisia Messi anadeserve Ballon D'or ya 8 kwa sababu ana achievements katika
-club level,
-National club level
-Has won many honours than Halaand
-Mchango wake umeonekana moja kwa moja kwenye kutwaa WC (Messi ameibeba team team haijambeba)
So, kama mtu ataamua kumshindanisha Haaland na Messi basi ni bora afikirie kwanza kumshindanisha Haaland na Julian Alvareź maana Alvareź anayo great achievements kuliko Haaland
Kwani mchezaji kuchukua kombe la dunia ktk umri mdogo ndio kuna mfanya kuwa bora?Hilo swali lako la kwann Norway haikushiriki World Cup siwez na mm naweza kukuuliza mbona mbappe ana World Cup ktk umri mdogo kuliko Messi na kila mwaka wa World Cup anakuwa na wastani wa kushinda.
Ww kuna vitu havielewi khsu mpira, nijibu hili swali kati kdb, Rodri na haaland, nani kaipa points nyingi City? Magoli ndio yanatoa timu nafasi moja kwenda nyingine na sio assist na ndio maana ktk wachezaji hao wote uliowataja haaland ndio mchezaji ghali zaidi duniani nyuma ya Mbappe, kwann? Kazi ya kuweka mpira nyanvuni si kazi rahisi na ndio maana akitokea striker anafanya hivyo anakuwa na thamani kubwa kuliko mchezaji mwingine yyte yule.
Ww unauliza khsu mechi ya fainali, ila haaland magoli yake ndio yameifikisha city fainali ya uefa na kubeba ndoo kwann? Magoli yalikuwa na thamani sana.
Nikuulize swali, Ozil alikuwa anasifika kwa assist pale Spain kuliko kiumbe yyte yule lkn kwann Cristiano ndio alikuwa Shuja?
Huyo Messi psg msimu wake wa mwisho amefanya nn? Hakuwa ata mchezaji muhimu kwenye first 11