Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

Waulize PSG au Man City wangempa nani ?

Pamoja na yote msimu uliopita katika timu husika Messi na Prima Donnas wenzake walichofanya katika timu husika wangepaswa kupondwa mawe...., Kwa pesa wanayopata alafu kuleta u-superstar ndio maana walikuwa wanazomewa..... (Mashabiki walikuwa na furaha to see the back of him); Kwa hilo tu mimi hata kwenye shortlist nisingemuweka (You must give your all to the Supporters, Pungufu ya hapo ni Ufisadi kama Ufisadi mwingine tu)
 
Embu elezea alivyobebwa asee,
Haweji kukujibu
Haaland.

Messi anabebwa tu na media, ila hana mpira wowte kwa sasa.

Huko marekani team anayochezea ilikua na hali gani huko nyuma! For now baada ya ujio wa messi!!

Vigezo vya kuchukua ballon anavyo na umewekewa na Greatest of all time lakini bado una hoji!

World cup🏆
Copa America 🏆
Kombe la mabara 🏆

Hapa nimemekuwekea makombe tu, bado tuzo, fifa best player n.k
 
Waulize PSG au Man City wangempa nani ?

Pamoja na yote msimu uliopita katika timu husika Messi na Prima Donnas wenzake walichofanya katika timu husika wangepaswa kupondwa mawe...., Kwa pesa wanayopata alafu kuleta u-superstar ndio maana walikuwa wanazomewa..... (Mashabiki walikuwa na furaha to see the back of him); Kwa hilo tu mimi hata kwenye shortlist nisingemuweka (You must give your all to the Supporters, Pungufu ya hapo ni Ufisadi kama Ufisadi mwingine tu)

Ongea short, nani anastahili kwako, sasa unazunguka kote huko 😄
 
Takwimu zinasemaje? Halafu umecheki mechi yake na ecuador jana?
Takwimu zinasemaje ? Unajua kwamba Ballon Dor ni predominantly kwa wachezaji wanaocheza Ulaya ?; Being that as it is kati ya hao wawili wamefanya nini huko Ulaya katika ligi zao husika na Champions League ?

Ukimaliza kuleta hizo stats ni-tag tuje tuendelee....; Na mwisho wa siku Messi, Neymar and Company wakiwa PSG kulingana na uwekezaji wame- achieve Big Time..... ? (Zote hizo nazokupa ni Stats)
 
IMG_2719.jpg
 
Uzi uko na vituko sana huu. Kuna mtu anatutishia Jude Bellingham, like seriously?

Jude ni level ya akina Pedri na Gavi. Mnajaribu tu kumpa hype isio ya lazima. Four good games, tayari mnamuona wa maana. Hivi mnamjua bwanamdogo wa kuitwa Jamal Musiala?
Bila shaka wewe ni shabiki la Barcelona 😂

Jude ni new global superstar kwenye miaka michache mbeleni atachuana vikali na akina Mbappe, Haaland na Vini kuwania matuzo makubwa.
 
Takwimu zinasemaje ? Unajua kwamba Ballon Dor ni predominantly kwa wachezaji wanaocheza Ulaya ?; Being that as it is kati ya hao wawili wamefanya nini huko Ulaya katika ligi zao husika na Champions League ?

Ukimaliza kuleta hizo stats ni-tag tuje tuendelee....; Na mwisho wa siku Messi, Neymar and Company wakiwa PSG kulingana na uwekezaji wame- achieve Big Time..... ? (Zote hizo nazokupa ni Stats)

Sawa mwalimu, basi wafuate wapiga kura na watoa tuzo uwape stats zako
 
Sawa mwalimu, basi wafuate wapiga kura na watoa tuzo uwape stats zako
Unajua wapiga kura na watoa tuzo ni kina nani na wanatoaje Tuzo ? Ndio maana hii Tuzo sio umahili wako per se bali pia ni vipi una mahusiano mazuri na wenzako na you don't rub people the wrong way, sio necessarily unafanya nini ; Ukiwa na ngozi ya kunguni au mtu wa kuwapa Dry waandishi tegemea kipigo ila ukiwa happy go lucky na waandishi upo nao close usishangae ndio maana hata kina Owen walishinda hii Tuzo

The Ballon d'Or victor is decided by 100 journalists from FIFA's 100 top-ranked member nations. Each journalist makes their top five picks from the 30-man shortlist, with each ranking earning a different points value/number of votes.

  • First: Six points
  • Second: Four points
  • Third: Three points
  • Fourth: Two points
  • Fifth: One point
 
Back
Top Bottom