Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ikiwa ulikuwa unafuatilia La Liga vizuri ungekubali Özil wa Madrid alikuwa kwenye ubora wa hali ya juu hata alipokuwa UCLMimi kipindi nipo Arsenal nilikua namuona anakiwasha sana kipindi Cha Mzee Wenger
Ozil akiwa Real Madrid alikuwa na Ronaldo, Di Maria na Benzema wachezaji ambao daima walikuwa mbele yake. Matamanio ya wachezaji hao watatu kupata matokeo mazuri ni ono la kila shabiki wa mpira na hakika walifunga kutokana na ubora wa kiungo Ozil. Kwa upande wa Arsenal na falsafa za Arsene Wenger za kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa Ozil akiwa mbele ya Mikel Arteta na Aaron Ramsey alikuwa akionekana wa kawaida kwasababu akiwa nyuma, upande wa kushoto Saint Cazorla na kulia Walcott mbele kabisa Geroud hakuona mtu ambaye yuko tayari hata kuvunjika miguu ili aingie kwenye box. So naweza kuconclude kuwa Ozil wa Real Madrid alikuwa bora zaidi ya Ozil wa Arsenal.Hivi huyu jamaa ni wapi alikuwa mkali katika ubora wa juu wakati anakipiga na Real Madrid au Arsenal?
Mimi Madrid nimekuja kuikubari kipindi kile yupo Ronaldo alipoondoka na mimi nikaondoka nikarudi alipokuja Kareem Benzema mzee wa kuwachakaza Liverpool ndio hadi sasa naifuatilia ingawa juzi kapigwa na BarcaIkiwa ulikuwa unafuatilia La Liga vizuri ungekubali Özil wa Madrid alikuwa kwenye ubora wa hali ya juu hata alipokuwa UCL
Anamkubali sana raisi wa Uturuki ErdoğanMwishoni hapa naona alipenda zaidi siasa naona anaweza ingia huko
Wamepigwa alafu wapo nyumbani aibu 😂PSG washenzi kweli, pamoja na kujazana best football players in the world lakini dah, wakachana mkeka wangu😫
💯🤝Ozil akiwa Real Madrid alikuwa na Ronaldo, Di Maria na Benzema wachezaji ambao daima walikuwa mbele yake. Matamanio ya wachezaji hao watatu kupata matokeo mazuri ni ono la kila shabiki wa mpira na hakika walifunga kutokana na ubora wa kiungo Ozil. Kwa upande wa Arsenal na falsafa za Arsene Wenger za kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa Ozil akiwa mbele ya Mikel Arteta na Aaron Ramsey alikuwa akionekana wa kawaida kwasababu akiwa nyuma, upande wa kushoto Saint Cazorla na kulia Walcott mbele kabisa Geroud hakuona mtu ambaye yuko tayari hata kuvunjika miguu ili aingie kwenye box. So naweza kuconclude kuwa Ozil wa Real Madrid alikuwa bora zaidi ya Ozil wa Arsenal.
Hata Mimi nimekubariOzil akiwa Real Madrid alikuwa na Ronaldo, Di Maria na Benzema wachezaji ambao daima walikuwa mbele yake. Matamanio ya wachezaji hao watatu kupata matokeo mazuri ni ono la kila shabiki wa mpira na hakika walifunga kutokana na ubora wa kiungo Ozil. Kwa upande wa Arsenal na falsafa za Arsene Wenger za kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa Ozil akiwa mbele ya Mikel Arteta na Aaron Ramsey alikuwa akionekana wa kawaida kwasababu akiwa nyuma, upande wa kushoto Saint Cazorla na kulia Walcott mbele kabisa Geroud hakuona mtu ambaye yuko tayari hata kuvunjika miguu ili aingie kwenye box. So naweza kuconclude kuwa Ozil wa Real Madrid alikuwa bora zaidi ya Ozil wa Arsenal.
Chawa wa erdogan hapo jimbo amepataAnamkubali sana raisi wa Uturuki Erdoğan
Hapo sawaMimi Madrid nimekuja kuikubari kipindi kile yupo Ronaldo alipoondoka na mimi nikaondoka nikarudi alipokuja Kareem Benzema mzee wa kuwachakaza Liverpool ndio hadi sasa naifuatilia ingawa juzi kapigwa na Barca
Ozil nilimfuatilia sana pindi yupo Arsenal
Europe na uarabuni wapi kuna nafuu dhidi ya ubaguzi wa dini nyingine?Safi sana amekomaa sana licha ya ubaguzi wa Europe dhidi ya waislamu
Sidhani kama usajili wa hao watu ulichangia moja kwa moja ninachokumbuka ni suala na mshaharaHivi kununuliwa kwa Isco na Gareth Bale ndio kulisababisha kuuzwa kwa Ozil kwenda Arsenal akiwa kwenye kiwango bora Kama kile na assists za kutosha?
Mzee wa kupambania ,
stow away ,
raraa reree
Ujio wa Isco ulikuwa ni tishio kwa ÖzilHivi kununuliwa kwa Isco na Gareth Bale ndio kulisababisha kuuzwa kwa Ozil kwenda Arsenal akiwa kwenye kiwango bora Kama kile na assists za kutosha?
Mzee wa kupambania ,
stow away ,
raraa reree
PSG wanafeli kwenye recruitment ya wachezaji pamoja na right manager , hii scenareo yao iliwacost madrid kat ya 2006-2010 mpak Mourinho alipokuja kufanya mapinduzi kwa kutokimbilia mastaaMessi anaenda arabuni hio ishavuja PSG sijui kuna nini juzi wamegongwa na Rennes aibu
Huamini mkuu? Wakati wewe una 40+ still unapambana kuzisaka notiRetired...what?😂
Amestaafu kucheza sokaMkuu haikuwa concern yangu...nilitaka amalizie hiyo kuwa..amestaafu nini? Aliiacha iki hang