Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

MESSIAH wa soka mpaka milele. Wanaompa Haaland ni team Betting wa EPL. Mpira sio kuvizia na kufunga. MCHEZAJI lazima awe anacheza kiteam na kusaidia wenzie kutimiza majukumu Yao. Muhim zaidi lazima uchangie katika ushindi wa tema
Messi anachukua mchana tu.
Mambo ya kusema zama za Messi zimeisha ni ujinga na upumbavu. Hakuna tuzo ya zama, ni tuzo ya ubora. Messi achukue Mara kumi ili kukomeasha kabisa kubguru wengine kufikia rekodi zake
 
Usiulize majibu mkuu!! Tunam,heshimu sana Messi, lakini tuukubali ukweli kuwa enzi yake inabaki historia!! Haaland ni habari nyingine kabisa!! Wala huwezi ukathubutu kulinganisha gari kubwa la kisasa (Haaland) na gari lililopitwa na wakati japo enzi zake lilitisha (Messi). Tutaendelea kumtembelea Messi kwenye jumba la makumbusho, lakini kwenye viwanja vya soka, tutaenda kumtazama Haaland!! Kura yangu kwa HAALAND.

Nje na kufunga Halaand anakipi cha ziada? Tuanzie hapa kwanza
 
Wapishi ni viungo!! Tungekuwa tunashindanisha viungo tungewapima kwa kiasi cha Assist zao kwenye magoli!! Kwa washambuliaji inabidi wafungane kwanza kwenye ufungaji wa magoli ndio tuanze kuangalia idadi ya assist!!
 
Wengi wanaweka hisia kwenye huu mjadala, with zero facts!

Wengi wanaomuunga mkono Messi, ni kwakua tu ni mashabiki wake wa miaka na miaka. Na wengi wanaomuunga mkono Halaand, ni mashabiki wa Ronaldo wanaotaka Messi asishinde ili "tukose wote".

Ngumu sana kufanya mjadala wa maana na watu wa namna hii.
 
Ballooo d’or haingalii kufunga tu. Kuna assist mchango wa mchezaji kwenye team kuanzia club mpaka national.

Halland kuanzia semi-final hakuwa na msaada wowote ashukuru sana Rodri na KDB kwa kazi walizofanya. Mara 100 KDB naweza kukubali ila sio kwa Halaand.

Halaand timu ya Taifa hana msaada wowote hata kufuzu WC ni tatizo ndo uje kumuweka mbele ya Messi?.

Messi ana world cup asee usicompare na Uefa, umeona leo alichowafanya Ecuador?.

Kumcompare Halaand na Messi ni dharau kwanza, Halaand mfanishe na kina osimhen kwa Messi ni dharau.
 
MESSIAH wa soka mpaka milele. Wanaompa Haaland ni team Betting wa EPL. Mpira sio kuvizia na kufunga. MCHEZAJI lazima awe anacheza kiteam na kusaidia wenzie kutimiza majukumu Yao. Muhim zaidi lazima uchangie katika ushindi wa tema
Messi anachukua mchana tu.
Mambo ya kusema zama za Messi zimeisha ni ujinga na upumbavu. Hakuna tuzo ya zama, ni tuzo ya ubora. Messi achukue Mara kumi ili kukomeasha kabisa kubguru wengine kufikia rekodi zake
Mi naamini messi huyu anaye elekea ukingoni akipelekwa team ya norway atakuwa na machango mkubwa kwenye team kushinda haaland
 
Ndicho kinachoendelea katika uzi huu.
Wengi wanaweka hisia kwenye huu mjadala, with zero facts!

Wengi wanaomuunga mkono Messi, ni kwakua tu ni mashabiki wake wa miaka na miaka. Na wengi wanaomuunga mkono Halaand, ni mashabiki wa Ronaldo wanaotaka Messi asishinde ili "tukose wote".

Ngumu sana kufanya mjadala wa maana na watu wa namna hii.
 
Messi ni mchezaji Bora wa muda wote duniani, hakujawahi kuwa na sina uhakika kama Dunia itakuja kupata mchezaji mwenye kipaji kumzidi Messi au kulingana naye.
Yote kwa yote, ni mpumbavu au zuzu tu anaweza kuona Haaland ni mchezaji wa kawaida.
 
Sidhani kama kuna mtu amebeza kiwango cha haaland hasa kwenye ufungaji tatizo ni anaye shindanishwa nae
 
Back
Top Bottom