SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
Judging from the four Laliga matches sio?Bila shaka wewe ni shabiki la Barcelona [emoji23]
Jude ni new global superstar kwenye miaka michache mbeleni atachuana vikali na akina Mbappe, Haaland na Vini kuwania matuzo makubwa.
Yes, mimi ni shabiki wa Barcelona, ila naoendelea facts kuliko hizi hype unazohangaika nazo wewe. Kwa hawa Young stars, Musiala anawazidi mbali sana. Sio Pedri, sio Gavi, sio Bellingham, wote anawazidi!
Kusema eti Bellingham apambane na Mbappe na Halaand, ni uongo mwingine. He has a long way to go. Tunaongelea watu ambao wameonyesha world class performance kwa misimu kadhaa sasa, sio huyu aliyeng'aa kwenye mechi nne!