INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Huku ni kufanyana watoto wadogo sasa!!!
2010 kombe la Dunia alichukua Spain, lakini bado Messi akachukua Ballon d'or, kigezo kipi kilitumika?
2014 kombe la Dunia alichukua Germany, Ronaldo alichukua Ballon d'Or kwa kigezo kipi kama UEFA si kitu mbele ya World Cup!?
Vipi kuhusu 2018, bingwa wa World Cup alikuwa France, kigezo gani kilitumika kumpa Ballon d'Or Modric!?
Unavyoleta mjadala kama huu uje na Statistics hapa.