Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu sijaielewa unaposema tatizo ni anayeshindanishwa nae, ina maana watu wanataka Messi apewe tu tuzo bila kushindanishwa!?Sidhani kama kuna mtu amebeza kiwango cha haaland hasa kwenye ufungaji tatizo ni anaye shindanishwa nae
Ana haribu sasa 😄 maana jamaa epl mechi nne goli 6 na hat trick juu 🔥🔥🔥🔥Chifu, kuna mtu hapo juu anasema Haaland sio mchezaji mzuri, kama Huku sio kubeza kiwango cha Haaland ni nini!?
Amezidiwa uwezo unajua messi huyu anaye elekea ukingoni akienda timu ya taifa ya norway wanaweza kumjengea sanamu kwa mchango atakao onesha 😄Halafu sijaielewa unaposema tatizo ni anayeshindanishwa nae, ina maana watu wanataka Messi apewe tu tuzo bila kushindanishwa!?
Au unamaanisha Haaland Hana vigezo!?
Mjomba hakuna kama Messi, ila ni lazima ashindanishwe, hawezi kupewa tuzo bila mchakato wa kushindanishwa. Kama tuzo inatolewa kwa kuangalia kipaji tu, basi inabidi Messi apewe Ballon d'Or kila mwaka, mpaka atakapoamua mwenyewe kuachana na mpira wa miguu, kwasababu kiuhalisia hakuna hata mchezaji mmoja anayefikia angalau nusu tu ya kipaji alichonacho Messi.Amezidiwa uwezo unajua messi huyu anaye elekea ukingoni akienda timu ya taifa ya norway wanaweza kumjengea sanamu kwa mchango atakao onesha 😄
Sijasema asishindanishwe dont get twistedMjomba hakuna kama Messi, ila ni lazima ashindanishwe, hawezi kupewa tuzo bila mchakato wa kushindanishwa. Kama tuzo inatolewa kwa kuangalia kipaji tu, basi inabidi Messi apewe Ballon d'Or kila mwaka, mpaka atakapoamua mwenyewe kuachana na mpira wa miguu, kwasababu kiuhalisia hakuna hata mchezaji mmoja anayefikia angalau nusu tu ya kipaji alichonacho Messi.
Kabebwa kivipi, unaweza ukatuonyesha ni wapi amebebwa! Aise huwa hamkosi cha kuongea, zile penalt za mbappe zingewapa ushindi ufaransa ungesemaje!!!!! Wamebebwa pia!!!! Au vile Messi na timu yake wamebeba kombe!! Mpira haupo hivyo utachekwaMessi Kombe la dunia lenyewe alibebwa bebwaaaa mpka kufikaaa.. Japo he is a goat..!! Halland anastahilii sanaaa hii tuzoo ametoa mchango mkubwa snaa kwa Timu yakee..
Haweji kukujibuEmbu elezea alivyobebwa asee,
Mwanaume mpaka anastaafu atakuwa kishampita mpaka Junihno kwa magoli ya Free Kick. Leo kaweka nyingine........
Ndani ya messi kuna skills,Dribbling, Assist,goal scoaring na Play Making ngumu sana Messi kukosa tuzo hii anachukua,kwani hamna mchezaji anaye vifanya hivyo vyote kwa level kama ya Messi na ndio maana Messi ana uwezo wa kuamua hata mechi ngumu,yy mwenyewe.
View attachment 2743215
Wasipompa Messi itakua wizi wa mchana kweupe.
Haaland atachuana mwakani na Bellingham.
Amini kwamba huyu dogo mwakani watu kazi wanayo dogo anapita njia zile zile za Ronaldo.😂 😂 😂 😂
Amini kwamba huyu dogo mwakani watu kazi wanayo dogo anapita njia zile zile za Ronaldo.
Sasa hivi style yake ya kushangilia inatrend balaa kama SIUUU.
Kama Mbappe, na Haaland wakizubaa huyu Bellingham atawaburuza sana.
Wana Madrid pure wanadai eti kijana ni Zidane mtupu.acha uchepe mkuu, Halland anabandika 50 goals kwa msimu bila ya shida kabisa. unaanzaje kumlignanisha na wapuuzi? kinachombeba huyo dogo ni uingereza tu, wamepita wenziwe wengi na kupigiwa debe ila wameshindwa kufanya chochote.