joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Simjibu tena hajihelewi na mwacha na ujinga wake.Nimekuona ni mweupe pale ulipokataa Messi hajawahi chukua world cup U 20. Mkuu joseph1989 huyu jamaa yako hajui anabisha nini kachanganyikiwa 😂
Unawaaibisha mashabiki wenzio wa Ronaldo
Ww jamaa ni mwehu kweli pfa ni tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Uingereza kama hao uliowataja hawakuchukua basi hawakufanya vzr kwenye michuano ya ulaya. Haaland kwenye ngazi ya vilabu vya ulaya kabeba tuzo zote kubwa na ndoo zote kubwa acha wehu kijanaPFA tokea lini kikawa kigezo cha kushinda tuzo ya FIFA ww kiazi?Henry anzo mbili,KDB anazo mbili (najua ulikuwa hujui) mbona hawakuchukua tuzo ya FIFA.
Hiyo Homework,kagoogle.Ww jamaa ni mwehu kweli pfa ni tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Uingereza kama hao uliowataja hawakuchukua basi hawakufanya vzr kwenye michuano ya ulaya. Haaland kwenye ngazi ya vilabu vya ulaya kabeba tuzo zote kubwa na ndoo zote kubwa acha wehu kijana
Huyo Cristiano ambaye ndiye wa mwisho kubeba mwanasoka bora wa dunia kutoka England alibeba tuzo zote hizo km HaalandSimjibu tena hajihelewi na mwacha na ujinga wake.
Ww nimekwambia acha wehu, Benzema alibeba zote ulaya hadi tuzo ya dunia, haaland kafanya vzr kuliko wote kwenye ngazi ya klabu, au ww taja aliyefanya vzr zaidi ya haaland kwenye ngazi ya klabu..... shida ya Messi kawa bora kwenye world Cup tu ila kwenye ligi huko ata kwenye klabu yake hakuwa boraHiyo Homework,kagoogle.
Wachezaji wangapi walibeba tuzo ya ulaya na bado ya FIFA hawa kubeba?
Luka Modric- 2018Em www tuambie lini chances created zimetumika kwenye kutoa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia? De bryune tu na hizo chances created zake hajawahi kuwa mwanasoka bora wa ligi ya Epl na ndiye huwa anaongoza kwa misimu mingi
Luka modric hakuchukua sbb ya chances created ww, club level tu stats zake alizidiwa hadi na Ronaldo...... luka alichukua due to his role pale timu ya taifa always miaka yenye kombe la dunia huwa ina controversial mfano 2010 Messi - sneijder na iniesta au 2014 ronaldo - riberyLuka Modric- 2018
Upo sahihi kabisa shekheh halaand ni mfunga magoli ya kuvizia, hamna mchezaji humo.Bora Messi huyo Halaand mpira wa kuvizia tu afunge hana mpya.
Naongezea.Nimeshangaa sana kuona anamfananisha Mbappe na Messi kwenye National Level
Messi ana gold medal ya Olympic
Messi ana coppa america
Messia ana finalisma
Messia ana worldcup
Ukitoka WC, Mbappe ananini cha ziada? Mashabiki wa Ronaldo wanamatatizo sana
Role yake kwenye timu ya taifa ilikuwa ipi?Luka modric hakuchukua sbb ya chances created ww, club level tu stats zake alizidiwa hadi na Ronaldo...... luka alichukua due to his role pale timu ya taifa always miaka yenye kombe la dunia huwa ina controversial mfano 2010 Messi - sneijder na iniesta au 2014 ronaldo - ribery
Angalia kapotea kabisa kisa hajafunga mechi kadhaa mfululizo...Bora yule dogo alvarez .upo sahihi kabisa shekheh halaand ni mfunga magoli ya kuvizia, hamna mchezaji humo.
Role ipi tena unauliza wakati mtu alikuwa mchezaji bora wa michuano ya kombe la duniaRole yake kwenye timu ya taifa ilikuwa ipi?
LAPUGAView attachment 2829312
Mambo anayoyafanya Messi, yanamtesa sana mbape [emoji1]
Abul Aaliyah
The Icebreaker
toughlendon_1
Dah!Kwangu mimi naona tuzo angepewa Rodrigo. Halaand ni mfungaji bora tu. Messi ni GOAT ila kwa msimu uliopita ukiacha WC, performance yake haikuwa nzuri. Tuzo ya mchezaji bora wa WC inamtosha.