Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paragraph ya mwisho ungebold.hivi halland anashindanishwaje na kina Messi?....
overall game yake ikoje? anamkaribia henry?
mi naona halland ni mfungaji mzuri lakn sio mchezaji mzuri, hajamfikia hata mbape au kane.......
Hii ndo itazima hata wale kunguru walokuwa wanaweka battle ya Messi na Ronaldo. Messi mtu jamani.MESSIAH wa soka mpaka milele. Wanaompa Haaland ni team Betting wa EPL. Mpira sio kuvizia na kufunga. MCHEZAJI lazima awe anacheza kiteam na kusaidia wenzie kutimiza majukumu Yao. Muhim zaidi lazima uchangie katika ushindi wa tema
Messi anachukua mchana tu.
Mambo ya kusema zama za Messi zimeisha ni ujinga na upumbavu. Hakuna tuzo ya zama, ni tuzo ya ubora. Messi achukue Mara kumi ili kukomeasha kabisa kubguru wengine kufikia rekodi zake
Unajua Messi kiungo na akawa anafunga goli nyingi na assists kuliko yoyote yule? Rekods za Messi huko La Liga na UEFA zinatisha mkuu.Wapishi ni viungo!! Tungekuwa tunashindanisha viungo tungewapima kwa kiasi cha Assist zao kwenye magoli!! Kwa washambuliaji inabidi wafungane kwanza kwenye ufungaji wa magoli ndio tuanze kuangalia idadi ya assist!!
Kwahyo hiyo zama ni sabb ya kimpira kweli??Halaand anastahili, na sababu kuu hizi ni zama zake na SI zama za Mesii.
Jana media zilimbeba pia akaweka goal la freekick dhidi ya equador timu ngumu san huko america kusini timu yake ikapata point tatu muhimu na ameingia kwenye orodha ya wapiga freekick bora amelevel kwa beckamHaaland.
Messi anabebwa tu na media, ila hana mpira wowte kwa sasa.
Inaweza isiwe kimpira na akaipata.Kwahyo hiyo zama ni sabb ya kimpira kweli??
wakimpa Tuzo huyo Albino uchwara(Haaland) watakuwa Wametukosea Sana Manguri wa Mpira.
Facts kam hizi Team Ronaldo huwa wanazipita kimya kimya kam wanaaga Maiti[emoji2788]Journalist: "Do you think Messi should win the Ballon d'Or for winning the World Cup or Haaland for winning the Champions League?" "
[emoji2788]Griezmann: "Winning the Champions League is overrated, even Celtic has one, plus that competition is full of corruption, Atletico Madrid was brazenly robbed of two finals and the press hid it. Whole lotta mafia in that dirty cup.
The World Cup is played every 4 years and there are knockouts that last three years, there is no comparison, only the good players stand out in World Cups.
Also the best in the world was Messi and the best of the champions was De Bruyne and Rodri. Please don't confuse a great scorer with a great player.".
ANTOINE GRIEZMANN [emoji2424][emoji632]
Timu gani ?? Hapa huwa vinaangaliwa vyote , Timu ya Taifa na club , alaf angalau uchezee ligi tano Bora duniani , ndo wanakuja kwenye statistics Mzee , yaani hapo halland hachomoki , mana timu yake ya Taifa Tia maji Tia maji , angeshindanishwa na mtu ambaye naye timu yake ya Taifa ni Tia maji Tia maji basi angebeba...Messi Kombe la dunia lenyewe alibebwa bebwaaaa mpka kufikaaa.. Japo he is a goat..!! Halland anastahilii sanaaa hii tuzoo ametoa mchango mkubwa snaa kwa Timu yakee..
Hoja hujibiwa kwa hoja!! Kama huna hoja mbadala siyo vibaya ukipita hivi kimyaaa!!Kafanye mambo mengine achana na mpira.
Hizo siyo facts bali ni mawazo binafsi ya Griezmann. Facts hutoka kwenye data!! Football is all about scouring goals and not otherwise!! It is not about acrobatics or dancing!! Scoring a goal brings someone to soccer orgasm!! The only person who tops both International goals and Club league goals under the sun is CR7!! 123 International goals, 887 Club goals. Anawazidi wenzake kwa mbali!!! Those are the facts which cannot be disputed by any sane person!!Facts kam hizi Team Ronaldo huwa wanazipita kimya kimya kam wanaaga Maiti
Karma not Kaema.Erling Braut Halland deserve it.
Circumstances zilizomnyima Andres Iniesta 2010 ballon dior Ndio hizo hizo zinatakiwa zimnyime Messi ballon dior mwaka huu.
Kaema is a bitch[emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app