Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

Timu ikielemewa anatafutwa messi anapewa mpira atajua mwenyewe ataufanyia nn
Hii tuzo ni mchanganyiko wa mambo mengi uwezo binafsi wa mchezaji mchango wake kwenye timu mahaba
messi tayari ni brand kubwa na mpira sahv ni biashara namuona akiichukua tena kwa mara ya mwisho
 
IMG_3073.png



Dogo anashindwa magoli tisa , imagine angekua timu kama Argentina au france angesaidia taifa kiasi gani??


Halaand ana kipaji cha pekee sana kwa sasa hamna mfano wake.

Atavaa viatu vya gold hadi atavichoka.
 
Back
Top Bottom