Haijalishi hata kama alishikwa ugoni ukamzuia kwenda ulaya, point is hakucheza competitive league ya ulaya
Competitive league ya Ulaya ? Unajua kitu kilikuwa kinaitwa Intercontinental Cup? Pele alishinda mara mbili na Santos..., Kwahio hao wa kwenye Competitive league Santos ya Pele iliweza kutwaa Kombe (Kama hujui intercontinental cup ilikuwa Europe na South American Cup...
Kipindi hiko dunia nzima mpaka ulaya wachezaji walikuwa wavuta sigara na kufanya vibarua kama maseremala, wajenzi maana kulikuwa hakuna sheria za kuwabana na soka lilikuwa halilipi, haikuwa full time job
Kwahio hao wavuta sigara walikuwa hawawezi kupiga kiatu kumaintain diet kunakufanya ku-extend your playing career kipindi kile kulikuwa hakuna wing backs nabeki wa pembeni hawapandi kwahio wanakusubiri kama stricker au wanakunata kama gundi..., Sababu naona haufuatilii jaribu kuuliza tu huku bongo alikuwepo namba tatu anaitwa Mwakalebela alikuwa Pamba yeye signature yake ilikuwa ni kulaza ukija winger ukitaka kumpita wewe mpira nyote mnakwenda chini jambo ambalo leo lingekuwa faulo kipindi hicho it was legal....,
By the way usiende mbali hivi unajua hata Bongo kipindi cha kina Pamba, Sigara, Reli, Ushirika n.k. timu zote hizi zilikuwa za makampuni ?, unajua nini kilitokea kama unajua mpira unapewa kazi ya kuzugia bado asubuhi unakwenda training na jioni unakwenda training mkicheza mpira unapewa Posho kabla ya mechi kubwa mnakwenda kambini kwahio mpira bado ulikuwa source of income kwa watu sababu timu yako inahakikisha una kitu cha kuku-sustain; kipindi hicho wachezaji wana adabu na kocha wanamuheshimu sio sasa hivi unadhani utamwambia nini mtu anakuzidi kipato..., na unadhani ikiwa full time job ndio wanafanya training 24/7 bado sessions ni zile zile na kutumia muda mwingi wanasuka mikeka / horse racing, golf, n.k. (wana sauti kuliko hata makocha) unless wewe ni Pep na wanakuheshimu
Umeshindwa kujua kuwa soka la kipindi kile lilikuwa primitve ukilinganisha na hili la kisasa, hakukuwa na mbinu za kudefend au kuattack kama soka la leo.
Aisee kabla hujatoa comment jitahidi hata kufanya uchunguzi na kuangalia nini na wapi kimebadilika; kwanza kabisa kabla sijakupa jedwali la formation since 1800's kwanza nitakwambia jambo dogo zamani kulikuwa hakuna wing backs yaani mabeki wa pembeni kupanda defenders walikuwa defenders hawapandi kwahio which means kazi ya striker ilikuwa ngumu zaidi.... ingawa kwa kukufahamisha tu hata ile Holland ya 1974 iliyopelekea inspiration kwa kina Barcelona ya leo n.k. ilikuwa inacheza Total Football ingawa wenyewe ndio waliipeleka mainstream lakini inasemekana ilianza way back....
The term "Total Football" was first used to describe the 1974 Netherlands World Cup side. However, it was influenced by other key tactical innovators. Total Football had its roots in the Austrian national side of Matthias Sindelar in the 1930s, and in the famous Puskas-featuring Hungarian sides of the 1950s.
Total football ambayo ni fluid tactical playing theory in which any outfield player adopts the role of any other player in the team. Aina ya mchezo mtu kama Messi asingeweza kucheza hakabi wala hafanyi tracking back.... Hivi ushajiuliza kwanini Klop wa Dortmund aliweza ku-incinerate Barcelona ni kwamba kwa kila mchezaji ku-put in a shift hard working (Talent is no substitute for hard work) ukiwa na Messi kwenye timu inabidi uwapate kina Toure waweze kurekebisha Messi anapopoteza mipira..... Haya cheki kio link ya evolution ya formations....
Major Football Lineup Changes
| Dominant Formations | Years | Major Influence |
|---|
| 1-1-8, 1-2-7, 2-2-6 | 1860's - 1880's | Rugby |
| 2-3-5 | 1880's - 1925 | Scottish Passing Game |
| 3-3-4 | 1925 - 1950's | Offside |
| 4-2-4, 4-3-3 | 1950's - 1970's | Countering 3-3-4 |
| 4-4-2, 5-4-1 | 1970's - 1990's | Italian Defensive Game |
| 3-5-2, 5-3-2 | 1990's - 2000's | In Game Formation Changes |
| Variable Formations | 2000's - Present Day | Fluid Formations Changing On Situation |
Watu walikuwa bado wanafanya experimentantion mpaka timu inakuja na formation ya 3111111
Cheki hapo juu na kwa kujifunza zaidi angalia hii link
Ukweli usiopingika ni kuwa Soka la sasa ni advanced kuliko la zamani na soka la baadae litakuwa advanced kuliko la sasa.
Advanced kwenye nini ? Wachezaji kujali miili yao na kutumia diet ku-prolong their career ? , Maybe huenda hata wengine wanatumia madawa ya kuongeza nguvu (doping)..., ila je imekuwa bora ? Subjective wengine watakwambia imekuwa imekuwa kama basket au golf, mtu huwezi kumshika wala kumgusa yaani sio physical game tena.., kuhusu formation nimekwambia fanya research ya Austrian na Hungarian Sides za miaka ya 1930's na 50's ..., ukiona leo watu wanapiga Panenka hio ilikuwepo way back, trick nyingi za Ronaldinho unaweza ukazipata kwa wadau way back kwa ufupi tu cheki hizi tricks The Cruyff Turn (1974); The Pele Runaround (1970); The Marseille turn (1970) ila wamekuja kuitumia kina Zidanne, Henry na Maradona; The Elastico (1970) hii ndio inampa Ronaldinho sifa; The Step Over (1920) ingawa Ronaldo ndio signature yake; The Garrincha Feint.... Ni kwamba
haya ni marudio wala usidhani kwamba unaona jambo jipya
Yanga ya leo ikicheza na Timu ya brazil ya Mwaka 1962 Yanga itashinda nyingi tu kwasababu ya mbinu na tactics.
Hivi yanga ya leo inapata ushindani hata wa yanga ya miaka ya kina Pamba, Majimaji, Ushirika, Pan Africa, Coastal ya Kipindi kile n.k. ? Au Gap ya pesa ishakuwa kubwa kama vile ilivyo ligi za huko ulaya timu mbili au tatu zipo above everyone else... !!!
Kuhusu tactics nimekuonyesha hapo juu, Chelsea ya kina Zola ilikuwa bora kwa mtizamo na uchezaji kuliko chelsea ya Maurinho unadhani ningependa kuangalia chelsea ya Maurinho au Total Football ya Holland ya 1974..., Hivi unajua kwanini Socrates alisema Football died in 1982 ni kwamba kwa sababu ya Brazil kutokushinda hilo Kombe na kufungwa na Defensive formations Brazil ilibadilisha mfumo wao wa kucheza pasi fupi fupi za haraka haraka (one touch football).., Pia muulize Brazillian yoyote their best team ever atakwambia ni 1970....
Nimemlinganisha na Messi sijamlinganisha na Lukaku.
Kwa dribbling na Assist anamfikia messi? Em twende google
View attachment 2456689
Kwahio kwa akili yako kila link unayotoa kwenye mtandao na app za watu kwako ni verified news ? anyway jibu la hili takupa baadae